6
GE GENERAL EXHIBITION PG GENERAL EXHIBITION PARENTAL GUIDANCE RECOMMENDED 18 NOT SUITABLE FOR PERSONS UNDER 18 YEARS 16 NOT SUITABLE FOR PERSONS UNDER 16 YEARS MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIA

PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

  • Upload
    others

  • View
    4

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

GEG E N E R A LEXHIBITION

PGG E N E R A LEXHIBITION

PARENTALGUIDANCERECOMMENDED

18NOT SUITABLE FOR PERSONSUNDER 18 YEARS

16NOT SUITABLE FOR PERSONS

UNDER 16 YEARS

MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIA

Page 2: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

1

Utangulizi

Mamlaka

Bodi ya Uainishaji Filamu Nchini Kenya (KFCB) ni Shirika la Umma chini ya wizara Michezo Tamaduni

na Sanaa lenye mamlaka ya kuthibi� filamu, makala na vipindi vinavyopeperushwa na vyombo vya

habari nchini kwa lengo la kuwalinda watoto dhidi ya athari potovu. KFCB imepewa mamlaka chini ya

Film and Stage Plays Act, maarufu kama Cap222 sheria za nchi ya Kenya.

Mkataba huu wa huduma kwa raia umeundwa kwa lengo la kutambua wadau wetu, wateja, huduma

na viwango vya ubora. Aidha, mkataba huu unanuia kuboresha huduma kwa kutoa habari kuhusu

huduma zetu. Tumeweka vigezo vya huduma tunazotoa ili wateja wetu wafahamu watakayotarajia

watakapohitaji huduma kutoka kwetu. Huduma zikitolewa, mteja ataweza kutathmini ikiwa

tumefikia viwango vinavyostahili kama ilivyo kwenye mkataba.

Ikiwa huduma hizo hazifikii viwango vilivyowekwa, mkaka� wa utara�bu wa marekebisho upo ili

tuendelee kuimarisha huduma zetu na kutosheleza mahitaji ya mteja.

Bodi ya uaninishaji filamu nchini Kenya ni taasisi ya kisheria yenye jukumu la udhibi� ka�ka sehemu

ya III sheria ya filamu na tamthilia, kifungu cha 222 ya sheria za Kenya. Sheria hiyo inaipa bodi hii

mamlaka ya kudhibi� ubunifu, upeperushaji, usambazaji na maonyesho ya filamu. Ili ku�miza

malengo ya mamlaka haya, bodi hii hutekeleza shughuli zifuatazo:

Kuhakikisha kwamba filamu na mabango yote nchini yanachunguzwa na

kuainishwa kabla ya kuonyeshwa,kukodishwa, kuuzwa au kupeperushwa kwa njia

za maonyesho ya video, sinema jukwaani, kuuzwa na wachuuzi au kupeperushwa

ka�ka stesheni mablimbali.

Kura�bu masuala yote yanayohusiana na uainishaji na maonyesho ya filamu

nchini.

Kuhakikisha kuwa vye� vya kutoa idhini vinatolewa kwa filamu zilizowasilishwa

ili kuainishwa.

Kutunga muongozo mwafaka wa sera kwa serikali kuhusu maonyesho ya filamu na

usambazaji nchini.

Kutekeleza na kuimarisha utafi� kuhusu uaninishaji wa filamu kwa kuzinga�a

maslahi ya wadau wote.

Kuhakikisha kwamba orodha ya uainishaji inatolewa kwa wanaosambaza na

kuonyesha filamu.

Kukagua na kutoa leseni kwa maduka na kumbi za wanaosambaza na kuonyesha

filamu nchini.

Kuhakikisha kwamba ukiukaji wa kipengee chochote cha sheria hiyo unashtakiwa.

Page 3: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

16

2

Kuwa wadhibi� wa maudhui ya filamu wenye kiwango cha kimataifa.

