Upload
others
View
31
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
USAWIRI WA MWANAMKE KATIKA RIWAYA VA SAID A MOHAMED
(UTENCANO) NA ADAM SHAFI (KASRI VA MWINYI FUAD)
NA
CHEROP. C. JANE
1153-07234-02121
TASNIFU ILIYOTOLEWA KWA IDARA VA LUCHA VA KISWAHILI NA
MAWASILIANO KATIKA KITOVU CITA ELIMU NA MASOMO YA NJE ILl
KUTIMIZA BAADHI VA MAHITAJI VA SIIAHADA VA SANAA NA ELIMU VA
dUO KIKUU CHA KIMATAIFA CHA KAMPALA
SEPTEMBER 2018
IDHINI
Tasinifu hii imekubaliwa kwa idhini yangu abaye ni msimamizialiyeteuliwa na chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala. Kitovucha elimu na masomo ya nje, idara ya lugha na mawasiliano.
Sairii
MW. BI Mutenyo Aidah
Tarehe. z~~( D ~
IKIRARI
Mimi, Cherop C Jane nathibitisha kuwa tasnifu hii iii kazi yangu binafsi na halisi, na kwarnba
haijawahi kuwasilish\\a na wala haitawasilishwa katika Chuo Kikuu kingine chochote kwa ajili
ya kutunukiwa Shahada nyingine ~oyote.
S~iini
L Q~J~J~•ZO
‘[a rehe
TABARUKU
K\\’a heshima na taadhirna, natabaruku tasnifu liii kwa wazazi wangu wapenzi: Marehemu
bahangu Joseph Kaptugen Cherop na marehernu mama yangu Alice simotwa Cherop kwa
juhudi zao za kunilea na kunisomesha bila ya kuchoka hadi sasaMungu aweke roho zao
mahali pema peponi
III
SF1 UKURANI
Narnshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa uzirna ,nguvu afya njema na Zaidi ya
yote kufugua milango ya fedha kwaajili ya masomo yangu na kunipa busara na hekirna ya
kuil~mya kazi liii ya utafiti hadi kuimaliza.Hakika Mungu ni rnweza wa yote
Shukurani zangu za dhati ziwafikie wazazi wangu wapenzi: Marehernu babangu Joseph
Kaptugen Cherop na marehemu Alice Sirnotwa Cherop kwa juhudi zao kunizaa, kunilea
na kunisomesha bila ya kuchoka hadi sasa. Naomba Mwenyezi Mungu aweke roho zenu
mahali pema peponi
Shukran zangu zisizo na kikorno zimfikie Msirnamizi wangu Daktari Mutenyo Aidah
amhaye aniekuwa msaada na kiongozi mahiri katika tasnifu hii. Mwenyezi mungu amubariki
Sukurani zangu za pekee ziufikie uongozi mzima wa Chuo Kikuu cha kampala international
university
Shukurani zangu za dhati ni kwa , ndugu na dada zangu Silvya, Sophie, Fred , George
Clara winny .Bonny ~Nancy ia Diana ,murne wangu rnpendwa Reuben Wanyama , na
marehemu Robert white kwa busara, juhudi, hamasa na uvumilivu wao rnkubwa katika kipindi
chote cha masomohadi mwisho .Ambayo yamesaidia kufika sasa na kufanikisha vyerna tasnifu
liii. Mungu awatunuku baraka na neerna ,na wengine wote waliochangia kwa namna yeyote
kulanikisha tasnilu liii ambao sikuwataja.
iv
uasuuUtat’iti huu unahusu jinsi wanawake walivyosawiriwa katika riwaya ya kasri ya mwinyi
Fuad na utengano na swala Ia utafiti ni kubaini jinsi waandishi hawa wawili Said A
Mohamed( Utengano 1980) na( Adam Shall :2007) Kasri ya mwinyi Fuad.Lengo kuu ni
kuchanganua usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Said A Mohamed (Utengano) na
Adam Shall (Kasri ya mwinyi Fuad ).Maswali kadhaa yanaibuliwa ; je,kuna umuhirnu wa
kumsawiri mwanamke katika tungo za riwaya katika kuendeleza ploti ?nafäsi ya riwaya
inaweza kutathminiwa vipi katika kuendeleza ploti ? ,Je mwanamke anasawiriwa vipi
katika riwaya za Said A Mohamed na Adam Shafi ? .Mbinu za utafiti zilizotumika ni
uanishaji wa utafiti , upeo wa utafiti , sampuli lengwa, mbinu ya ukusanyaji data
iliyotumika ilikua kusoma riwaya hizi mbili , kusoma kazi ya watafiti wengine na kusoma
nyaraka mbalimbali katika maktaba ya chuo kikuu cha kimataith kampala. Katika
uchambuzi inaonekana kuwa hakuna tofauti ya msingi baina ya waandishi hawa , wote
wamemchora mwanamke katika taswira hasi . Jambo hili linatuonyesha kuwa waandishi
huandika wakiamini kwamba, wao ni chombo cha kijamii na ni sehemu ya jamii
wanayoiandikia Jamii hizi ni zile zilizozugukwa na mila , desturi na Zaidi mambo haya
yanakuzwa na mhimili na mawazo yanayoshadidiwa na dini . lJtafiti huu unapendekeza
elimu iwe mkombozj kwa mwananike Hi mwanamke ajikomboe kutokana na mfbmo wa
ukandamizaji . Elimu itasaidia wanajamii kuondpa mawazo potofu ya kusema kuwa nafasi
aliyopewa mwanamke ni mapenzi ya mungu na ndiyo stahili yake.
V
YALIYOMOUI’HIBITIS[-IQ.
IKIRARI
TABARUKU
Si-IUKURAN1
IKISIRI
SURA YA KWANZA I
1.0 Utangulizi 1
1. I Usuli wa Utafiui 1
1.2 Swala Ia iitafltj 2
.3 madhumuni ya utafiri 2
I .4 Maswalj ~va Utafiti 2
1.6 Mehango na umuhimu wa utafiti 3
SURA YA PILl 4
2.0 Utangulizi
2. 1 Wanawake katika hisihi kwa jumla 5
SURA YA TA’lU 8
MI3JNU ZA IYI’AFrrJ 8
3.0 Utangulizi 8
3. I Uainishaji ~va utafiti 8
3.2 Upeo wa ulahti 8
3.3 Sampuli Iengwa 8
3.4 Mbinu za ukusanyaji wa data 9
3.~ Uchambuz~ wa data 9
3.6 Hitimisho
SURA YA NNE 10
UAENISHA,J1 WA DATA ZA UTj\FITJ 10
4.0 Utangulizi 10
4. I Wanawake waIisa\~’jt’j~va kama ~vat1jn~’a 10
4.2 I)huluma katika ndoa 10
4.3 Mwanamke kama kahaba 11
1.4 \‘Vanawake kama watuwanyonge 11
1.5 Wanawake walionyesha kama watu wenye upendo 11
vi
4.6 Wanawake walisawiriwa kama watu wanyonge na wavivu .12
4.7 I%lwananilce Kania Iviuhusilca Ivlwenye . 12
4.8 Mwanamke KamaNuhusika Mwenye Tahia ya Ushawishi Na Uchochezi 13
4.10~ 15
4.11 Mwanamke Kama Muhusika Mlezi wa Familiya 15
4.12 Mwanamke Kama Muhusika Mwenye Msimamomabki 16
4.13 Mwanamke Kama Muhusika Tabibu / Daktari wa Kienyqji 17
4.14 Mwanamke Kama Muhusika Mwenye Mapenzi ya Dhati 18
4.15 MwanamkeKan1aMhusibM~&Rushn 19
4.16 It4~vanainIce ICania Cliornbo cha Starehe 19
SURA YA 22
l%IUIC’rA.544]if, HITI1WISH() NA lbfA.PEN1)EJ(Ezo__...,_......_,..... 22
5.0 22
5.1 22
5.2 Lengo Ia pill 24
5.3 go Ia ~ 24
5.4 Kitimisho 24
5.5 Mapendekezo 25
MAREJELEO 27
vii
SURA YA KWANZAUTANGULIZI
1.0 Utangulizi
Utafiti huu ulizingatiatia baadhi ya maswala kwa mthno; usuli wa utafiti, malengo ya utafiti,
upeo wa utatiti,umuhimu wa utafiti, mahala pa utafiti na mengineo iii kuhakikisha kwamba
utafiti wake ut’anikiwe.
1.1 Usuli wa Utafitl
Utafiti huu ulilenga kuchunguza jinsi wanawake walivysawiriwa katika riwaya za Said A
Mohamed na Adam Shafi.Tunapozugumzia mwanamke huwa tunamrejelea kama mwanadamu
mwenye jinsia ya kike .Ni yule kiumbe ambaye anatarajiwa kushika uja uzito na kuweza
kuzaa.kusawiri ni hali mojawapo ya kuonyesha vile wahusika wameumbwa katika kuendeleza
ploti za Kiswahili.Kutokana na watunzi wa riwaya za Kiswahili walitumia wanawake kuendeleza
ploti za riwaya.Haswa tukirejelea riwaya ya utengano ,Kasri ya mwinyi Fuad.Ili kupata kuelewa
jinsi Said Mohamed na Adam Shafi walivyosawiri wanawake katika kuendeleza ploti kwenye
Mwanamke anasawiriwa kama mW mnyonge ,mtumwa wa mwanamme,mtu mnyenyekevu na
mkarimu,mkuzaji maadili yajamii,Zaidi ya hayo anaonyeshwa kama mtu mwenye ushujaa ndani
yake na mwenye kukuza kipawa.Hii inatokana na enzi za kale ambapo mwanamke alichukuliwa
kama kiumbe msaidizi wa mwanaume.
Hivyo basi leo hii kuna waandishi maarufb sana ambao waliandika riwaya za Kiswahili zenye
dhima kubwa katika jamii.kupitia waandishi hasa kama Said A Mhamed aliye andika riwaya ya
utengano,Adam shafi aliyeandika riwaya ya kasri ya Mwinyi.Kupitia vitabu walizoandika
wamedhihirisha ubunifu mkubwa na wenye ukakamavu kuonyesha jinsi wahusika hasa
wanawake wanavyoweza kusawiriwa katika kuendeleza ploti ya riwaya.
1
L2 Swab Ia utafiti
Kusawiri kwa wanawake ni hail ya kuonesha jinsi mwanamke alivyournbwa. Licha ya kwamba
Mungu alimuurnba mwanarnke kama msaidizi wa rnwanaume, waandishi wa riwaya ya
Kiswahili wamemsawiri kwa njia tofauti ambazo haziambatani na makusudi ya kuurnbwa
kwake. Kwa mfano, waand ish i wenginekarna vile Said A Mohamed wamernd un isha mwanamice
kama chombo cha ngono, kijakazi, kiumbe legevu, dhaifu, wala si rnsaidizi wa mwanaume.
ii ihal I wengi ne wamemwinua mwanamke lakini si kwa kiwango ambacho fvlungu al ikusud Ia.
Ndipo sasa utafiti ulifanywaili kubaini jinsi waandishi wa riwaya za Kiswahiii wanavyo msawiri
m wan am ke.
1.3 rnaclhuinunj ya utafiti
Kuchanganua usawiri wa mwanarnke katia riwaya za SaidA N4ohamed na Adam Shafi.
Kutathmini nafasi ya riwaya katika uendelezaji wa rnwanarnke.
Kuelezea umuhirnu wa kusawiri mwanarnke katika tungo za riwaya katika kuencleleza
pioti
1.4 Maswali ya Utafiti
U La fiti huu unalenga kuj I bu maswai I yafuatayo
~ Je, mwanarnke anasawiriwa vipi katika riwaya za Said A Moharned na Adam Shah
Nafasi ya riwaya inaweza kutathminiwa vipi katika uendeiezaji wa mwanamke.
Je, kuna umuhirnu wa kumsawiri rnwanarnke katika tungo za riwaya katika kuendeleza
pioti?
I .5 Mipaka va utafiti
Utafiti hun ume~ ikita kuchuguza usawiri wa mwanamke katika riwaya za Kiswahih ikil ingan isha
mtazamo wa waandishi hao katika riwaya zifuatazo;
Riwaya ya kasri ya mwinyi[Adarn Shafi;2007].
Riwaya ya utengano[Said A Mohamed: I 980j
2
Uteuzi huu umefanywa kwa kuwa waandishi hawa wamemsawiri mwanamke kwa njia
tofiutitothuti.hivyo basi mtafiti alisoma kazi zao na kulinganisha usawiri wao we
mwanamke katika kazi zao.
1.6 Mehango na umuhimu we utafiti
Kwa kuwa utaflti huu unachuguza jinsi mwanamke alivyosawiriwa na Said A Mohamed na
Adam Shati kwa njia tofauti,utamsaidia kuonyesha na kuweka wazi tofauti za uchoraji we
wahusika we jinsia ya kike katika kazi za fasihi zilizo andikwa na waandishiambaye itakua
mojawapo ya mwangaza kwa waandishi wajao kujikita katika mageuzi ye dhana ya
kumdhahalalisha mwanamke na kujikita kwenye dhamira mpya yenye kumweka mwanamke
kwenye mizani sawa na mwanaume katikajamii zetu.
• lJtafiti utamsadia walengwa kujua vile waandishi huwajenga wanawake na kuwaonyesha
katika riwaya.
• Utatiti huu utamsadia kuhimiza waandishi wajinsia zote kubadili mitazamo yao hasi ye
kuwasawiri wahusika wajinsia ye kike.ili kuleta uwiano halisi we kijinsia kwenye riwaya za
Kiswahili.
• Utafiti huu utamsaidia mtaflti kukamilisha shahada katika chuo kikuu cha KIU.
• Pie matokeo ye utafiti huu yatatumika kama marejeo muhimu kwa watafiti wajao
watakaotaka kufanya utafiti kutokana na suala Ia kusawiri kwa wanawake katika riwaya za
Kiswahili.
3
SURA YA PILlMAPITIO YA MAANDISHJ
2.0 Utangullzi
Sehemu hii mtaflti alipitia machapisho na maandishi mballmbali yanayohusiana na made husika
yaliyoandikwe ne kujadiliwe kabla ya utefiti huu.Udunjsu we maktabani ulitumiwa kupata tarifh
muhimu zinazohusiena na taswire ye mwanamke katike riweya a Kiswahill imeweka wezi kwe
kugewenywa katike sehemu mbalimbali.mtefiti atepata ujuzi we kutoshe katike mapitio
yanayohusiana na miazamo we waadishi katika kumsewiri mwanamke.ilikutjmjza azme ye
utafiti,ilimlazimu mtafiti kuteua sampuli na mbinu a ukusanyeji we date zilizoandikwamaonj
ye watealemu mbelimbali kuhusu dhana ye mwanamke ilimseidia kupate piche helisi ye jinsi
waandishi wanavyotofautiane au kufanane ketika kumchora mwenamke katike kezi a uendishi
wafhsihi.
Mbuguni,P[ 1982] Usawiri wa wanawake katika riwaya a Kiswehili,anadaj kwamba wanawake
wengi wamesawiriwa kama makahaba na kubainisha kuwa kuwepo kwa wahusika wengi
makaheba katika riwaya ,haukumaanisha kwemba nchini Tazania ma idadi kubwa ye makahaba
.Kazi hii ye Mbuguni ni muhimu kwa vile itechangie ketike kutambua chanzo che metatizo ye
waneweke na kwe nini wengi weo huemue kuingilie ye ufbsiki.
Kamunde,S [I 983)kilio che wenyonge katike riweye ye Said A Moheined,emeshugulikie
iñetetizo yanayowekumba wanyonge weneume na wanawake jinsi yenavyo jitokeze kaike
riweye a Said A Mohenied.Kazi hii itetuseidia kutembua jinsi mwenemke anevyosewiriwe
kama kundi linelodhulumiwe,
NdungoC[ I 985]Usewiri we Wenewake ne mebediliko ye kihistoria ketika fbsihi ye Kiswahili
,amemtazama mwenemkejinsi anevyosewiriwe ketike vipindi mbelimbeli vya kihistoria.Pie kazi
hii ni muhimu kwe kwe vile imeangazia vile wanewake wemekue wakisewiriwe kwe njie
isiyolba.
4
Lugano,R[1989](Jsawfrj wa wana
wake katika riwaya katika riwaya za Euphrase Kezilahabi amechunguza jinsi kezilahabi
anavyowasawiH wahusika wa kike katika Nyanja mbalimbali za maisha.Pia ameshughulikia
maoni ya Kezilahabi mwenyewe kumhusu mwanamke katika Nyanja a siasa,uchumçjamii na
elimu.Kazi hii ya Lugano ni mhimu hasa kwa kutudokezeajumla ya matatizo yanayowakum~a
wanawake katika jamii jambo ambalo imechangia pakubwa kwa waandishi hao kusawiri
wanawaJce kwa kutumia matatizo innayowakumba.
Muindi,J[l990]IJsawiri wa wahusika wanawake kama makahaba katika Riwaya a Said A
Mohamed,amechuguza jinsi wanawake wailvyosawiriwa kama makahaba na kutoa sababu zake.
lKwa vile wanawake wengi huingilia ukahaba kwa sababu ya matatizo mbalimbali ya kijamii
ambayo utafiti huu unajishughulisha nayokazi ya Muindi itakua muhimu kwetu kwa
kutudokezea kinachosababisha mwanamke kuingilia tendo Ia ukahaba.
2.1 Wanawake katika faslhl kwa jumla.
Sehemu inachambua usawiri wa mwanamke katika fhsihi ya Kiswahili hub ikilinganisha
wandishi Said A Mohamed na Adam Shall. Uchambuzi huu unaangalia kwa mapana kwa kuanza
na Ibsihi ya dunia iii iii kupata picha halisi ya wanawake .Pia inaangalia fäsihi a kiafiika[fhsihi
za Tanzania zikiwemo]na pia riwaya za Kiswahili zilizoteuIiwajcatj~ nchi ya
rnarekani,Kortenliaus na Demarest[l993]wa~nefanya utafiti kuhusu athari zajinsia katika hadithi
za watoto.Katib hadithi hizi ,mtoto wa kike amechorwa kama tegemezi na
asiyewajibika,ambapo mvulana amechorwa kama siIaha,mpiganajianayewe~ kila kits na
asiyetegemezi kwa jamii.Matokec, ya utafiti huo yameonyesha kwamba,taswfra ya mwanamke
katika hadithi hizo a watoto ni hasi ilihali ya mwanaume ikiwa chanya.Matokeo hayo
yanatushaw!shi kuwa,kunahitajib utatiti wa kuwasawiri waandishi na wachapishaji wa fbsihi
kwa kuzingatia jinsia zaondipo hasa kuzionyesha tofhuti a kimajukumu kati kati ya mwanamke
na mwanaume.Kwa ujumla haya tutayaangalia kwa undani katika utatiti wetu.
Richard na wenzake [2007]wanatueleza kuwa ,maswala ya wanawake yalianza kuzugumziwa
katika karne ya 19 na kutia fora katika miaka ya 60 na 70 ya karne iliyopita.Kwa mjibu watatiti
hawa,waksti huu ndipo wanawake hususan wa magharibi walipoanza kuzugumzia maswala yao
5
katika machapisho.Hata hivyo parnoja na jitihada hizo bado wimbi kubwa Ia malalarniko dhidi
ya dhulurna na uvunjaji wa haki za wanawake kwa takribani Nyanja zote za maisha yalizidi
kuongezeka.Kwa mujibu wa [TGNP200IJ,Katil(a bara Ia Afrika hususan kusini rnwa
Af}ika~wanawal(e wameonekana kuwekwa katika kundi Ia wanyonge na walioachwa nyuma
kiasi kwarnba,bado hawajaifaidi bali ya usawa karna waliokuwa nao wanaurne katika kupata
hud urna m bali mbal i za kijam ii. Hal i hi i inatushawishi kufanya utafiti ili kuweka m ikakati na
mapendekezo ya kumsawiri rnwanamke wa Afrika.
K iango [ l982j anadai kwarnba mkangayi ko kuhusu nafasi ya rnwanarnke husabab ishwa na
ukosefu wa itikadi rnurua za uchambuzi.Anasen~a;
Ku legala na ku kanganyi ka k\va waand ish i kuh usu nafasi ya rnwanarnke kunatokana na
kukosekana kwa itikadi mrua yauchambuzi.lgtll~osel(ana kwa itikadi hiyo ndiko kunakornfanya
mwanarnke apewe picha isiyo nzuri na iliyo potofu.
Kutokana na tamthilia alizozichambua ambazo iii Uasi,Mke Mwenza~Nakupenda
laki ni,N irnesongwa N isiwe na rnapenzi,na j irani kanyolewa,kiango anadai kwamba rnaedeleo
katika teknolojia yanategemewa vile vile kuathiri nafsi ya rnwanarnke katika jamii anadai pia
katika kazi kadha za kifasihi mwanamke amechorwa kama kitega uchurni au chombo clia kuleta
kiidha kwa mwanaume.Lakiiii yote hiyo iii kwa sababu ya kukosekana kwa itikadi murua za
k icham bu zi.
Mwandishi Shaban Robert[I 968]katika riwaya yake ya kufikirika arnernchora rnwanaml(e kama
kiutabe duni kisichokua na rnchango \vowote katika jarnii na ambacho hakiwezi kutoa rnsaada
\\OWOte katika jamii anaserna[UK I)
Hapa mwandishi anaonyeshajinsi watu wanavyornchoi~a rnwanamke karna rntu asiye na msaada
\vowote kati ka jarni i . Lakin i kwa upande mwingine rnwandishi anaonyesha kuwa wanawake nao
wanatenda merna kama wanaume endapo watapewa nafasi. I-laya kwa kusema kuwa;
Katika nchi yake wanawake wengi hukubukwa kwa matendo yao bora waliotenda. Alikua
Eayari kupokea msaada hakupenda.Alioiia kazi na Faraja zitendwazo na wanawake katika maisha
zilitosha kuwa rnzigo mzito juu yao.Kuongeza kitu chochote juu ya uzito wao kwake Iilikua iii
jambo Ia kuarnbaa nyayo elfu moja.
6
Mxvandishi anaonyesha mawazo ya kurnwona mwanarnke karna rntu asiye na jambo lolote Ia
maana yaondele\va katika mawazo ya watu . Wanawake wanao rnchango mkubwa katika
maendeleo ya nch i yoyote.
Kezi lahabi [1971 ]anamsawiri rnhusika Rusia kuwa na rnapenzi ya kweli;jarnbo ambalo ni adirnu
sana katika kipindi hiki.Rusia aliarnua kumsubiri sikarnwona mpaka akarejea toka vitani, hapa
n-nvand ish i anatuonyesha Rusia aki rnweleza si kurnwona kuwa;
Mpenzi nil ikuhah id zawad i ya ush mdi... .n ipokee zawad i yako,tafadhal i nipokee.Tangu leo
mie wako ukitaka nimeze,ukitaka nitafune..[.uk79
Usawiri hun kwa kiasi Fulani unarnpa rnwanamke hadhi kubwa,kwani anaonekana kuwa
m\vaminifu. Suala Ia uarninifu ni mtihani rnkubwa kwa wanadamu ~va jinsia zote rnbili.I—livyo
mwanarnke anachorwa kuwa rnwarninifu na aliye na rnoyo wa uzalendo.
~Vlomanyi[2OO2jkatika utafiti wake warnebainisha kuwa katika fasihi, wahusika wa kike
wanapachikwa tu iii kutekeleza dhamira za watunzi ,arnbao angalabu huwa iii vitegemezi vya
kubiringisha gurudumu Ia maudhi.Ametolea mfano katika kazi za rnwandishi Kezilahabi
akisema kuwa usawiri wa wanawake hauridhishi kwani wahusika wake warnepewa sifa za
kusikitisha,wahusika karna vile Rosa na Regina,rnhusika Tegernezi, mama Resin a Anastasia
katika kazi za kezilahabi[ 1971,1 974,na 1 981 ],ni miongoni rnwa wahusika wal iopewa majukumu
yanayodunisha na kukashifu hulka za rnwanamke.I—livyo kwa mtazarno wa momanyi hapa
mxvandishi Kezilahabi ni rniongoni mwa waandishi wanaomkandarniza mhusika mwanamke
katika kazi yake.
fvlabala[2004lkatika utafiti wake aliangalia taswira ya mwanarnke katika rntazamo yote yaani
hasi aia chanya katika riwaya za Kiswahili ingawa taswira ilionekana kutawala Zaidi.Wakati
utafiti wake ukichambua jinsia katika nafasi na taswira ya rnwanamke katika riwaya ya
Kiswahili,uchambuzi wake ulijikita Zaidi kuangalia taswira ya mwanamke pasipo kulinganisha
~vaandishi wa riwaya hizo.Miongoni rnwa vitu alivyovielezea iii mfumo durne kama tatizo
ku h\va kati ka ku rnchora rnwanamke p ia al ionyesha taswira kadhaa anazochorwa
IT~\Vanarnke,am bazo iii rnwanamke karna chombo cha starehe,rntegernezi,as iyej iweza na rnzin i iii,
Kama tafiti za mu lokozi.
7
SURA VA TATU
MBINU ZA UTA FIT!
3.0 Utangulizi
Katika sura liii uchambuzi wa mbinu na utaratibu mba! imbali ambazo zi 1 itum ikakatika
utaflti.kuna mbinu za jumla kama vile uainishaji wa utafiti,rnahala pa utaflti,vyanzo vya data na
tail ra.ukusanvaji wa data ,rnbinu za ukusanyaji wa data na uchambuzi wa data na rnuhtasari.
3. 1 Uainishaji wa utafiti
Hapa mtat~ti alisoma riwaya ya utengano,kasri ya Mwinyi Fuad,ili kuweza kupata
ujuinbe.Mtalitj alisoma na kucharnbua vitabu hizi moja kwa moja huku akijaribu kuonyesha
kiinaandishi vile wanawake walivvosawiriwa katika riwaya hizi za Kiswahili.l3alj na
kusorna,rntafiti aliweza kuona fi!arnu za riwaya hizi kupitia mtandao ku!e rnaktabani.
3.2 Upeo wa utafiti
Utafiti huu ulifanyiwa rnaktabani. Mtafiti alisoma na kucharnbua kisha alitafakari kwa undani
Zaidi vile wanawake walivyosawiriwa kwenye riwaya ya utengano na kasri ya mwinyi Fuad
.fvliafiti aliendesha shughuli ya kusoma riwaya hizi akiwa rnaktabani.Bali na kusoma aliturnia
mtandao kama nyenzo mojawapo ya kupata ujurnbehaswa karna mapitio ya maandishi na
kureje!ea kazi zingine zinazo husu maswala ya wanawake.
3.3 Sampuli Iengwa
Kothari[2004;55.56] anaserna kuwa karna eneo ni kubwa utafiti utakua rngurnu kufanyika kwa
ajili ya vitendea kazi,rnuda na gharama.Kwa kuzingatia vigezo hivi rntafiti a!itumia rnbinu ya
usampuhshaji lengwa .Ulitumia ama hii katika kuchaganua riwaya kutokana na sababu rnaalum
va usampulishaji.Usamp!ishaji huu u!irnwezesha rntafiti kufanya rnaarnuzi yake katika
kuchanganua riwaya kutokana na sababu rnaa!urn au kusudio maalurn.
8
3.4 Mbinu za ukusanyaji wa data
L~ngo kuu ni kuchambua riwaya za Said A Mohamed na Adam Shafi;Kasri ya mwinyi Fuad na
Utengano.llikubainisha utofauti na uwiano uliopa baina ya waandisbi hao katika kumsawiri
rnwanamke katika kazi yao.Na iii kukamilisha lengo hili Ia mtafiti ,alitumia rnbinu ya
uchambuzi matini
3.5 Uchambuzj wa data
Baada ya kukamilisha kwa zoezi Ia ukusanyaji wa data ,rntafiti alichambua ,akjadili na
kuwasilisha data zilizokusanywa. uchambuzi wa data ni kitendo cha kufupisha na kupangilia
vizuri data zilizosanywa kwa namna ambayo zitakusaidia kujibu rnaswali ya utafiti
husika.Uchamhuzi wa data ni hatua muhimu sana katika kutafuta majibu ya tatizo Ia utafiti.
3.6 Hitimisho
Katika sura hii mtafiti ataeleza mbinu mbalimbali zilizornuongoza mtafiti katika zoezi Ia
ukusanyaji ~va data na uchambuzi wa data.Ambazo zitamwezesha kujibu rnaswali ya utafiti
wake,
9
SURA YA NNE
UAJNISHAJI WA DATA ZA UTAFITI
4.0 Utangullzi
Katika sum ya tatu mbinu mbalimball zilizotumiwa na mtafiti katika utafiti wake. Sum ya nne
sasa inashughulika uwasilishwaji wa data hizo zimekusanywa kutoka katika riwaya ya
kasri ya mwinyi Fuad na utengano
4.1 Wanawake walisawjrjwa kama watumwa
Wanawake walitumiwa kuonyesha utumwa dhidi yao. Katika jamli , mwandishi Adam shafi
alionyesha hii kupitia kijakazi aliyetumiwa kutekeleza nwjukumu yote ya nyumbani kwa
bwana Malik. Bila malipo yeyote anayopewa kwa kazi anayofhnyà, Fuad mwenyewe
aliona ni jukumu Ia kijakazi na alifanya kazi kama punda, hakupewa malipo ya kazi
aliyoifanya ha matusi ilimfata nyuma. Hapa mwandishi alisawiri mwanamke kama mtumwa.
4.2 Dhuluma katika ndoa.
Taasisi nyingine ambayo Said Ahmed Mohamed a metumia kuyaangazia madhila ya
wanaume dhidi ya mwanamke katika ndoa. Mwandishi ametumia ndoa ya bi tamina
kuwasilisha maisha ya mwanamke katika ndoa.
Katika utengano mwandishi ametumia ndoa kumsawiri mwanamke kama mtumwa wa
kumhudumia mwanaume, mwanamke hana uhuru ya kujiamulia kuhusu jambo lolote
maishani.
Bi Taminawa utengano ni mthno mzuri wa mwanamke anaye dhulumiwa katika ndoa. Bi
Tamma amewekwa katika kiwango sawa na bintiye kwa kutomruhusu kutoka nyumbani.
Hali hii inajitokeza wazi kupitia malalamishi ya Bi Tamina.
10
“MM-u,MM-u----bebelco heteki tutoke nje lie kwe ruhuse yeke ne humu asiingie mtu ile
kwe ruhuse yeke “.
Mbali na kutoruhusiwe kutoke nje 81 Temina herusiwi hate kujiemulle mwenyewe
kuyehusu maisha yake hesa pale enepokua keribu kujilbngua .kupingwa enekopingwe 81
Temine , jembo hilo lilimfenye kukosa kuone mezuri ye uiimwengu huu .Hii ni keme msistizo
we beedhi ye madhila mkubwe weneyoyepitia wenawake wekiwa ketika Teesisi ye ndoe.
4.3 Mwenemke kame kehaba.
Meimuna (utengeno) anatoroke meisha ye kiutumwe ketike . nyumba yeo. Kwe vile
hejewehi kutoka nyumbani ne kutembue jinsi meishe yelivyo enepotoroka, Maimune
enetumbukie kwenye shimo Ia ukehebe si ye kiuchumi bali uhuru
Aliyonyimwe ne babeke Bwena Mekusudi. Pie niwandishi enetumie mhusika kazije, kuoneshe
jinsi elivyoendeleze ukehebe. Kujipembe kweke kezije ,kujitia menuketo yenye herutli ye
kuvutie sene , meumbile ye mwili yeke iliwevutie vijene ne wazee ,ingewe kweke hil
ilikue njie mojewepo ye yeye kupete riziki ye meishe
4.4 Wanaweke kame watuwenyonge.
Mwenemke elisewiriwe keme wetu wenyonge ketike jemii ne embeo weiiodheheleliswa
heki zeo ne mebwene no kupitie njie ye unyenyeseji . Welichukuliwe keme wetu
wasioweze mejukumu thebiti mfeno mzuri ulijitokeze ketika riweye ye kasri ye mwinyi
Fued embepo Vuei elipojeribu sene kuwetenge waneweke ketike kujihusishe ketike
kupiganie held yeo embeyo we linyenyaswe shembeni mwe mzee Pued wekilenye kezi
.Vuei eneone mwenemke ni mtu mnyonge ne eneusemi ketike swele ioiote linelomkumbe.
4.5 Wanaweke welionyesha kema wetu wenye upendo.
Katika riweye ye Kasri ye mwinyi Fued , 81 Melik elionyeshe upendo kwe mumeo
Bwane Melik embapo upendo huu unemhadiri bi Meilk anapopashwe hebari kuhusu kilo
U
cha mumeo naye anakata who papo hapo .Hii iaaonyesha kwsmba Alikus snampeads sans
mumewe as kws sababu angestaimili kuishi mwenyewe naye sksksts roho.
4.6 Wanawake walisawiriwa kama waft wanyonge na wavivu.
Waaswake walioayeshwa kama wsW wasiowezs kutekelezs kazi zs nyumbani hasa kams
kupigs deki as hats kuenda shambsni .Wsnsamini kuwa mume adiye anawsajibiks katiks
kits swats Ia boms .Katika riwsys ys Kasri ~s Mwinyi Fusd, Bi Matik stimtegemes
kijskazi kstika kutekeleza kazi zote za nyumbani ilihsli yeye alibaki skijipodoa as
kupoteza wskati kstika kupigs msketele as matusi yssiyo as masna. Vilevile slimtegemea
bwsns Malik katika kuteketeza kazi ys shambani jambo smbato Iitichsngis mao yeye
kupoteza uhai baads ys kupashws habari ys mumeo kupoteza msishs.
