2
MABAKI YA CHAKULA + MAJI ORGANIC FERTILIZER SEED ni “Mradi wa nishati endelevu kwa maendeleo kiuchumi’. Ukuaji wa kiuchumi unahitaji rasilimali ya nishati endelevu kwa maendeleo endelevu. Biogesi ni nishati jadidifu inayopatikana kutokana na mabaki ya chakula. Mradi huu ni matokeoya mradi wa miaka miwili uliofanya majaribio ya kiufundi juu ya mtambo huu wa biogesi. Mradi wa SEED unatekelezwa kwa kushirikiana na ma- kampuni yanayotengeneza na kuuza bidhaa za biogesi . Washirika wa mradi wa SEED ni : EMEDO (Mwanza) na KADETFU (Bukoba). 1 Mradi wa SEED hutoa ruzuku kwa taasisi za fedha kama vile SACCOS 2 Taasisi ya fedha hutoa mkopo kwa watu wanaotaka kununua mtambo wa biogesi. Upatikanaji wa mkopo ni rahisi kwa sababu ya ruzuku. 3 Mteja wa mtambo wa biogesi anamlipa mtoa huduma ili apate mtambo wake. 4 Mkopeshaji anafunga mtambo kwa mteja wake. 5 Mteja anaokoa na kutunza fedha ya ziada anapozalisha biogesi kutokana na mabaki ya chakula . 6 Mteja analipa mkopo wake pole pole. 7 Taasisi ya fedha inatumia mkopo mzingo kuendelea kutoa mkopo kwa wengine ili wanunue mitambo ya biogesi TARATIBU ZA KIFEDHA KADETFU RONGEAD MICRO FINANCE INSTITUTION BIO- DIGESTER CUSTOMER BIO- DIGESTER PROVIDER EMEDO EMEDO Mobile +255 784 47 80 10 Tel (ofisi) +255 28 2550209 [email protected] Mradi wa SEED unatekelezwa na : Kwa Mawasiliano : Wafadhili na wahisani : BIODIGESTER MTAMBO WA BIOGES Biogesi ni nishati safi Tumia mabaki ya chakula kuzalisha biogesi Tumia biogesi kuhifadhi mazingira biogesi hupunguza ugumu wa kazi za nyumbani kwa akina mama 5 6 4 7 2 1 3 B I O G E S I B I O G E S I B I O G E S I conception graphique www.verdiel.fr Kwa matumizi ya Nyumbani au kwa biashara yako ndogo BIOGES NI SULUHISHO BIODIGESTER KADETFU Mobile +255 754 740 267 Tel (ofisi) +255 28 2220717

BIogeS ni SULUHISHo - Nitidæ · 2018. 6. 18. · TOpE chUjiO (mbolea ya biogesi) ni zAO jinginE liTOKAnAlO nA UTEngEnEzAji wA gEsi, AM-b Ay OKw UhAKiKA h rEsh UKUAji w MAzAO. Tope

  • Upload
    others

  • View
    2

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: BIogeS ni SULUHISHo - Nitidæ · 2018. 6. 18. · TOpE chUjiO (mbolea ya biogesi) ni zAO jinginE liTOKAnAlO nA UTEngEnEzAji wA gEsi, AM-b Ay OKw UhAKiKA h rEsh UKUAji w MAzAO. Tope

MABAKI YA CHAKULA + MAJI

or

gA

nIC

fertILIzer

SEED ni “Mradi wa nishati endelevu kwa maendeleo kiuchumi’. Ukuaji wa kiuchumi unahitaji rasilimali ya nishati endelevu kwa maendeleo endelevu.

Biogesi ni nishati jadidifu inayopatikana kutokana na mabaki ya chakula. Mradi huu ni matokeoya mradi wa miaka miwili uliofanya majaribio ya kiufundi juu ya mtambo huu wa biogesi.

Mradi wa SEED unatekelezwa kwa kushirikiana na ma-kampuni yanayotengeneza na kuuza bidhaa za biogesi. Washirika wa mradi wa SEED ni : EMEDO (Mwanza) na KADETFU (Bukoba).

