2
www.ifla.org language: design/photography: Eva and Sarah van G am n on Library Services to Multicultural Populations ion hu ([email protected]) Ch partment of Information Studies Dep IFLA Section on Library Services to Multicultural Populations IFL Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS) Ni nini na kwa nini “Maktaba ya watu wote bila ubaguzi” (MLS) inaendelea kuwa swali inayoulizwa na maktaba na watahalamu. Kwanza kabisa, MLS ni chombo cha mazulio kwa wale wote ambao wanatumia maktaba, lengo muhimu kuwa watu wa kutoka inchi za inje, wakimbizi na wengine. Kawaida MLS inajulikana kama chombo cha habari cha wakimbizi na wale wachache ambao wanausiano na nchi nyingine za inje. Lakini MLS inajaribu kuwahakilisha watu wote na milango zake iko wazi kwa wale wote ambao wana maitaji ya kutaka kujua na kutambua mengi. Kwa hivyo MLS ni chombo cha habari kwa wote, inawapatia watu wote fursa ya kujua mengi kuhusu lugha, utamaduni, na mchangalio ya watu wengine inchini. kiswahili Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS) Umuimu kumi ya Maktaba ya MLS

IFLA Section on Library Services to Multicultural ... · a.org language: design/photography: Eva and Sarah van Gameren IFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLAIFLA

  • Upload
    others

  • View
    7

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: IFLA Section on Library Services to Multicultural ... · a.org language: design/photography: Eva and Sarah van Gameren IFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLAIFLA

www.ifl a.orglanguage: design/photography: Eva and Sarah van Gamerendesign/photography: Eva and Sarah van Gamerendesign/photography: Eva and Sarah van Gameren

IFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsClara M. Chu ([email protected]) Clara M. Chu ([email protected]) Clara M. Chu ([email protected]) UCLA, Department of Information Studies UCLA, Department of Information Studies UCLA, Department of Information Studies

IFLA Section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA Section on Library Services to Multicultural Populations

Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)

Ni nini na kwa nini “Maktaba ya watu wote bila ubaguzi” (MLS)

inaendelea kuwa swali inayoulizwa na maktaba na watahalamu. Kwanza

kabisa, MLS ni chombo cha mazulio kwa wale wote ambao wanatumia

maktaba, lengo muhimu kuwa watu wa kutoka inchi za inje, wakimbizi na

wengine. Kawaida MLS inajulikana kama chombo cha habari cha wakimbizi

na wale wachache ambao wanausiano na nchi nyingine za inje. Lakini MLS

inajaribu kuwahakilisha watu wote na milango zake iko wazi kwa wale wote

ambao wana maitaji ya kutaka kujua na kutambua mengi.

Kwa hivyo MLS ni chombo cha habari kwa wote, inawapatia watu wote fursa

ya kujua mengi kuhusu lugha, utamaduni, na mchangalio ya watu wengine

inchini.

kiswahili

Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)Umuimu kumi ya Maktaba ya MLS

Page 2: IFLA Section on Library Services to Multicultural ... · a.org language: design/photography: Eva and Sarah van Gameren IFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLAIFLA

1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.

2.2. Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya aridhio kamili.aridhio kamili.aridhio kamili.

3. Wakati huu wa utandawazi na uongezevu wa urahisi wa mawasiliano na kusafi ri, watu wanaitaji kujifunza mila, lugha na utamaduni wao, kwani inaongeza kukubaliana na kuongeza maarifa kuhusu watu wengine.

4. Mazulio katika kabila tofauti na korongo karibu na watu inawasaidia ushirikishaji wa kidemokrasi inchini.

5. Maarifa kuhusu urithi wa mtu na wengine inatomea utamaduni na inasitawisha afi kiana ya mazoezi na mafi kira tofauti ambayo inachangilia katika maendeleo ya taifa moja.

6. Mazulio katika makabila na makorongo kwa kiasi ya watumiaji inasitawisha mafunzo kwa watu wote ambayo inasahalisha mapato ya mafunzo mageni na tabasuri ya kuwapa watu wote urari sawa inchini.

7. Hekima ya dunia, mwaza wa kauli tofauti na utamaduni imechapishwa katika lugha na formati tofauti, kwa hivyo MLS inawaezesha watu wote kusaidiwa kulingana na mahitaji yao.

8. Utaalamu wa mwaza wa kauli tofauti, kazi na utatuzi wa matatizo itamiliki maarifa safi pamoja na maoni ambayo inaweza fi kiliana na njia tofauti ya kutatiza maswala.

9. Maarifa kuhusu maktaba na uhusiano yake na watu wote bila ubaguzi, inaonyesha kwamba, jumuia na utamaduni ni ya maana sana kwa maktaba.

10. Maktaba ni sehemu ya wasomi/mafunzo, maburudisho, na elemu kuhusu utamaduni and huduma zingine. Kwa hivyo maktaba ni sehemu ya kuwaleta watu pamoja.

Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)Umuimu kumi ya Maktaba ya MLS