4.7 Mwanamke Kama Muhusika Mwenye Mapenzl ya Dhati
Mapeazi ys dhsti ni miongoai mws rsslirnsli sdhimu as illyotukuks kstiks kujengs fhmitia as
jsmii su taifs imsrs popote dunisni. Msiagi ws kuwepo kws mspeazi ys dhsti hsss katika ados
huimsrishs mssikilizsao, mashirikisno, usminifli, matuazo, heshims, nidhsmu, uvumitivu as
kuhurumisns, ussws ws hski as usdilifli kws wshusiks. Mspeazi ys dhsti katiks jsmii yeyote
huhitajiks kwa leago Is kuimsrishs &milia as jsmii husiks. Kstika utafiti huu, mtsfiti
smeguadus susts Is mapeazi ys dhsti limechukus asfssi. kstika riwsys ys Uteagano as kutips
umuhimu mkubws. Mwsndishi katiks kutijaditi hito smemtumiä muhusiks wake Msimuas as
Ksbi. Wow wstikuws wsnspendsns kws dhsti as bssdse wstifuags ados as kuishi psmojs kws
upendo utiotukuks. Mwsndishi snssems:
• . Muds ulipits. Kabi slishsngas sksws snsmtszsms Maimuas as
kusubiri. Mwishowe Ksbi slikuws tsysri kuuetezes uadsai wske,
‘Sikitizs Msimuas, mimi aiko taysri kukuos kwa hsli yoyote...” (Ut
162).
Kws hskiks utsflti huu umedhihirisha dhsns nzims ys mspeazi ys dhsti smbayo huwsfaays
wshusika kuhitajisna as kuthsmiaisns Idis mmojs. Kws mhio mspeazi ys dhsti baias ys Kabi12
na Maimuna yaliwawezesha kuoana na kuishi pamoja bila kujali mapungufb ya kila
mmojawao.Mapenzi ya dhati pia yanalenga dhana nzima ya kusameheana warn / wanaadamu
wanapokoseana au wanapotengana hususan wale ambao ni familiya moja. Misukosuko katika
maisha huweza kupelekea familia kutengana na huweza kusababisha atari kubwa kwa familiya
hiyo najamii kwa ujumla. Mfano mzuri ni fhmiliya ya Bwana Maksuudi. Kutengana hub baina
ya Maksuudi na mkewe Bi Tamima, na watoto wao Mussa na Maimuna. Kwa ujumla pamoja na
tofauti hizo mwishowe waliweza kusameheana na kuishi tena kwa upendo (Uk. 172 - 176)
4.8 Mwanamke Kama Muhusika Mwenye Tabia ya Ushawishi Na Uchochezi
Tabia ya Ushawishi na Uchochezi ni kitendo cha kufanya mazungumzo au mawasiliano na mtu
au watu kwa lengo Ia kuridhia au kukubali kufanya matendo ambayo mara nyingi huwa hayana
faida kwa muhusika au jamii. Mtaflti amebaini kuwepo kwa tabia hii kwa baadhi ya wanawake
ambao ushawishi au uchochezi wao ni kufikia malengo mahsusi binafsi. Mfano mzuri
mwandishi amemtumia muhusika Biti Kocho kumshawishi Maimuna iii atoke na aongozane nae
kwenda kumtatuita mkunga ambaye atamsaidia mama yake kujitbngua. Mwandishi anasema:
“Liwe hili Ia leo, Ia uhai na mauti, aliendelea Biti Kocho, ‘hospitali na
daktari potelea mbali, ham mkunga wa kikwetu? Ndo zitashuka
mbingu akiingia humu huyo mkunga? A-a, makubwajama. Japo
kuwa mtu anakufa? Sana akija babaako sisi tutakufichieni, atajuaje?
Na akijk kwa meno yajuu, nani kamzalisha Tamima? Mimi nitapiga
kifua na kuikabili hiyo na kama atayoiteremsha, si basir...”Lakini
leo kuna fhradhi. l-Iakuna kubwa.lisilokuwa na kubwa mwenzake. MW
kumwokoa mamaake si jambo dogo. ‘Mwana, usifanye mchezo...’
kauli ya Bid Kocho ilimgonga tena Maimuna kichwani mwake.
lkamzindua”. . .“Twende mama, alijibu bila kufikiri zaidi. Mbele ya
mastaajabu ya waliokuwepo, na bila ya taarif’a ya mamaake,Maimuna
alitol buibui lake, yeye na Biti Kocho wakawa wanateremka ngazi
13
kuelekea Madongoporomoka” (Ut 22-24)
Utafiti huu kupitia dondoo hizi zimedhihirisha wazi juhudi za Biti Kocho kumshawishi Maimuna
aridhie kutbatana nae iii watoke nje yajumba Ia Bwana Maksuudi jambo ambalo halikubaliki na
ni hatari kwake na fhmiliya hiyo. Hii ni kwa sababu Maksuudi aliiweka fimiliya yake katika
utawa. Mbali na hilo kutoka nje kwa Maimuna ilikuwa ni sababu kubwa ya kumtoa katika utawa
na kumfanya awe huru na ni mpango wa Bid Kocho, Bi Parashuu na wenzake kumtenganisha na
baba yake au familiya kwa ujumla.
4.9 Mwanamke Kama Muhusika wa Mipango na Hadaa
Mipango na Hadaa ni miongoni mwa matendo ambayo yanaendelea kuchukua nafisi katika
maisha yew ya kila siku. Baadhi ya watu wakiwemo wanawake hubuni mipango ambayo baadae
hula athazi kubwa ham kadka familiya. Mtafiti amebaini mipango na hadaa hizo huchangiwa
na sababu mbalimbali zildwemo kisasi kwa matendo aliyotendewa mtu binafsi, familiya au
raflki.Kwa hakika, mtafiti amegundua juhudi, mipango na hadaa a Kazija, Bid Kocho na Bi
Farashuu walizozitumia.kuwatenganisha Bwana Máksuudi na fhmiliya yake wakiwemo wanawe
Maimuna na Mussa. Mwandishi anaeleza kupitia Biti Kocho kwa Bi Parashuu
“Bibi we, anokutenda mtende, mche asokutenda. Bwana Maksuudi
alivyokutenda weweje? ‘Mimi nitalipa kisasi Biti Kocho. Bado nalia
na kilio changu hakijanyamaza. Lakini sasa saa ngapi? Farashuu
alitazama saa yake mezani. ‘Saa saba, kasorobo. Nadhani tutawahi”
(Uk. 32).
