6
agence kuu ya Kanisa ya Muungano wa Methodiste Sheria ya Wespath CONFERENCE GENERALE YA 2020 Foto ya Couverture: Kanisa ya Howard Memorial (Mission Murewa)—canton ya Murewa, Zimbabwe

CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

  • Upload
    others

  • View
    2

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

agence kuu ya Kanisa ya Muungano wa Methodiste

Sheria ya Wespath

CONFERENCE GENERALE YA 2020

Foto ya Couverture: Kanisa ya Howard Memorial (Mission Murewa)—canton ya Murewa, Zimbabwe

Page 2: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

2 | CONFERENCE GENERALE YA 2020—SHERIA YA WESPATH WESPATH.ORG

Sheria ya Wespath iko Tournée kuelekea AvenirPetition ya Conference Generale ya 2020 (GC 2020) yenye inaungwa mkono na Wespath inatarajia Kanisa ya Muungano wa Methodiste ya baadaye ambayo inaathiriwa na mabadiliko ya nombre ya batu, bikwazo bya kimakuta na uwezekano wa urekebishaji wa UMC.

Petition mingi ya Wespath inahusu conference ya kila mwaka na wachungaji kule U.S.—na haitakuwa na athari kwa wachungaji ao makanisa yenye iko nje ya U.S. Hii iko kwa sababu kazi nyingi za Wespath zinaangazia mipango ya faida ya wachungaji wa Amerique (kama venye ilielekezwa na Kitabu kya Adabu) na kwa bafanyikazi non professionnels kuke Amerique.

Priorités za Wespath ziko:

• Kutunza bale benye banahudumu—sasa na siku zenye zinakuya;

• Kuhakikisha durabilité za faida za muda mrefu kwa bale benye banatumika;

• Kuhudumia UMC na expressions yoyote mupya ya Methodisme ambayo inaweza kutokea;

• Kusaidia ba clients wa ki institutionnels benye banahusiana na Muungano wa Methodiste kufikia malengo yabo ya uwekezaji na mission, wakati wa kuheshimu maadili ya UMC; na

• Investissement durable ambao inazingatia mambo ya mazingira, kijamii na utawala (ESG) na maadili ya Kanisa.

Wespath Benefits and Investments (Wespath)Kuhusu Wespath Wespath ni moja ya mashirika générales 13 ambayo inatumikia Kanisa ya Muungano wa Methodiste (UMC). Wespath njo administrateur ya faida ya kijamii kwa Kanisa. Kule États-Unis, Wespath inasimamia faida za kustaafu, afya, bulemavu na kifo kwa wachungaji, baajiriwa non professionnels na familia zabo.

Kwa eneo ya Africa, Phillipines na Eurasia, Wespath inashirikiana na mikoa 69 ya mkutano mkuu wa UMC, kusimamia malipo ya pesa za kustaafu kupitia mpango wa shirika kuu. Zaidi ya wachungaji wastaafu 3,200 na ba conjoints benye balibaki banapokea malipo kupitia programe ya Pension wa Conference Centrale.

Wespath haipokeyake fonds général yoyote ya kanisa.

Kuhusu Jina YetuMwezi wa saba 2016, tulibadilisha jina yetu ya kufanya kazi kutoka Bodi Kuu ya Pension na Faida za Afya kuwa Wespath. Jina yetu inaonyesha héritage yetu kama agence ya Kanisa:

• Wes inamheshimu John Wesley, héritage yetu ya Wesley, na kujitolea kwa John Wesley kwa haki ya kijamii.

• Path inahusu lengo yetu ya kutoa bashiriki na ba clients wa ki institutionnels na njia ya kufuata katika kufanikisha kustaafu, bien-être na malengo ya uwekezaji.

Petition 20213 – FAAdabu Sehemu ya IX (¶1501–1509)— GBPHB-Jina ya WespathNi nini: Kubadilisha officiellement jina ya agence kuwa Wespath kupitia Kitabu kya Adabu na Kitabu kya Maazimio; inachukua nafasi ya “Bodi Kuu ya Pension na Faida za Afya.”

Kwa nini inapendekezwa:Kwanza Mwaka wa 2016, ba partie prenante wa Kanisa bametumia jina ya Wespath.

Utawala wa Wespath

Kubadilisha données démographiques ya UMCUanachama wa UMC kule États-Unis inapungua, wakati uanachama nje ya Amerique inaongezeka. Baraza Kuu juu ya Makuta na Utawala (GCFA) inakadiria kuwa—wakati wa 2020—jumla ya ushiriki wa Kanisa katika Conference Centrale itakuwa zaidi ya jumla ya uanachama wa Kanisa katika mamlaka ya Amerique.Chanzo: Habari za UM, 25 Nov, 2019 www.umnews.org/en/news/us-dips-below-majority-of-membership

PENSIONS YA

CONFÉRENCE CENTRALE

Page 3: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

3 | CONFERENCE GENERALE YA 2020—SHERIA YA WESPATH WESPATH.ORG

Sheria kutoka kwa Wespath

Petition 20220 – FAMupango wa Kustaafu kwa Wachungaji wa Amerika/U.S. (Mupango wa “Compass”)—¶1504.1Compass ni mupango yenye ilipendekezwa wa kustaafu kwa wachungaji mu Amerique. Haingebadilisha faida za pension zenye zinatolewa mu Afrique, Philippines ao Bulaya.

Ni nini: Mupango mupya wa kustaafu kwa wachungaji wa Amerique.

Kwa nini inapendekezwa:• Durable kwa muda mrefu, kwa sorte kwamba vizazi vijavyo bya wachungaji bitapata faida za kustaafu• Mapato ya kutosha kwa wachungaji• Abordable kwa conference• Souple na portable • Haibadilishe faida za pension kwa wachungaji katika Conference Centrale

Compass imeundwa ku répondre mahitaji ya Kanisa yenye inabadilika.

Mabadiliko ya Mupango wa Faida

Petition 20227 – FA¶1504.1 Mupango wa Usalama wa Kustaafu kwa Wachungaji (CRSP)—Mupango Actuel wa KustaafuNi nini: Inatoa transition kutoka kwa CRSP mupaka mupango mupya ya Compass kwa wachungaji wa Amerique.

Petition 20222 – FA¶1504.1—Mipango ya Lazima na Mupango Mupya wa Utoaji wa Wachungaji benye balijumuishwaNi nini: Inaruhusu Wespath kufanya mabadiliko madogo kwa mipango ya wachungaji wa Amerique kati ya Conference Generale. Met à jour jina ya mupango ya retraite américain kwa Compass.

Petition 20228 – FA¶1504.1—Marekebisho kamili ya Mupango wa Ulinzi (CPP)Ni nini: Inaboresha faida za kifo. Inaongeza muda kwa wachungaji wa Amerique baondoke kwa huduma.

Mabadiliko Zengine za Mupango wa Faida

Petition ya Wespath inahusu tu wachungaji, makanisa za mu quartier, conference ya kila mwaka ao mipango ya faida mu États-Unis.

U.S. ONLY

U.S. ONLY

Page 4: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

4 | CONFERENCE GENERALE YA 2020—SHERIA YA WESPATH WESPATH.ORG

Sheria kutoka kwa Wespath

Utawala wa Wespath

Petition 20214 – FAUananchama wa ¶1502 (Bodi ya Bakurugenzi ya Wespath)Ni nini: Inapunguza bukubwa wa bodi ya bakurugenzi ya Wespath.

Kwa nini inapendekezwa:• Économies ya gharama—gharama ndogo za kusafiri

kwa mikutano• Efficacité—kufnaya maamuzi kwa rahisi• Cohérent na agences générales zengine za UMC—

GC 2012 na GC 2016 iliidhinisha bodi ndogo kwa mashirika 9

• Mitazamo tofauti—kuchunga représentation ya Conference Centrale kwa bodi

Petition 20224 – FA¶1504.20—Pensions ya Conférence centrale (CCP) Ni nini: Maelezo sahihi zaidi ya jukumu ya Wespath na matarajio yake kuhusiana na programe ya CCP mu Afrique, Bulaya na Philippines.

Kwa nini inapendekezwa:Clarification na mises à jour• Inaelezea kushirikiana kwa Wespath na agences générales zengine za UMC kwa programe ya CCP• Modernise maelezo ya programe ya CCP• Ina clarifie jukumu ya Wespath na Conference Centrale za kibinafsi. (Wespath anafanya maelewano na

Conference Centrale na inasaidia kwa usimamizi locale ya pension)

Services za Wespath

Petitions 20221 – FA na 20223 – FA¶1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis)¶1504.16—Investisseurs institutionnels (Kimataifa)

Maombi ni nini: Fafanua définition ya “affiliation na Kanisa ya Muungano wa Methodiste.”

Kwa nini zinapendekezwa: Inahakikisha kwamba expression yoyote mupya ya Methodisme inaweza kutumia services za Wespath.

