Upload
others
View
21
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
Kijana wetu ni rafiki yetu, tunam�amini na tumemuweka wazi kuhusu hali yake ya maambukizi ya VVU. Anaj i tambua na sasa anafuatilia vyema matibabu
Tunahakikisha kuwa:• Anameza ARV kila siku na kwa wakati• Anahudhuria kliniki kama alivyopangiwa
Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mimi ninaishi na VVU. Mwenza wangu hana maambukizi ya VVU lakini amekuwa pamoja nami nakuni�amini s iku zote
Anahakikisha kuwa:• Ninameza ARV kila siku na kwa wakati• Ananisindikiza kliniki mara kwa mara
Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mimi na mwenza wangu tuna�aminiana na tuko wazi kuhusu hali zetu za maambukizi ya VVU. Tuna furaha na amani
Tunahakikisha kuwa:• Tunakumbushana kumeza ARV kila siku na kwa wakati• Tunasindikizana kliniki mara kwa mara
Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Huyu ni mfanyakazi mwenzetu na ni mchapakazi, ametueleza hali yake ya maambukizi ya VVU. Tunam�amini na kushirikiana naye kwa kumuhimiza kuhudhuria kliniki na kutumia dawa za ARV kwa wa wakati
Tunapata mchango wake kikamilifu katika kazi zetu
Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Ni wajibu wetu, tunakujali na tunaku�amini, tunahakikisha unakuwa mfuasi mzuri wa dawa zako na kuhudhuria kliniki kama ulivyopangiwa ili uwe na afya bora
tunaku�aminitunaku�amini
Tunahakikisha kuwa, kama unaishi na VVU:• Unapata matibabu katika kituo cha huduma za afya• Unahudhuria kliniki ya huduma za tiba na matunzo
• Unapata huduma unazostahili
Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto