11
ORIFLAME INAKUFANYA UZIFIKIE NDOTO ZAKO

Oom presentation (swahili)

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Oom presentation   (swahili)

ORIFLAME INAKUFANYA UZIFIKIE NDOTO ZAKO

Page 2: Oom presentation   (swahili)

GUNDUA FURSA NZURI ZA ORIFLAME

Je ungependa Kupendeza?

Je unataka kuongeza kipato?

Ungependa kuwa na muda Zaidi wa

kukaa na marafiki zako na familia yako?

Na je unapenda kusafiri duniani?

Page 3: Oom presentation   (swahili)

Oriflame ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1967 na ndugu wawili(Robert and Jonas Af Jochnick pamoja na rafiki yao BenghtHellsten) ikiwa na nia ya kubadilisha maisha ya watu, mimi nawewe.

Leo ni kampuni ya vipodozi namba moja barani Ulayainayojihusisha na biashara ya moja kwa moja.

Ina wanachama Zaidi ya million 3 katika nchi 60 ulimwenguni.

Page 4: Oom presentation   (swahili)

KUPENDEZA

Ukiwa na Oriflame unapata fursa ya kutumia bidhaa zenye uborawa Kimataifa ambazo hutengenezwa nchini Sweden.Na pia utakua wa kwanza kutumia bidhaa za kisasa Zaidi ambazohutoka katika kila catalogue mpya na kujua kinachoendeleakwenye ulimwengu wa Fashion. Kila mwaka Oriflame inatoa Zaidi ya bidhaa 100 mpya.

Na Oriflame imerahisisha jinsi ya kupata bidhaa ambazo ni kwanjia ya kupitia catalogue (Kitabu cha bidhaa ) au kwa kutembeleatovuti ya Oriflame.

Page 5: Oom presentation   (swahili)

TENGENEZA PESA NA ORIFLAME

KUNA NAMNA TATU ZA KUTENGENEZA PESA

NA ORIFLAME.

1. FAIDA YA PAPO KWA PAPO

Inapatikana katika punguzo la 23% (punguzo) kwenye kila bidhaautakayo nunua na ukiuza bidhaa hiyo unapata faida 30% (Faida yapapo kwa papo)

2. BONUS (Kamisheni)

Utatengeneza pesa Zaidi na Oriflame kwa kualika ndugu, jamaa namarafiki nao wafurahie fursa za Oriflame. Hapa utatengeneza team na utapata mpaka 21% ya mauzo ya team yako.

3. CASH AWARD (Pesa kama zawadi)

Oriflame itakupa pesa kama zawadi kwa vyeo mbali mbaliutakavyokua unafikia, kuanzia cheo cha directo na kuendelea.

Page 6: Oom presentation   (swahili)

MWONGOZO WA MAFANIKIO NA ORIFLAME

Jiunge na Oriflame kwa tsh 9000/= na utapata namba yauwanachama, catalogue pamoja na muongozo wa bei.

Unachotakiwa kufanya kwa mwezi wa kwanza wakujiunga ni kuonyesha catalogue ya Oriflame kwa ndugu, jamaa na marafiki na ujitahidi kuuza bidhaa za 100 BP (tsh 93000/=) au Zaidi.

FAIDA. Pata faida ya Papo kwa Papo ya Tsh 28000/= na

zaidi

Pata Welcome program 1 (offer maalumu zakukaribisha mwanachama mpya.)

1.HATUA YA KWANZA

Page 7: Oom presentation   (swahili)

2.HATUA YA PILIAlika marafiki watano (5) na uwaonyeshe unachokifanyakatika mwezi wako wa pili Oriflame.

Kila mmoja wenu afanye manunuzi ya japo 100 BP (tsh93000/=)

Kampuni itahesabu kwamba wewe una points 600 (yaanza kwako pamoja na za marafiki zako wale watano.)

FAIDA30% faida ya papo kwa papo + 6% Performance Discount (PD) Katika mauzo yako.+ The 6% PD katika mauzo ya team.Unaweza pata kuanzia (Tsh 27000/= – Tsh 56000/=)

Faida Zaidi:Welcome Program 2

Page 8: Oom presentation   (swahili)

3.HATUA YA TATU Mwezi wa tatu, saidia marafiki zako naowaunganishe watu watano katika network zao.

Kama wote katika team mtafanya order za 100 bp , wewe utakua 12% na utakua tayari na cheo cha manager.

30% Faida ya papo kwa papo+ The 12% PD katika mauzo binafsi+ The 6% PD katika mauzo ya teamUnaweza pata (Tsh 224,900 – Tsh 374,800)

Faida Zaidi• Recognition pin

Page 9: Oom presentation   (swahili)

4.HATUA YA NNE

Endapo team nzima itakua inaalika japo watuwatano kila mwezi. Ndani ya miezi mine, team yako itakua na watu 125 .

Wote mkifanya manunuzi ya 100BP kila mmoja, wewe utapanda cheo Oriflame na kuitwaSENIOR MANAGER. Miezi 6 baadae cheokitapanda na utakua Director.

FAIDAOriflame itakulipa Tsh 1000000/= na kuendelea

Ukiwa Director utapewa $1000 ambazo ni pesa kama zawadi

Utaalikwa kwenye Directors’ seminars ambazo hufanyika kwenyenchi zaEast Africa na kila kitu kitalipiwa na kampuni

Page 10: Oom presentation   (swahili)

4.HATUA YA TANOSaidia marafiki zako watano nao wawe ma Director. Hapo wewe utakua Sapphire Director.

FAIDAMshahara wa sapphire Director si chini ya Tsh 3500000/=

Utapewa cash award ya $4000

Utapewa nafasi mbili katika Directors’ seminars

Utaweza attend Gold Directors’ seminars ambazo hufanyika nje yaeast Africa

Page 11: Oom presentation   (swahili)

Karibu sana Oriflame. Napenda kukushukuru

kwa kutumia mda wako kujua Zaidi kuhusiana na

Oriflme, Hususani Oriflame Tanzania.

Naitwa Suzana Michael na kwa mawasiliano na

maelekezo Zaidi:

0659416626

[email protected]

oriflameproductstz