1 Mradi wa SEED hutoa ruzuku kwa taasisi za fedha kama vile SACCOS2 Taasisi ya fedha hutoa mkopo kwa watu wanaotaka kununua mtambo wa

biogesi. Upatikanaji wa mkopo ni rahisi kwa sababu ya ruzuku.3 Mteja wa mtambo wa biogesi anamlipa mtoa huduma ili apate mtambo wake.4 Mkopeshaji anafunga mtambo kwa mteja wake.5 Mteja anaokoa na kutunza fedha ya ziada anapozalisha biogesi kutokana

na mabaki ya chakula .6 Mteja analipa mkopo wake pole pole.7 Taasisi ya fedha inatumia mkopo mzingo kuendelea kutoa mkopo kwa

wengine ili wanunue mitambo ya biogesi

tArAtIBU zA KIfeDHA

KADetfU rongeAD

microfinance

institution

bio-digestercustomer

bio-digesterprovider

eMeDo

EMEDOMobile +255 784 47 80 10Tel (ofisi) +255 28 2550209

[email protected]

Mradi wa SEED unatekelezwa na :

Kwa Mawasiliano :

Wafadhili na wahisani :

biODigEsTErMtaMBo wa BiogES

Biogesi ni nishati safi Tumia mabaki ya chakula kuzalisha biogesi

Tumia biogesi kuhifadhi mazingira biogesi hupunguza ugumu wa kazi za

nyumbani kwa akina mama

5

6

4

72

1

3

BIo

geSI

BIo

geSI

BIogeSI

conc

eptio

n gr

aphi

que

ww

w.v

erdi

el.f

r

Kwa matumizi ya Nyumbani au kwa biashara yako ndogo

BIogeS ni SULUHISHo

biodigester

KADETFU Mobile +255 754 740 267Tel (ofisi) +255 28 2220717

Page 2: BIogeS ni SULUHISHo - Nitidæ · 2018. 6. 18. · TOpE chUjiO (mbolea ya biogesi) ni zAO jinginE liTOKAnAlO nA UTEngEnEzAji wA gEsi, AM-b Ay OKw UhAKiKA h rEsh UKUAji w MAzAO. Tope

Mradi unalenga kutangaza/kuhamasisha matumizi ya teknolojia ya biogesi maeneo ya mijini yanayolizunguka ziwa victoria.

Mradi wa SEED unasaidia kampuni inayotengeneza mitambo ya biogesi kutoa huduma zake katika miji ya Mwaza na Bukoba Mjini.

Mradi wa SEED unatoa fungu la pesa kwa vyombo vya fedha ili kurahisisha gharama za mitambo ya bioges kwa wajasiriamali wadogo na kwa familia

ILI KUfIKIA Lengo HILI :

Lengo KUU :

Umewezesha upatikanaji wa huduma za kitaalamu pamoja na ushauri juu ya teknolojia ya biogesi inayotumia mabaki ya chakula na inayoweza kutu-mika zaidi katika maeneo ya mijini.

Hakuna wadau wa kuhamasisha na kusambaza bidhaa za biogesi za kutumika katika maeneo ya mijini

MiTAMbO yA biOgEsi yEnyE ghArAMA (ambazo watu wasingeweza kuzimudu)

Kusingekuwa na msaada wa utaratibu wa ugavi, usafirishaji na uedenshaji.

Unafuu wa gharama za usafirishaji hadi ku-fikia Tshs 300,000

Hakuna uwezeshwaji wa ulipaji kwa ajili ya teknolojia hii kutoka katika taasisi za fedha.with any Microfinance institution.

KwA KiwAngO KiKUbwA MbOlEA zA viwAnDAni nDizO hUpATiKAnA nA KUTUMiwA KiUrAhisi AMbApO hUpElEKEA UchAFUzi wA UDOngO nA MAji

Mbolea za viwandani ni ghali

MrADi UMEbOrEshA UnAFUU wA ghArAMA zA MiTAMbO yA biOgEsi :

Umepunguza gharama na utaratibu wa Uga-vi kutoka sehemu inapozlishwa mitambo hii (kiwandani)

Umewezesha kupata mikopo kutoka kwa baadhi ya taasisi za fedha kama vile sACOss.

KwA KUhAMAsishA MATUMizi yA biOgEsi, MrADi piA UnAwEzEshA KiliMO hAi. TOpE chUjiO (mbolea ya biogesi) ni zAO jinginE liTOKAnAlO nA UTEngEnEzAji wA gEsi, AM-bAyO KwA UhAKiKA hUbOrEshA UKUAji wA MAzAO.

Tope chujio (Mbolea ya biogesi) ni faida ya zia-da katika matumizi ya mtambo wa biogesi

KWA KUWePo MrADI WA SeeD

Mtambo wa biogesi wenye ujazo wa lita 3000 unatoa gesi inayoweza kutumika kwa masaa 5 kwa siku na mbolea

Ni rahisi kuufunga.BILA UWePo WA MrADI WA SeeD