PENSIONS YA

CONFÉRENCE CENTRALE

Page 5: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

5 | CONFERENCE GENERALE YA 2020—SHERIA YA WESPATH WESPATH.ORG

Sheria kutoka kwa Wespath

Petitions 20221 – FA, 20225 – FA, 20229 – FA, 20648 – FA na 20230 – FA

Maombi ni nini: Clarifications mineures kwa Adabu.

Zengine Adabu za Mises à jour

Petition 20701 – FA¶2555 Mupya—Masuala ya Pension kwa Unités za Désaffiliées ya KanisaNi nini: Paragraphe ya Discipline ya Mupya.

Kwa nini inapendekezwa:Flexibilité na mwendelezo• Inatoa njia kwa Wespath kushughulikia pension na faida kama conference ya kila mwaka ya Etats-Unis ao ma

groupe za makanisa ya locale zinaji separer kutoka kwa UMC• Inalinda pension za wachungaji wa Amerique• Inaweza kutumika na mapendekezo yote kuu ya Conference Generale juu ya kurekebisha structure ya UMC

Ma contingence za Urekebishaji wa UMC yenye inawezekana

Petition 20266 – GA¶717—Investissements ya Kudumu na Responsables ya JamiiNi nini: Inabahimiza ba investisseurs ya UMC kushirikisha biongozi wa leta na ba décideurs politiques kusaidia mazoea ya uwekezaji durable na uwajibikaji kijamii.

Kwa nini inapendekezwa: • Aligne pratiques za uwekezaji na Kanuni za Kijamii za UMC, zenye

équilibré na majukumu ya fiduciaires.• Inawasha “sauti kwa meza”—Ba investisseurs benye banahusiana

na kanisa (pamoya na Wespath) banaweza kushirikisha mashirika na gouvernment kutengeneza mabadiliko mazuri yenye inahusiana na maswala ya haki za binadamu, hatari ya hali ya hewa na maswala zengine.

Éthique ya Investissement ya Kanisa

Approche yetu ya Investir—Shirikisha—Epuka inaongoza activités za investissement ya Wespath. Soma zaidi katika wespath.org/si.

U.S. ONLY

Page 6: CONFERENCE GENERALE YA 2020 Sheria ya WespathServices za Wespath Petitions 20221 – FA na 20223 – FA 1504.2—Mipango ya Hiari ya Wespath (Mipango ya Faida ya Etats-Unis) 1504.16—Investisseurs

6 | CONFERENCE GENERALE YA 2020—SHERIA YA WESPATH WESPATH.ORG

Petition 20725 – CO

Conférences Régionales ya AmeriqueWespath inaunga mkono sana pendekezo ya Table ya Uunganisho kwa Conference Régionale wa Etats-Unis Tulicheza jukumu muhimu katika kukuza hii sheria—kwa kushirikiana na Table ya Kuunganisha na ba partenaires bengine wa madhehebu.

Ni nini: Huanzisha Conference Régionale mupya wa Etats-Unis kwa kusimamia mambo ya États-Unis-tu, pamoya na mipango ya faida ya wachungaji wa Etats-Unis mambo yenye inahusiana na ushuru na uangalifu wa ma jours fériés ya Etats-Unis miongoni mwa mambo zengine ya Etats-Unis tu.

Kwa nini inapendekezwa:• Ingelikuwa compatible na utawala wa Conference Centrale—ingeruhusu uhuru wa

mambo maalum ya Etats-Unis sawa na uhuru ambao Kanisa nje ya Etats-Unis iko nayo.• Kuzingatia ulimwengu—inaruhusu muda zaidi katika Conference Generale kuzingatia

maswala yenye inahusiana ambayo inaathiri Kanisa yetu ya ulimwengu.• Kubadilisha démographie ya ulimwengu— Bajumbe wa Conference Generale

banazidi kutoka kwa conference nje ya Etats-Unis, lakini banatumia wakati mwingi wa Conference Generale juu ya maombi ambayo haina athari nje ya Amerique.

1996 2032 (Projection)

61%

39%

85%

15%

Bajumbe wa Conference Generale

Conference za AmeriqueConference Zengine Zote

Petition 20652 – FA¶615, 622, 639, 818—Malipo ya ProportionnelNi nini: Inaondoa lugha ya zamani kuhusu mishahara ya wachungaji.

Ushirikiano wa Sheria

wespath.org/GC2020

twitter.com/wespath

facebook.com/wespath

1901 Chestnut AvenueGlenview, Illinois 60025-1604

5490 KS/030320

Conférences Régionales ya Amerique

U.S. ONLY

U.S. ONLY