Upload
dangthuan
View
277
Download
8
Embed Size (px)
Citation preview
20132013
HakiElimuS L P 79401 • Dar es Salaam • TanzaniaSimu (255 22) 2151852 / 3 • Faksi (255 22) 2152449 Barua pepe: [email protected] Tovuti: www.hakielimu.org
Kalenda
H A I U Z W I
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
01 Januari – Mwaka Mpya. 12 Januari – Mapinduzi ya Zanzibar. 24 Januari – Sikukuu ya Maulidi (inategemea kuonekana kwa mwezi).
20132013
“... wananchi wote wenye watoto wenye umri wa kuandikishwa shule za awali wafanye hivyo kwa wingi. Kuna baadhi ya sehemu inaripotiwa wazazi bado hawajaelewa umuhimu wa kuwapeleka watoto katika madarasa haya ya awali”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.
7142128
18152229
29162330
310172431
4111825
5121926
6132027
JANUARI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
“Mwaka huu [ 2012] kumejitokeza malalamiko mengi katika shule za msingi na sekondari kwa wanafunzi kutokujua kusoma, kuhesabu na kuandika kwa kuwa walikosa msingi mzuri kielimu kuanzia ngazi ya awali na chekechea”, Ajira Kalinga (UVCCM), Ruvuma. Majira 8 Juni 2012.
20132013
4111825
5121926
6132027
7142128
181522
291623
3101724
FEBRUARI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
29 Machi – Ijumaa Kuu. 31 Machi – Jumapili ya Pasaka.
“…sera ya kutaka wanafunzi kupitia elimu ya awali, imechangia walimu wa shule za msingi hasa wa madarasa ya kwanza kutowakazania watoto kujifunza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu. Kwa kweli katika madarasa ya awali, watoto huwa wanakwenda tu ili wazoee mazingira ya shule na kuishi na wenzao, lakini hakuna kusoma kwa msisitizo”, Juliana Mosi, Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala, Taasisi ya Elimu Tanzania, Mwananchi, 17 Aprili 2012.
20132013
4111825
5121926
6132027
7142128
18152229
29162330
310172431
MACHI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
01 Aprili – Jumatatu ya Pasaka. 07 Aprili – Kumbukumbu ya Karume. 26 Aprili – Sikukuu ya Muungano.
“Shule za msingi, hazina madawati, watoto wanakaa chini tena kwenye sakafu iliyochimbuka ovyo. Darasa moja wanasoma watoto zaidi ya mia moja na hamsini, mapaa yanavuja mvua ikinyesha, walimu wanahaha kwa kuhama kuokoa vitabu visilowe, kuta zimepasuka ovyo kiasi cha kuhatarisha maisha ya watoto wetu,” Mallac, AnnaMaryStella John Robert (Mbunge), Bungeni, Majadiliano ya Bunge, 29 Juni 2012.
20132013
18152229
29162330
3101724
4111825
5121926
6132027
7142128
APRILI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
01 Mei – Sikukuu ya Mei Mosi.
20132013
6132027
7142128
18152229
29162330
310172431
4111825
5121926
MEI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
[Yatupasa] “kuwabana viongozi wetu tuliowachagua kuanzia mwenyekiti wa mtaa, diwani na wabunge wetu kuhakikisha wanachukua hatua kukabiliana na changamoto zilizopo ili kufanikisha Elimu bora ya Awali kwa watoto wetu”, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Elizabeth Missokia, 27 Septemba 2012.
20132013
3101724
4111825
5121926
6132027
7142128
18152229
29162330
JUNI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
07 Julai – Sikukuu ya Saba Saba.
CHUKUA HATUACHUKUA HATUA
20132013
18152229
29162330
310172431
4111825
5121926
6132027
7142128
JULAI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
08 Agosti – Sikukuu ya Nane Nane. 8/9 – Sikukuu ya Eid El Fitr (inategemea kuonekana kwa mwezi).
“Elimu ya awali imegubikwa na changamoto nyingi. Baadhi ya changamoto hizi ni upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, unaosababisha mrundikano mkubwa katika madarasa, ukosefu mkubwa wa walimu wenye taaluma ya elimu ya awali pamoja na vifaa vya kufundishia. Aidha, kutokuwepo na tofauti ya kimadarasa katika elimu ya awali (yaani watoto wa umri wa miaka 5 na miaka 6 kusoma katika darasa moja)”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.
20132013
5121926
6132027
7142128
18152229
29162330
310172431
4111825
AGOSTI
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
“Kama tunataka elimu yetu iwe bora, ni lazima mtoto aandaliwe kwa Elimu ya Awali na hivyo basi, mtoto aso-meshwe kwa vitendo ili atakapoingia katika Elimu ya Msingi asiwe mgeni na masomo atakayoyakuta huko”, Abama Taratibu Maalim Mwanamrisho (Mbunge), Majadiliano ya Bunge, 20 Julai 2011.
20132013
30291623
3101724
4111825
5121926
6132027
7142128
18152229
SEPTEMBA
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
14 Oktoba – Kumbukumbu ya Nyerere. 15/16 Oktoba – Sikukuu ya Eid El Hajj (inategemea kuandama kwa mwezi).
Watoto 6,469 wenye umri wa miaka mitano na sita waliotakiwa kuandikishwa kuanza elimu ya awali katika halmashauri ya Musoma Vijijini kwa mwaka 2012, hawakupewa fursa hiyo. Tanzania Daima, 8 Septemba 2012.
20132013
7142128
18152229
29162330
310172431
4111825
5121926
6132027
OKTOBA
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
“Ni sawa kabisa na unapojenga nyumba, ukifanya makosa kwenye msingi nyumba yote itakuwa mbovu, ndiyo maana unatakiwa uwe na vifaa vya kutosha wakati ukiwa unajenga msingi wa nyumba... [ katika elimu ] vifaa hivyo vinajumuisha walimu waliopata mafunzo bora ya kuwafundisha watoto wa elimu ya awali pamoja na wale wa darasa la kwanza”, Augustino Mbembele, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Isensa Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Mwananchi 25 Septemba 2012.
20132013
4111825
5121926
6132027
7142128
18152229
29162330
3101724
NOVEMBA
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp
Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.
09 Desemba – Sikukuu ya Uhuru. 25 Desemba – Sikukuu ya Chrismas. 26 Desemba – Boxing Day.
“Ni ukweli usiopingika kuwa elimu ya awali itolewapo kikamilifu, huwa ni msingi imara kwa mtoto katika elimu yake ya baadae”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.
20132013
30291623
313101724
4111825
5121926
6132027
7142128
18152229
DESEMBA
Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp