Upload
geophrey-sanga
View
15.116
Download
4
Embed Size (px)
Citation preview
Mofolojia ya
kiswahili
Malengo ya somo hili
• Kueleza na kufafanua maana ya mofolojia• Kutambua na kufafanua zaidi mofolojia na
vipashio vyake.
Kunihusu mimi• GEOPHREY SANGA• Mwalimu wa shahada ya ualimu katika
masomo ya kiswahili and ICT(TEHAMA)• BED ICT• Email: [email protected]
utangulizi
• Maana ya mofolojia
Maana ya mofolojia• Mofolojia ni tafsiri ya neon la kiingereza
“Morphology”. Neno hili nalo linatokana na neon la kiyunani “Morphe” lenye maana ya muundo au umbo ( Aurbach et al 1971; 106).
• Mofolojia ni neno linalotumiwa kumaanisha
utanzu wa isimu unaoshughulikia muundo wa maneno ( Habwe na Karanja 2004).
Maana..........
• Hartman (1972). Mofolojia ni tawi la sarufi ambalo hushughulika na uchunguzi na uchambuzi wa maumbo, fani na aina za maneno yalivyo sasa pamoja na historia zake
Maana.........
• Kwa ujumla mofolojia ni taaluma inayoshughulikia lugha pamoja na mpangilio wake katika uundaji wa maneno. Vipashio hivyo vya lugha huitwa mofimu
Uhusiano uliopo kati ya mofolojia na matawi mengine ya sarufi
• Mofolojia na fonolojia• Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya
mofolojia na fonolojia:-i. Vipashio vya kifonolojia ndivyo hutumika
katika kuunda vipashio vya kimofolojia
mfano
Mofolojia na fonolojia
• Vipashio vya mofolojia ni fonimu, mfuatano wa fonimu ndio huuna vipashio vya kimofolojia ambavyo ni mofimu
Mfano• Fonimu: i, p, t, a, huunda• mofimu: Pit-a• Hivyo basi neno pita limeundwa na mofimu mbili na fonimu nne
Mofolojia na fonolojia
ii) Uhusiano mwingine kati ya fonolojia na mofolojia ni kwamba, kanuni za kifonolojia hutumika kueleza maumbo ya kimofolojia ambayo yanaathiriana.
MfanoKatika neno mu-ana mwu-alimu
Mofolojia na fonolojia
• Kipashio [mu] katika mifano hapo juu kinajitokeza kama [mw-] inapofuatwa na irabu ambayo.
Mu mw-/-I
Mofolojia na sintaksia
i. Vipashio vya msingi vya kimofolojia ndivyo hutumika katika kuundia daraja hili la sintaksia
Mfano Neno hutumika kuundia sentensi
Maswali na majibu
• Kwa maswali au mchango wowote kuhusuiana na kiswahili nifuate kwenye email yangu ya