2
DOOR OF HOPE TO WOMEN AND YOUTH TANZANIA (DHWYT) Ni shirika lisilokuwa la kiserikali linalofanya kazi zake bila kuwa na gawio la faida. Makao yake Makuu yako Mkoani Mtwara, Wilaya ya Mtwara Tanzania. Tangu uanzishwaji wake Mwaka 2016 shirika la limekuwa linapambana kukuza na kuwezesha Vijana na Wanawake wa Kitanzania ili waweze kutumia uwezo wa akili na nguvu zao wenyewe, kubaini na kutumia fursa na rasilimali za taifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii. Kabla ya usajili kamili na kutambulika kisheria, shirika lilijulikana kwa jina la Tanzania Youth and Women Foundation (TYWF). Baadae lilibadilisha jina na kuitwa Door of Hope to Women and Youth Tanzania (DHWYT) na kusajiliwa mwaka 2017 chini ya Sheria ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya mwaka 2002 na kuanzia hapo, shirika lilianza utekelezaji wa program mbalimbali Tanzania Bara, lengo likiwa kuwasaidia na kuwawezesha vijana na wanawake kutambua nafasi na dhamani yao ili kutumia fursa za kitaifa kwa maendeleo endelevu ya Kiuchumi na Kijamii. Shirika la Door of Hope kwa sasa limejikita kwenye kukuza ushiriki wa Vijana na wanawake kwenye masuala ya Umma ili kuwezesha wananchi kupata huduma za jamii zilizoboreshwa na nafuu na kuchochea maendeleo jumuishi na endelevu. Door of Hope tunaamini kwamba, ikiwa makundi haya mawili ya kijamii (wanawake na vijana) watawezeshwa kwenye nyanja mbalimbali, na hususani nyanja ya kupata taarifa; watakuwa na uwezo wa kudai na kuchangia kwenye uongozi na mifumo ya serikali ambayo itatoa huduma kwa umma kwa njia ya ajira, kukuza miundombinu, huduma bora za afya, Maji safi na salama na Elimu. LENGO KUU Shirika la Door of Hope linapambana kusadia na kuwezesha vijana na wanawake wa Kitanzania kwa ajili ya maendeleo endelevu kwa kukuza ushiriki wao kwenye masuala ya Umma. MAONO YETU Kuwa na Vijana na wanawake wa Kitanzania waliowezeshwa, wenye uwezo wa kutumia nguvu na akili zao wenyewe, kubaini na kutumia fursa za kitaifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Kijamii na Kiuchumi. DHAMIRA YETU Kukuza ushiriki wa Vijana na wanawake kwenye masuala ya umma kwa kuwawezesha kwenye ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii, Uimarishaji wa uchumi/kipato, elimu ya uraia, utawala bora kwenye rasilimali za umma, na Afya unasihi wa lishe na Huduma. MALENGO MAHUSUSI 1. Kuwawezesha Vijana na Wanawake katika maeneo ya ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na kuwapa ufahamu wa jinsi jamii inavyopaswa kudai ufafanuzi, uhalalisho, uthibitishaji na usahihisho ili kukuza uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa shughuli zote za umma. 2. Kusaidia wanawake na vijana katika kuimarisha uchumi/kipato na kuwawezesha PROGRAMU KUU ZINAZOTEKELEZWA NA DOOR OF HOPE • Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa jamii/UUJ- (Social Accountability Monitoring/SAM) • Elimu ya Uraia - Nguvu ya Kijana na Mwanamke – (Civic Education on Youth and Woman Power) • Uimarishaji wa Uchumi na Ujasiriamali – (Economic Strengthening and Entrepreneurship) • Vijana na Utawala bora kwenye sekta ya Uziduaji – (Youth and Resource Governance in Extractive Industry, Oil, Gas and Minerals) • Afya, Unasihi wa Lishe na Huduma – (Health, Nutrition assessment and Counseling) kupata mitaji kwa ajili ya ujasiriamali na kupata ardhi kwa ajili ya kilimo biashara. 3. Kutoa elimu endelevu ya Uraia juu ya Utawala bora, Demokrasia na Haki za Binadamu. 4. Kuwawezesha Vijana na wanawake kwenye masuala ya Afya,Unasihi wa Lishe na Huduma 5. Kufanya uraghabishi/utetezi kwa serikali ili kutunga au kurekebisha sheria na sera zinazoathiri chanya Vijana na Wanawake na kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya kukuza utu/ heshima, maendeleo na ulinzi wao. 6. Kufanya Utetezi wa haki za binadamu na haki za watu ngazi ya kitaifa, kikanda na kushiriki katika harakati za kimataifa/kidunia kwa ajili ya ulinzi na utetezi wa haki za binadamu. 7 .Kuongoza katika utekelezaji wa Malengo endelevu ya duniani (SDGs) hususani malengo sita ya mwanzo (1, 2, 3, 4, 5, na 6) katika ngazi ya Mikoa na Wilaya na kusaidia utekelezaji wake kupitia mipango na mikakati ngazi ya serikali za mitaa.

