12
MWONGOZO WA MIPANGO MIJI

MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

  • Upload
    others

  • View
    20

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

1

MWONGOZO WA MIPANGO MIJI

Page 2: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

VIELELEZO VILIVYOMO

01 KWA NINI NI VIZURI KUPANGA?

02 AINA YA MIPANGILIO YA MIJI

03 AINA YA BARABARA

04 JINSI YA KUCHORA MPANGO WA MAKAZI

Ukurasa 3

Ukurasa 4

Ukurasa 5

Ukurasa 6

Page 3: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

3

01KWA NINI NI VIZURI KUPANGA?

Manufaa ya upangaji:

Kuweka utararibu mzuri wa kuishi kwa pamoja.

Kutumia vizuri eneo la ardhi lililopo.

Kutenga maeneo ya wazi kwa kupumzikia, na pia kwa ajili ya ujenzi wa shule, zahanati na kadhalika.

Kuhakikisha kuwa kila eneo linafikika kwa urahisi, linapata hewa nzuri ya kutosha pamoja na mwanga wa kutosha.

kupunguza gharama za kupitisha bomba za maji pamoja na bomba za maji machafu/taka.

kuondoa migongano baina ya wakazi wa eneo hilo.

Page 4: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

4

02AINA YA MIUNDO YA MIJI

Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara, maeneo ya kupumzika, vitalu vya nyumba na kadhalika. Inafaa kuchagua aina ya muundo wa mji utakaokidhi mahitaji yenu.

GRIDIAina hii ya muundo ni gridi ya mraba au mstahili. Ni muundo mstahili ulio rahisi ambao unafaa kwa kuweka mandhari mazuri hasa kwenye maeneo ya miteremko/miinuko. Jinsi ya kuutumia muundo huu, angalia mfano namba 2B.

BUMBA/VISHADAKwenye aina hii ya muundo, vitalu vnapangwa kuzunguka maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kupumzikia watu. Kuujua muundo huu angalia mfano namba 2C.

TOMEAKwenye aina hii ya muundo, barabara na vitalu vinakuwa vimezunguka maeneo ya kupumzikia ambayo yako katikati ya makazi ya watu. Jinsi ya Kuujua muundo huu angalia mfano namba 2A.

MGONGOMuundo wa aina hii unakuwa na barabara kuu inayopita katikati ya makazi ya watu na unafaa sana kwenye maeneo yenye vitalu vyembamba. Kuujua muundo huu angalia mfano namba 1.

GRIDI

BUMBA/VISHADA

TOMEA

MGONGO

Page 5: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

5

Kumbuka kuwa sio barabara zote zenye upana wenye kufanana. Kuna aina nne za barabara zenye upana tofauti:

ATERI (24m)

UNGANISHI (16m)

ZA MITAA (10m)

ATERI BARABARA Hii ni barabara yenye kuunganisha eneo lenu na maeneo mengine ya mji; ni barabara kubwa kuliko zote na huwa na njia mbili kwa kila upande. Upana wake ni lazima uwe mita 24.

BARABARA UNGANISHIInaunganisha makazi yenu na maeneo mengine yanayowazunguka. Upana wake lazima uwe mita 16.

BARABARA ZA MITAAHizi zinaunganisha makazi pamoja na mitaa yenyewe kwa yenyewe. Upana wa barabara hizi lazima uwe mita 10.

NJIA ZA KUPITAA KWA MIGUUHizi zinaunganisha maeneo ya kupumzikia au miraba pamoja na nyumba za kuishi watu, na zinatumika kwa watembea kwa miguu tu. Upana wao ni lazima uwe mita 4.

03AINA YA BARABARA

Mistari inayogawa barabara zinazopita maeneo ya makazi

3m 3m

2,7m 2,7m

4m

1,4m 1,4m

2,5m

2,5m2,5m 2,5m 2,5m

1,8m

2,5m6,5m

3m 3m

6,5m

NJIA ZA WAENDA KWA MIGUU (4m)

Page 6: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

6

1. Chora barabara unganishi kuanzia katikati ya kitalu kifupi kwa eneo, kama inavyoonekana kwenye picha.

2. Chora barabara za mitaa kwa utaratibu wa pembe katikati ya njia kuu na ukingo wa kiwanja, kama inavyoonekana kwenye picha. Upana kati ya ekseli mbili usizidi mita 50. Kama kitalu ni zaidi ya urefu wa mita 300, chora njia za watembea kwa miguu ziwe sambamba na njia kuu inayogawa upande mrefu wa kitalu.

5. Tenga asilimia 8 ya maeneo yote ya viwanja kwa ajili ya maeneo ya kupumzikia, asilimia 5 kwa ajili ya shule na nyumba za starehe, vyote vikiwa karibu na barabara kuu.

