6
BOYIE ...mamlaka kama chief, ili ku-stop hii behaviour! boosh, naenda kuambia chief vile wale vijana wakora walikufanyia! hatuwezi kuwaacha hivyo! ...ni important sana tukatae pressure za gangs na wale wanataka kutunyang’anya biashara na pesa zetu. kama ushawahi kuwa victim wa ma-gangs ni poa kuzungumza na mtu ako kwa... Siku za mwizi 3 chief aliwaambia gang wamtafute dj b na kufunga shujaaz.fm... ...lakini by mistake gang walim- shika dj b mwingine aliyekuwa aki-play kwa concerts... ...na mamake dj b yule mwingine hakufurahia alipowapata kwa nyumba yake!... hapo awali...

08.a - Boyie

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 8 - Boyie: Siku Za Mwizi...

Citation preview

Page 1: 08.a - Boyie

BOYIE...mamlaka kama chief, ili ku-stop hii behaviour!

boosh, naenda kuambia chief vile wale vijana wakora walikufanyia! hatuwezi kuwaacha hivyo!

...ni important sana tukatae pressure za gangs na wale wanataka kutunyang’anya biashara na pesa zetu.

kama ushawahi kuwa victim wa ma-gangs ni poa kuzungumza na mtu ako kwa...

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg01.pdf 1 11/09/2010 09:32:32

Siku za mwizi

3

chief aliwaambia gang wamtafute dj b na kufunga shujaaz.fm...

...lakini by mistake gang walim-shika dj b mwingine aliyekuwa aki-play kwa concerts...

...na mamake dj b yule mwingine hakufurahia alipowapata kwa nyumba yake!...

hapo awali...

Page 2: 08.a - Boyie

wewe chief! ni nini unafanya ili ku-control hizi gangs zinazo tuhangaisha?

kazi yako ni kukaa kwa ofisi na kuzungusha makaratasi, huku wezi wanatuibia!

walimfunga kijana wangu na kujaribu kumuibia vitu vyake vya muziki! chief wa bure

wewe!

huyo chief ni mzembe! hata hakuskia kitu chochote nilimwambia! afadhali ninge-shout zaidi!

mum, hiyo si njia ya kuongeleshachief. Ndio sababu hakukusikiza kwa sababu ya ku-shout.

wacha ni-try kumuongelesha vi-politely.

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg02.pdf 1 13/09/2010 11:34:28

4

Page 3: 08.a - Boyie

chief, naomba muda kidogo tu wako. nataka ku-report kesi ya kudhulumiwa.

gang fulani ya mavijanaa wali-break into my room wakanifunga kwa kiti ati niwaeleze kuhusu redio station yangu...lakini sina.

na-hope utashughulikia hiyo kesi na haki ifanyike kwa hiyo gang.

mbona hao vijanaa walifikiria uko na redio station?

mimi ni boosh najiita dj b.wanaweza kuwa walini-mistake dj b wa redio.

wajinga hao!

usijali kijanaa. nitajaribu kukufanyia justice. lazima hiyo gang ilipe kwa sababu ya crime zao.

askari! lazima tukamate hii gang ina-terrorise mitaa yetu. leo tunamaliza hio reign yao.

ndio wale!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg03.pdf 1 11/09/2010 09:41:24

5

Page 4: 08.a - Boyie

karao! hepeni wasee!

weee! kujeni hapa!

kamata! nimempata, chief!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg05.pdf 8/19/2010 1:51:13 PM

6

Page 5: 08.a - Boyie

ninawashtaki kwa kujaribu kumwibia dj boosh.

haiya! lakini si ni wewe ulitu-show tutafute dj b!

wewe! sijui unaongelea nini? mumejaa uongo!

yaani hakuna mtu naweza trust? nitamtafuta dj b mwenyewe.

manze uta-regret kwa kutudanganya chief! uko alone na sisi ni kibao!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg04.pdf 1 11/09/2010 09:43:55

7

Page 6: 08.a - Boyie

vipi ma-youth! nime-get text kutoka kwa jamaa anajiita dj b! inaonekana nina twin...lakini kumbukeni mimi ndio the one and only dj b kwa shujaaz.fm!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

B8_pg06.pdf 1 11/09/2010 09:45:13

Si rahisi kuongea na mtu aliye na mamlaka sababu yeye huwa na uamuzi wa hali yako. Lakini beshte yangu Boosh ana tips juu ya ku-communicate na kupata matokea uliyokuwa uki-expect kwa watu walio na authority.

Kuwa umetulia kabla ya ku-meet na mtu aliye na mamlaka.

Vaa vizuri, kuwa msafi vile utaheshimika. Itasaidia

ku-create impression poa na ku-demand respect.

Usi-argue na mtu aliye na mamlaka. Kama umekosea,

apologise ili isilete hasira juu ya kukana. Mwambie facts ukiwa

calm na ume-tulia.

Kama ume ulizwa maswali, jibu kwa heshima na itazidisha

chances ya kutapata results uliyokuwa ukitarajia.

Msalimie ili asifikiri unamchukia. Kumbuka yeye ni binadamu pia na kama wewe,

anapenda apewe heshima. Ukimwongelesha vizuri,

atataka kusikia mawazo yako and ku-respond.

Kumbuka wakati tulikuwa shule vile tuli-treat walimu

shuleni kama bad guys? Ukimfikiria mtu aliye na

mamlaka kuwa adui yako, mtakaa kama mnashindana badala ya ku-discuss issues

kama adults.

Hebu tuambie vile ulim-get chief kusikia complaint yako!

TIPS JuU YA KU-DEAL NA AUTHORITY

8