Wateja na wadau wetu wanahusisha:

Watunzi wa Filamu

Maonyesho ya video, maktaba za video, maduka ya video, mikahawa na

wasimamizi wa kumbi za sinema

Stesheni za upeperushaji vipindi

Taasisi za serikali

Mashirika yasiyo ya kiserikali

Taasisi za kidini

Umma

Wafanyakazi

Bodi ya wakurugenzi

Kulinda maadili ya kitaifa na kanuni kwa njia mwafaka na mahsusi za utoaji huduma za udhibi� wa

filamu.

Utaaluma.

Haki na kutopendelea

Ubora wa huduma

Uadilifu

Utuzwaji wa talanta

Uaminifu

Usimamizi bora

Uwajibikaji na uwazi

Timu ya kazi

Uboreshaji na ubunifu

Kuchunguza na kuainisha filamu mpya, vidokezo na mabango.

Kuendeleza miongozo ya uainishaji wa filamu.

Kudhibi� maudhui ya maonyesho ya filamu kwa umma.

Kuwezesha ukaguzi wa video na maduka ya sinema.

Kufua�lia maudhui ya vipindi vinavyopeperushwa Mkataba Wa Utoaji Huduma Kwa

Raia

Maono

Malengo

Wadau Wetu

Maadili Msingi

Malengo Halisi

Page 4: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

3

Sisi hutoa huduma mbalimbali zikiwemo:

Kuchunguza na kuainisha filamu mpya kulingana na kifungu cha 222 cha filamu

na uigizaji cha sheria za Kenya na sheria ya Habari na Mawasiliano kifungu cha

411A.

Ufua�liaji wa usambazaji wa filamu ili kuhakikisha kwamba hakuna filamu a

aina ya filamu inasambazwa, kuonyeshwa au kupeperushwa, iwe hadharani au

faraghani, bila bodi kuichunguza na kutoa che� cha kidini 3. Kufua�lia

upeperushaji wa filamu na vipindi ili kuhakikisha maudhui yanayowalenga watu

wazima hayapeperushwi ka�ka muda uliowekwa wa saa 11 asubuhi na saa nne

usiku.

Kutoa vye� na leseni kwa wasambazaji na wanaoonyesha filamu. 5. Kupendekeza

miongozo itakayotumika kuchunguza na kuainisha filamu.

Kutoa maagizo mara kwa mara wa utara�bu wa kutoa leseni ya wanaoonyesha

na kusambaza filamu.

Kuafikia viwango vyetu vya utoaji huduma;

Kufanya kazi kwa kujitolea ka�ka kuyapa kipaumbele mahitaji ya wateja;

Kuwasiliana kwa ufanisi kwa kutumia lugha fasaha;

Kutoa ushauri thabi� na sahihi kuhusu huduma zetu;

Kutoa taarifa za kutosha kuhusu huduma zetu ka�ka njia ya wazi;

Kudumisha viwango vya uwezo na maadili ya utendakazi;

Kuzinga�a masuala ya jinsia na ulemavu ka�ka kushughulika na wateja wet

na wadau;

Kuhakikisha kwamba hakuna mtu atakayebaguliwa kwa misingi ya hali yake

ya afya;

Kukuza sera ya kutotoa rushwa ka�ka ngazi zote;

Kuweka mazingira bila dawa za kulevya kwa wateja wetu na wadau;

Kuendeleza mifumo ya ufua�liaji na tathmini ili kutuwezesha kufua�lia

utendakazi;

Kukuza utamaduni wa kuwepo mazingira bora;

Kuchukua hatua ya kurekebisha ulegevu unaoweza kutokea ka�ka mifumo

yetu;

Kuendeleza mabadiliko na ubunifu kwa njia ya kuendelea kuboresha

mifumo na michakato;

Kutumia raslimali zetu kwa busara ili kutuwezesha kutoa huduma

Toa lengo la kuwazuia kina mama na watoto dhidi ya unyanyasaji wa kingono

ka�ka utoaji filamu na kwenye mtandao wa Internet,

Tutasambaza habari kuhusu huduma zetu iwezekanavyo kwa kutumia majukwaa ya vipeperushi,

majarida, tovu� na vyombo vya habari vya kijamii. Mara kwa mara, tutaendelea pia kuboresha

viwango vya utoaji huduma kulingana na mahitaji ya wateja na kuendelea kupata maoni tukiahidi

zinazopa�kana kwa urahisi na zilizoimarika; na

Kuheshimu na kulinda usiri wa habari zinazotolewa na wateja.

