7
Man Like Kalito! 3

16.a – Boyie

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 16– Boyie: Man like kalito (kufuga kuku)

Citation preview

Page 1: 16.a – Boyie

Man Like Kalito!

3

Page 2: 16.a – Boyie

4

Page 3: 16.a – Boyie

5

Page 4: 16.a – Boyie

6

Page 5: 16.a – Boyie

Pata info juu ya kufuga

kuku kwa page 9

7

Page 6: 16.a – Boyie

KuKu ni biz Poa ya Kufanya Kando:

1. unaweza fuga kienyeji, hybrid, broilers ama layers.2. Kama unataka kienyeji, unaweza nunua kwa jirani ama rafiki mwenye tayari anafuga.3. Kama unataka za grade, unaweza nunua kwa: • Muguku • ideal[Sigma] • Kim [wako nakuru] • Kenchic Hawa hu-provide kuku yenye ni 1 day old na ina-cost kshs 60 kwa chick moja. ya kienyeji moja ni kshs 80.4. ongea na agrovet aliye karibu na wewe juu ya risto za dawa za kuku.5. Hizo kuku unaweza uzia supermarket, hoteli, duka, butchery na ma-customer wengine.

Kama hauna space ya kuweka kuku kwa saa hizi, ongea na beste mwenye ana ka-ploti akuwekee

umpatie commission ausio?!

na kuku zote Kenya hutaga mayai 1.3 biLLion kwa

mwaka…yaani, ukizipanga side by side zote, zitazunguka dunia

mara mbili!!

Hebu fikiria: Kuku 3 layers,

zinaingiza kshs 500 kwa mwezi!

Biz ya kuku ndio imefikisha

Eunice penye ako saa hizi! Imagine thao kwa wiki! Kuweni wajanja!

Hebu try hii idea u-show DJ B kwa

3008!

EunicE Mainabase: Ruai

Wax: Radio Producer … lakini

kandokando, anafuga kuku…

Tangu nikuwe mtoi, nilitaka sana ku-do job ya radio. Lakini sikuwa na dooh za fare na ku-hustle. nilikuwa

na savings kiasi, nika-omba wazazi kuku moja. Then nika-buy zingine

mbili. Hizi kuku ndio zimefanya ni-achieve dream yangu ya kuwa

Radio PRoducER.

niliamua nifuge kuku za kienyeji juu hazina job mob.

Saa hizi nina kuku 65. Kwa wiki, mayai zinaingiza 1000, kukiwa

na sherehe, kuku wa nyama wanaleta kama 6,000!

ni biz poa, na imeniwezesha ku-hustle. Pia nikiwa na emergency,

najua kuna dooh iko spare place flani. Si ati ni risto za ocha, ni ujanja!

Mifugo itakuinua, na itakupeleka kwenye unataka.

8

Page 7: 16.a – Boyie

9