4. Chora viwanja vyenye ukubwa unaokidhi mahitaji (mf. 10x20, 20x20, n.k.).

3. Tumia upana wa mita 16 kuchora barabara unganishi (mita 8 kwa kila upande wa mstari wa kati), mita 10 kuchora barabara za mitaa (mita 5 kila upande wa mstari wa kati) na mita 4 kuchora njia za watembea kwa miguu.

MFANO WA 1: VIWANJA VYEMBAMBA

KAMA ENEO NI LEMBAMBA NA REFU, FUATA HATUA HIZI WAKATI WA KUPIMA NA KUCHORA:

1.

2.

3.

4.

5.

MGONGO

Mstari wa katikati wa barabara za mitaa

Mstari wa katikati wa barabara unganishi

Ili kuchora mpango wa makazi/viwanja, kwanza unahitaji kuweka ukubwa wa kitalu cha mtu binafsi unachohitaji kukitengeneza. Maelekezo yafuatayo huzingatia kitalu cha 10x20 (200m2), ambayo inaweza kuongezwa kwa urahisi kuunda kitalu cha 20x20 au 20x30. Kwa ujumla, dhana ya msingi na mbinu inavyoonekana hapa inaweza kuchukuliwa kwa urahisi katika kitalu chenye ukubwa wowote.

04JINSI YA KUCHORA MIPANGO YA MAKAZI

Page 7: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

7

1. Chora barabara unganishi ili ziunganishe barabara zinazozunguka maeneo ya makazi. Katikati ya eneo ni pale ambapo barabara hizo zinapopishana.

2. Chora eneo la kupumzikia katikati ya eneo la makazi. Ukubwa wa eneo la kupumzikia ni sawa na ukubwa wa eneo lote la makazi gawanya kwa 40. Kwa mfano, kama eneo lote ni la mraba wa mita 90,000, basi eneo la kati kwa ajili ya kupumzikia litakuwa mita za mraba 2,250.

Chora baadhi ya barabara za mitaa kuanzia katikati ya makazi, na nyingine ziwe sambamba na umbopande za makazi. Upana wa vitalu kati ya barabara sambamba ni 40.

5. Jumla ya ukubwa wa eneo lote likigawanywa kwa 18 ndilo eneo litakalotumika kwa ajili ya maeneo mengine ya kupumzikia. Vipangilie maeneo yake kiasi kwamba vyote havitakuwa zaidi ya umbali wa mita 300 kutoka vilivyopo vingine. Tenga maeneo mengine karibu na maeneo ya kupumzikia kwa ujenzi wa shule na majengo ya starehe.

4. Chora viwanja vyenye ukubwa unaokidhi mahitaji (mf. 10x20, 20x20, n.k.).

3. Tumia upana wa mita 16 kuchora barabara unganishi (mita 8 kila upande wa mstari wa kati wa barabara) na upana wa mita 10 kuchora barabara za mitaa kuunganisha bumba/shada (mita 5 kwa kila upande wa mstari wa kati wa barabara).

MFANO WA 2: ENEO LA ARDHI LENYE UMBO LA KAWAIDA

IKIWA ENEO NI TAMBARARE FUATA HATUA ZIFUATAZO:

A) KAMA MNAHITAJI ENEO KUBWA LA KUPUMZIKIA LIWE KATIKATI YA MAKAZI, FANYENI YAFUATAYO:

1.

2.

3.

4.

5.

TOMEA

Mstari wa katikati wa barabara za mitaa

Mstari wa katikati wa barabara unganishi

Eneo la kupumzikia

Page 8: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

8

B) KAMA MNATAKA MUUNDO RAHISI FANYENI YAFUATAYO:

1. Chora barabara unganishi ili iunganishe barabara zilizopo kwenye eneo/makazi.

2. Chora gridi ambayo itatengeneza mistatili yenye ukubwa wa mita 134 kwa mita 96.

5. Tenga maeneo kwa ajili ya kupumzikia, ujenzi wa shule na jengo la starehe, yote yakiwa karibu na barabara/njia kuu.

6. Asilimia 8 ya ukubwa wa eneo lote litengwe kwa ajili ya meneo ya kupumzikia. Asilimia 5 kwa ajili ya maeneo ya shule, na jengo la starehe. Viwanja vyote visiwe mbali ya mita 300 kutoka kwenye maeneo ya kupumzikia.

4. Kwa kila kitalu chora viwanja vyenye ukubwa unaokidhi mahitaji (mf. 10x20, 20x20, n.k.).

3. Tumia upana wa mita 16 kuchora barabara unganishi (mita 8 kila upande wa mstari wa kati) na upana wa mita 10 kuchora barabara za mitaa (mita 5 kila upande wa mstari wa kati).