2 3 4 6 5 1 LENGO KUU MAONO YETU DHAMIRA YETU

  • Upload
    others

  • View
    15

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: 2 3 4 6 5 1 LENGO KUU MAONO YETU DHAMIRA YETU

2 3 4 6 5 1DOOR OF HOPE TO WOMEN AND YOUTH TANZANIA (DHWYT)

Ni shirika lisilokuwa la kiserikali linalofanya kazi zake bila kuwa na gawio la faida. Makao yake Makuu yako Mkoani Mtwara, Wilaya ya Mtwara Tanzania. Tangu uanzishwaji wake Mwaka 2016 shirika la limekuwa linapambana kukuza na kuwezesha Vijana na Wanawake wa Kitanzania ili waweze kutumia uwezo wa akili na nguvu zao wenyewe, kubaini na kutumia fursa na rasilimali za taifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii.

Kabla ya usajili kamili na kutambulika kisheria, shirika lilijulikana kwa jina la Tanzania Youth and Women Foundation (TYWF). Baadae lilibadilisha jina na kuitwa Door of Hope to Women and Youth Tanzania (DHWYT) na kusajiliwa mwaka 2017 chini ya Sheria ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya mwaka 2002 na kuanzia hapo, shirika lilianza utekelezaji wa program mbalimbali Tanzania Bara, lengo likiwa kuwasaidia na kuwawezesha vijana na wanawake kutambua nafasi na dhamani yao ili kutumia fursa za kitaifa kwa maendeleo endelevu ya Kiuchumi na Kijamii. Shirika la Door of Hope kwa sasa limejikita kwenye kukuza ushiriki wa Vijana na wanawake kwenye masuala ya Umma ili kuwezesha wananchi kupata huduma za jamii zilizoboreshwa na nafuu na kuchochea maendeleo jumuishi na endelevu. Door of Hope tunaamini kwamba, ikiwa makundi haya mawili ya kijamii (wanawake na vijana) watawezeshwa kwenye nyanja mbalimbali, na

hususani nyanja ya kupata taarifa; watakuwa na uwezo wa kudai na kuchangia kwenye uongozi na mifumo ya serikali ambayo itatoa huduma kwa umma kwa njia ya ajira, kukuza miundombinu, huduma bora za afya, Maji safi na salama na Elimu.

LENGO KUUShirika la Door of Hope linapambana kusadia na kuwezesha vijana na wanawake wa Kitanzania kwa ajili ya maendeleo endelevu kwa kukuza ushiriki wao kwenye masuala ya Umma.

MAONO YETUKuwa na Vijana na wanawake wa Kitanzania waliowezeshwa, wenye uwezo wa kutumia nguvu na akili zao wenyewe, kubaini na kutumia fursa za kitaifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Kijamii na Kiuchumi.

DHAMIRA YETUKukuza ushiriki wa Vijana na wanawake kwenye masuala ya umma kwa kuwawezesha kwenye ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii, Uimarishaji wa uchumi/kipato, elimu ya uraia, utawala bora kwenye rasilimali za umma, na Afya unasihi wa lishe na Huduma.

MALENGO MAHUSUSI1. Kuwawezesha Vijana na Wanawake katika maeneo ya ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na kuwapa ufahamu wa jinsi jamii inavyopaswa kudai ufafanuzi, uhalalisho, uthibitishaji na usahihisho ili kukuza uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa shughuli zote za umma.

2. Kusaidia wanawake na vijana katika kuimarisha uchumi/kipato na kuwawezesha

PROGRAMU KUU ZINAZOTEKELEZWA NA DOOR

OF HOPE• Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa jamii/UUJ- (Social Accountability Monitoring/SAM)• Elimu ya Uraia - Nguvu ya Kijana na Mwanamke – (Civic Education on Youth and Woman Power)• Uimarishaji wa Uchumi na Ujasiriamali – (Economic Strengthening and Entrepreneurship)• Vijana na Utawala bora kwenye sekta ya Uziduaji – (Youth and Resource Governance in Extractive Industry, Oil, Gas and Minerals)• Afya, Unasihi wa Lishe na Huduma – (Health, Nutrition assessment and Counseling)