Baadhi ya Huduma

Kanuni Kuu za Utoaji Huduma

Page 5: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

16

4

Tuna madhumuni ya kutoa huduma bora kama ilivyora�bishwa ka�ka vipengee vifuatavyo vya

utendakazi: una madhumuni ya kutoa huduma bora kama ilivyora�bishwa ka�ka vipengee vifuatavyo

vya utendakazi:

Mkaka� wa mpango wa Bodi ;

Mpango wa kila mwaka wa KFCB;

Mkataba wa utendakazi wa KFCB;

Rasimu ya ubora ya KFCB na ISO 9001:2008

Sheria ya Filamu na Michezo ya kuigiza, Sura ya 222 ya sheria za Kenya;

Kanuni ya 2009 za Upeperushaji wa Mawasiliano; na

Kifungu cha 411 cha Sheria ya Kenya ya Habari na Mawasiliano na sheria zingine

husika.

Kutoa video na leseni za sinema dakika kumi na tano (15) baada ya maombi;

Kutoa vibandiko vya uainishaji kabla dakika kumi na tano (15);

Kuidhinisha na ku�a muhuri mabango ya sinema ndani ya dakika kumi (10);

Kuchunguza na kuainisha filamu kwa siku moja (1);

Kusanifisha orodha ya uainishaji filamu kila wiki;

Kufanya ukaguzi waka� wowote wa maeneo ya wahusika kila wiki;

Kuandaa ha� za malipo ndani ya siku mbili (2) za kazi;

Kutekeleza malipo ya huduma ndani ya (7) ya siku saba za kazi;

Kufanya elimu ya wadau na mipango ya uhamasishaji kila mwaka;

Kufanya utafi� wa kuridhika kwa wateja kila mwaka;

Kujibu maswali ya wateja na wadau mara moja;

Kuwasilisha nakala ya video inayoshukiwa kabla ya siku; na

Kushughulikia malalamiko ya wateja na wadau ndani ya siku kumi na tano (15) siku

za kazi.

Jifahamishe na huduma zetu;

Toa habari kamili na sahihi kutuwezesha kutenda ipasavyo;

Toa maoni juu ya huduma zetu;

Shiriki ka�ka miradi yetu;

Jifahamishe na sheria na tara�bu za serikali;

Bainisha maeneo ya udhaifu ka�ka utoaji wetu wa huduma na kuwasiliana nasi;

Pendekeza njia za kuboresha huduma zetu; na

Kutotoa vishawishi kwa njia ya zawadi au neema kwa wafanyakazi au kutendewa

vivyo hivyo kwa ajili ya huduma.

Vigezo vya Utenda kazi

Viwango

Wajibu wa mteja

Page 6: PARE MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA RAIAkfcb.co.ke/wp-content/uploads/2017/06/SWAHILI-CHARTER.pdf · 2017-06-12 · 5 Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli,

5

Umma na pia wadau wetu wanahimizwa kutoa mapendekezo ya kweli, pongezi na malalamiko

kibinafsi, kwa njia ya posta, simu au barua pepe.

Maoni yanaweza kutumwa kwa :

Afisa Mkuu, Kenya Film Classifica�on Board, Uchumi

House 15th Floor, S. L. P 44,226‐00,100, NAIROBI.

Simu :020 2250600 / 2241804 Simu ya mkononi: 0711 222 204, 0773 753 355

Barua pepe: [email protected]

Tovu�: www.kfcb.co.ke

Malalamishi : [email protected]

www.facebook.com / kfcb.officialpage

www.twi�er.com / InfoKfcb

Mfumo wa marekebisho

Maoni