1.

2.

3.

4.

5.

GRIDI Mstari wa katikati wa barabara

Mstari wa katikati wa barabara za mitaa

Mstari wa katikati wa barabara unganishi

Page 9: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

9

Kila kiwanja cha kawaida kinapitiwa na barabara (4m)

1616161688888888

2512

,512

,525

12,5

12,5

55

68

84

64

1010

1010

1010

1212 8 81212 8 8

410

1010

30

1212 8 81212 8 8

410

1010

30

1212 8 81212 8 8

4

40

40

6464

MODULO RETÍCULALote de 120 m212x10 / 8x15

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

MANZANATÍPICA

MANZANAC/PARQUE

MANZANAC/APORTE

104

6464

64

1010

10

1510

4

15 10151015 10

1010

1010

1010

1510

4

15 10151015 10

3010

1010

1510

4

15 10151015 10

30

50

50

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

1515

MODULO RETÍCULALote de 150 m210x15

MANZANATÍPICA

MANZANAC/PARQUE

MANZANAC/APORTE

124

86

10

201020 10201020 10

1010

1010

1010

1010

201020 10201020 10

1010

1040

60

10

201020 10201020 10

1010

1040

60

8686

MODULO RETÍCULALote de 200 m210x20

MANZANATÍPICA

MANZANAC/PARQUE

MANZANAC/APORTE

Ukubwa wa kitalu: 200 m2 (10x20)

Ukubwa wa kitalu: 150 m2 (10x15) Ukubwa wa kitalu: 120 m2 (10x12, 8x15)

Ukubwa wa kitalu : 400 m2 (20x20)

Page 10: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

10

1. Choreni barabara unganishi ili iweze kukutana na barabara zingine kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kupumzikia.

2. Gawa viwanja kwa utaratibu wa bumba/vishada. Kila kishada kiwe na ukubwa wa mita za mraba 15000. Kwa mfano, kama eneo lote lina ukubwa wa mita za mraba 90,000 , basi mtakuwa na vishada 6.

3. Chora eneo la kupumzikia katikati ya kila kishada; eneo hilo lisipungue ukubwa wa mita za mraba 1200.

4. Tumia upana wa mita 16 kuchora barabara unganishi (mita 8 kila upande wa mstari wa kati wa barabara), upana wa mita 10 kuchora barabara za mitaa kuunganizha na barabara kuu na maeneo ya kupumzikia (mita 5 kila upande wa mstari wa kati wa barabara) na upana wa mita 4 kwa ajili ya njia ya watembea kwa miguu, ambazo pia zitaunganisha maeneo yote ya kupumzikia.

5. Tenga maeneo yenye ukubwa unaokidhi mahitaji (mf. 10x20, 20x20, n.k.). Kisha kwenye kila kishada, tenga maeneo ya ujenzi wa shule na jengo la starehe.

C) KAMA MNAPENDA WAKAZI WAWE NA FURSA YA KUKUTANA MARA KWA MARA, FANYENI YA FUATAYO:

1.

2.

3.

4.

5.

BUMBA/VISHADA

Mstari wa katikati wa barabara za mitaa

Mstari wa katikati wa barabara unganishi

Page 11: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

11

112

116

116

112

1010

15 1515 15

15 1515 15

8 8 8 8 8

8 8 8 8 8

88

88

88

88

88

88

88

168

88

88

88

88

88

8

1010

8

8

MODULO CLÚSTERLote de 120 m28x15

110

116

110

116

15 151010101015 15

15 151010101015 15

1010

1010

1010

1010

1010

10

1010

1010

1010

1010

1010

10

1010

1010

8

MODULO CLÚSTERLote de 150 m210x15

130

136

130

20 201010101020 20

20 201010101020 20

1010

1010

1010

1010

1010

1010

10

1010

1010

1010

1010

1010

1010

10

1010

1010

8

8

MODULO CLÚSTERLote de 200 m210x20

1688

1688

1688

168

816

88

168

816

88

168

816

88

2512,5 12,5

2512,5 12,5

106

106

Ukubwa wa kitalu: 200 m2 (10x20)

Ukubwa wa kitalu: 150 m2 (10x15) Ukubwa wa kitalu: 120 m2 (8x15)

Ukubwa wa kitalu: 400 m2 (16x25)

Page 12: MWONGOZO WA MIPANGO MIJI - ESRFesrf.or.tz/docs/MWONGOZO_WA_MIPANGO_MIJI.pdf4 02 AINA YA MIUNDO YA MIJI Muundo wa mji ni fursa muhimu na ya kipekee kwa ajili ya upangiliaji wa barabara,

12

www.grade.edu.pe/lotizer