kupata mitaji kwa ajili ya ujasiriamali na kupata ardhi kwa ajili ya kilimo biashara.3. Kutoa elimu endelevu ya Uraia juu ya Utawala bora, Demokrasia na Haki za Binadamu. 4. Kuwawezesha Vijana na wanawake kwenye masuala ya Afya,Unasihi wa Lishe na Huduma 5. Kufanya uraghabishi/utetezi kwa serikali ili kutunga au kurekebisha sheria na sera zinazoathiri chanya Vijana na Wanawake na kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya kukuza utu/ heshima, maendeleo na ulinzi wao. 6. Kufanya Utetezi wa haki za binadamu na haki za watu ngazi ya kitaifa, kikanda na kushiriki katika harakati za kimataifa/kidunia kwa ajili ya ulinzi na utetezi wa haki za binadamu.7 .Kuongoza katika utekelezaji wa Malengo endelevu ya duniani (SDGs) hususani malengo sita ya mwanzo (1, 2, 3, 4, 5, na 6) katika ngazi ya Mikoa na Wilaya na kusaidia utekelezaji wake kupitia mipango na mikakati ngazi ya serikali za mitaa.

Page 2: 2 3 4 6 5 1 LENGO KUU MAONO YETU DHAMIRA YETU

2 3 4 6 5 1LOREMDOLOR SIT AMETPellentesque vehicula placerat �nibus. Etiam. Lorem

ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit.

FLYER

KUHUSU SHIRIKA LA “DOOR OF HOPE TANZANIA”

KUHUSU UFUATILIAJI WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII – UUJ/SAM• Door of Hope Tanzania ilianza kutekeleza rasmi shughuli ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ), maarufu kama SAM - Social Accountability Monitoring) katika ngazi ya serikali ya mitaa/ vijiji mwishoni mwa mwaka 2017. • SAM/UUJ ni mchakato wa kuwawezesha wananchi kudai utawala bora na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za jamii. Lengo ni kuwajengea wananchi uwezo wa kutafuta taarifa na kuzichambua ili waweze kufuatilia na kusimamia mipango, bajeti na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii katika maeneo yao.• Kupitia SAM/UUJ, jamii husika inakuwa na uwezo wa kuhoji uwajibikaji wa watendaji na watoa huduma, mathalani huduma za Maji, afya na Elimu katika sekta ya umma ili hatimaye waweze kutoa huduma bora zinazokidhi mahitaji ya wananchi. Matarajio ya UUJ/SAM ni kuona viongozi wanawajibika zaidi kwa wananchi wanaowatumikia na wananchi nao wanafahamu na kutekeleza wajibu wao kwa kufuatilia haki zao za msingi na kuwawajibisha watoa huduma wasiowajibika. • Mifano iliyotumika kwenye Kipeperushi hiki imejikita upande wa Maji, Elimu na Afya kwa kuzingatia uzoefu, dhana na malengo ya DOOR OF HOPE ya kufanya tathmini ya mifumo ya uwajibikaji katika ngazi zote za jamii na kisha kutetea, kwa lengo la kufikia upatikanaji wa huduma za jamii bora kwa watanzania wote.• Kwa sasa Shirika linatekeleza Mradi unaojulikana “Maji ni Uchumi, Ustawi na Afya”

(MAUA). Huu ni mradi unaotumia dhana ya SAM/UUJ kwenye sekta ya Maji kwa ajili ya kuwajengea uwezo wananchi na kusaidia kukuza ushiriki wao kwenye uboreshaji na upatikanaji wa huduma za maji safi, salama na nafuu. Uwezo na Uelewa wanaoupata wananchi unawawezeha kudahi Ufafanuzi, Uthibitisho, Uhalalisho na Usahihisho (4Us) kutoka kwa watumishi wa serikali na kuhimiza Uwazi na Uwajibikaji wakati wote wa utoaji wa huduma kwa jamii (Huduma za Maji)

HATUA 9 ZA UFUATILIAJI NA UWAJIBIKAJI KWA JAMII –

UUJ/SAMUshiriki + Ufuatiliaji + Uwazi = UWAJIBIKAJI

Hatua ya 1: Kupanga na Kuandaa Utekelezaji wa SAM/UUJHatua ya 2: Kuchagua Wajumbe wa Timu ya SAMHatua ya 3: Kuandaa Mikutano ya Wadau WakuuHatua ya 4: Mafunzo kwa Timu ya UUJ/SAMHatua ya 5: Kutembelea Miradi / Maeneo ya UtekelezajiHatua ya 6: Kuwasilisha matokeo ya awali kwa Halmashauri/Sekta husikaHatua ya 7: Mkutano wa pili wa Wadau / Mkutano wa MrejeshoHatua ya 8: Kuwasilisha matokeo kwa walipa kodi/WananchiHatua ya 9: Kuandaa Mpango wa Ufuatiliaji

Powered By:

MAWASILIANOS.L.P 1221 MtwaraNamba za Simu (Mezani) +255 23 232 4811(Kiganjani) +255 656 256 757/ +255 765 863 329Website: www.doorofhope.or.tz

DHWYTanzaniaDHWYTanzaniadoorofhope_tanzania

Email: [email protected] of Hope to Women and Youth Tanzania