6
item 3b ni redio ilio na fm, a.m. frequency, nani atainunua kwa mia mbili? chief ameipata kwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu! ...liiii... ...liii.. habari mama, una shida gani? vitu zangu ndizo zinauzwa kwa auction! BOYIE sob sob sob sob aweka chief kwa noma 3

06.a - Boyie

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 6 - Boyie: Aweka Chief Kwa Noma!

Citation preview

Page 1: 06.a - Boyie

item 3b ni redio ilio na fm, a.m. frequency, naniatainunua kwa mia mbili? chief ameipata kwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu!

...liiii... ...liii..

habari mama, una shida gani?

vitu zangu ndizo zinauzwa kwa auction!

BOYIE

sob

sob

sob

sob

BOYIE aweka chiefkwa noma

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 1.pdf 1 7/13/10 12:44 PM

3

Page 2: 06.a - Boyie

mambo yaliharibika baada ya mume wangu kufariki.Watu walinitumia SMS wakiniambia nihame sababu mimi si mwenyeji

“mume wangu alikuwa na deni kubwa...

“AUCTIONEERS WALICHUKUA VITU VYA NYUMBA

“niliuliza chief usaidizi na akakataana kusema hasaidii watu wa kabila yetu...

NA KUTUHAMISHA KWA SHAMBA YETU...

“NILIPOKUWA MSICHANA NILIKUWA NATAKAKUWA NA SALON. LAKINI SINA MBELE WALA NYUMA. SINA PESA ZA KUJIENDELEZA...”

USIJALI MAMA NITAAMBIA RAFIKI YANGU ALIYE NA KIPINDI YA KUENDELEZA VIJANA KWA REDIO

Siskii kama niko safe hapa na ni lazima nihame

yaani shujaaz fm NA ATAWEZA KUKUSAIDIA.

4

Page 3: 06.a - Boyie

hii ni shujaaz fm na kijana wenu djb! niaje mafans? nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu ambaye mali yake yote iliuzwa na auctioneers!!! amepoteza mali yake yote!

Ni responsibility yetu kama community kusaidiana hata kama ni watu wa community ingine

big-ups kwa mafans wanaonitumia ideas poa za kujiendeleza kama vijanaa...

nitumie ideas za kusaidiafriend ya mine on 3008.

big-ups kwa fan aliyenitumia smsna kuniambia ana idea ya kusaidia friend ya mine ya kujiendeleza. nitawa-connect mara hiohio!

natafuta mama teresa.

ni mimi.

5

Page 4: 06.a - Boyie

yaani chief hakusaidia? pole, sikujua kuwa maisha yako magumu HIVO

niliskia story yako kutoka kwa

MImi ni kiongozi wa District peace commitee na ninataka kukusaidia.

redio na nikaona naweza kukuSAIDIA twende nikuambie njiani.

unajua nimezoea kufanya kibaruaya kuosha na kupata 50 bob kila siku. lakini haitoshi kutuchunga mimi na watoto...

nashukuru sana.

unajua juu ya women’s fund?

hapana NA SIKUMALIZAMASOMO YANGU, SINA PESA ZA KUFUNGUA ACCOUNTNA KUNUNUA FORM.

HaUHITAJI VITU HIVYOVYOTE. KUPATA FORM NI BURE, NA HAWATAKU-ULIZA JUU YA MASOMO YAKO. TWENDE KWA OFISI YA WOMEN’SFUND ILI UPATE UJUMBE.

ndio hii women’s fund office. twende uongee na wao ili waweze kukusaidia.

mume wangu alikufa, mali yangu ikachukuliwa na auctioneers na hata chief alikuwa anawaangalia wakifanya haya yote. nilimuulizaanisaidie akakataa kwa sababu

ya kabila yangu.

so, ulikuwa unataka kunisaidia kivipi?

6

Page 5: 06.a - Boyie

hakikisha ujaze hizo forms nauzirudishe kwa women’s fund office

asante sana. sikufikiria ingekuwarahisi hivi ku-apply women’s fund.

asante pia.all the best.

munch!!hcnurk

MUME WANGU! Kwanini hungesaidia huyo mama ILI ASIFAGILIWE na auctioneers?!? wewe ni mkabila! niliskia HIYO STORY KWA show ya

kijana dj b na ikanisumbua sana!

sasa huyo mama hata hana kikombe! unadhani watoto wake wanaishi wapi na

wamefukuzwa kwa nyumba YAO?

NILIFIKIRI KAZI YAKO NI KUCHUNGA WANANCHI KUTOKANA NA MAOVU! YAANI

CHEO YAKO INAKUKUBALISHA KUFANYA HIVO?

NAJUA HAYA YOTE NILIOSEMA HUJASKIA LAKINI LAWAMA NI KWAKO!!!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 5.pdf 1 15/07/2010 10:08:19

7

Page 6: 06.a - Boyie

! ! ! U U U U K

SASA ALIKUWA AKIONGEA JUU YA NINI? NIKIPATA HUYO DJ B NITAMFUNGIA STATION AACHE MAKELELE MINGI!!

ASANTE BOYIE KWA KUNISAIDIA! NILI-SAIDIWA NA MAMA MWINGINE KUPATA WOMEN’S FUND .

NITAAMBIA RAFIKI YANGU DJ B KUWA ALIKUSAIDIA.

SAWA, LAKINI NILIKUWA NATAKA KUMSHUKURU IN PERSON .

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

Page 6.pdf 1 7/14/10 4:01 PM

Women’s FundMwaka wa 2007, serikali ilianzisha womens fund ili kusaidia wanawake kujiendeleza kiuchumi watajitegemee kifedha na kuwa more confident na ku-participate kwa maendeleo ya nchi. Kila constituency imepewa 1 million shillings ili wanawake waweze ku-apply na kui-pata. Womens fund inasaidia ku-build capacity ya wamama wanao omba loans, kwa kusaidia ku-market bidhaa zao na

kuwa-link na companies. Ni wanawake wachache wame-apply kupata women’s fund juu hawajui re-quirements za ku-apply sababu, hawana mali yao, na kuona ikiwa process refu ya ku-apply loans.

Kuna aina mbili za womens fund loans:1. C-WES loan

“Tuinuke Loan”. 0% interest. Unaweza pata loan ya up to 50,000

bob na kurudisha malipo within 12 months (Unaanza kulipa loan baada ya 3 months za kupata loan).

Hii loan inapewa tu kwa groups, si individuals.

Enda kwa CWES office ilio karibu ili kupata more info.

2. Financial intermediaries Registered group ama individual

anaweza-apply. Hizi hupewa na banks na saccos

zilme-authorize-iwa na womens fund.

Interest ni 8 %. Unaweza pata loan ya up to

Ksh.500,000. Malipo ya loan yanaanza kurudiswa within 36 months.

Ili ku-apply kwa womens fund unahitaji1. Kuwa 18yrs and above.2. Kuwa from registered group ilio na

more than 10 members kwa zaidi ya 3 months. Unaweza pata loan kuto-ka kwa Constituency Women Em-powerment Scheme (CWES) inayo-manage-iwa na District Gender and Social Development Officer kwa kila district.

3. Kuwa na account ya bank au sacco.4. Men wanaweza apply kama wana

30% representation kwa group ya wamama.

Hizi loans ni revolving na lazima watu warudishe malipo ili wengine wai-benefit. Securities za CWES loan ni kama household items na business stocks.Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya womens funds on 3008.

8