Mbali na hayo mwandishi anafhfanuajuhudi a Biti Kocho na Bi Farashuu
kumtorosha Maimuna kutoka nyumbani kwao kwa Bwana Maksuudi usiku na ikawa ndio sababu
ya kumtenganisha na wazazi wake. Mwandishi anaeleza:
14
lakini ni mtoto wa Bi Chani wa kutea. Mbali na Mwavile, wote
wengine walikuwa hawapo, isipokuwa Tambo ambaye karudi
nyumbani muda mrefu ul iopita “ (Uk. 134)
4.12 Mwananake lLama Muhusika Mwenye Mslmamo Thabiti
Msimamo ni hail ya kushikilia, kusimamia, kutetea, kuunga mkonojuu yajambo,
tendo au matendo flulani kullngana na sababu husika. Binaadarnu anaweza kuwa na
msimamojuu ya kitu aujambo fiuiani kutokana na sababu mbalimball -.yaani sababu
zinazotokana na yeye binafti, Ihmilia,jamii au kundi flulani Ia watu ziwe za ukweii
au baa za uongo. Katika maisha ya kila siku mtu anaweza akawa na msimamo wa
kutenda au kutotendajambo kwa kuwa amesingiziwa/ kuzuliwa au ameshuhudiwa
na watu wengineo. Matokeo ya msimamo wakati mwengine huweza knna matunda au kuieta
athari kwa wahusikaData zilizokusanywa na mtafiti zimedhihirisha tabia ya baadhi ya wahusika
hususan wanawake kuweka msimamo madhubuti baada ya kutuhumiwa au kusingiziwa jambo
baya ambalo hawajalitenda na kusababisha kuhama mazingira yao waliyokuwepo iii kuepuka
bugdha au idhilali kutoka kwa wanaowasingizia. Kwa kurejelea riwaya ya Utengano, mwandishi
ameisawiri hail hiyo kupitia muhusika Maimuna, baada ya kusingiziwa kuwa ameiba na kuitwa
mwizi aiiamua kuweka msimamo wa kuhama Pumziko na kuelekea Bobea kwa Biti Sururu.
Mwandishi ameweka wazi hilo:
“Sirudi Dora, nakwambia sirudi, kwa sababu nimechoka na
shengesha za nyumba lie. Huo wivu na uwe ndivyo, iakini kuitwa
mwizi, ha hilo! Alijibu Maimuna kwa hasira.’ Wewe ndiye
unayenijua zaidi, na kama si wewe, ningalikwisha tokomea zamani.
Sirudi bibi, na han sasa nimeshakuwa debe bovu, sina Ia kukalia.
Sirudi bibi, born niende. Nisamehe Dora au born tusameheane.” (Uk.
83 -).
Katika riwaya ya Kasri ya mwinyi Puad msimamo dhabiti unajitokeza kupitia Maiiamu
paie ambapo Puad aiipojaribu kumnajisi Mariamu, Mariamu aiijitoa mbio hadi nyumbani
16
4.10 Mwai~arnke Karna Muhusika Dhaifu Na Masikini
Dhana ya Udhaifu, kuonewa na kushindwa kujitetea iii miongoni mwa matatizo
makubwayanayoendeJea kuwakabili wanawake wingi duniani kwa sababu ya hali zao kuwa iii
masikini. Mtafiti arnebaini kuwa matatizo ya ama hii huwafanya wanawake wakati mwengine
wakose haki zao za msingi kama rnatunzo, kuhudumikiwa na rnapenzi ya dhati hususan kutoka
kwa wanaume. Wakati nw~’engine matatizo haya huchangiwa kwa kuwa wariawake hao ni
masikini na kiafya ni dhaifuna duni ukilinganisha na wanaurne katika ndoa zao.Utafiti him
umedhihirisha kuwa baadhi ya wanawake ni tegemezi kwa asilirnia karibu mia ya mahitajio yao
yote kwa waurne zao na hulazimika kukubali kukurnbwa na visa na mikasa, maonevu na
udhalilishaji hila ya kujali kipindi walicho kama cha ugonjwa. ujauzito au mara tu baada ya
kuj fungua au ku wa kwenye uta\va wa mume. Hal i hi i inapoj itokeza hushindwa kuthamin ika na
k~vao kukosa mwelekeo p mi wanapoach wa.
Katika kulifafanua hilo, rnwandishi amerntumia Bi Tamirna arnbaye aliadhibiwa vikali na
mumewe Bwana Makusuudi kwa sababu tu ya kujifungua na kutokuwa muwazi kumlaja
aliyernzalisha na pia kwa kutokusema Maimuna arnekwenda wapi; hali ya kuwa hata Bi Tamima
hukujua nainna alivyoloroka Maimuna. Mairnuna alishindwa kujitetea na kwa sababu hakujua
vipi ataendelea kuishi na kwa sababu ni masikini asiye na mwelekeo. Kwa misingi hiyo
aliadhibiwa vikali hata karna aliomba msamaha.
4.11 Mwanarnke Kaina Muhusika Miezi wa Familiya
Lzazi ia haadae ulezi ni katika mambo magumu kwa mwanamke au kwa mzazi na mlezi yeyote.
Li lezi unah itaj i rnatunzo na usimamizi rnzuri, mapenzi na rnaad iii mazuri kwa rntoto au watoto.
Mwanamke ana nafasi kubwa na iii nambari moja katika malezi ya watoto na farniliya ingawaje
hata rnv~’anarnrne iii rnsirnarnizi muhirnu katika l’arniliya hiyo husika. Utafiti huu urnebaini juhudi
kuhwa za Bi Chani katika ulezi wa familiya yake ya watoto wake wa kuwazaa nane na mrnoja
(N4wavi Ic) wa ku lea kwa rnapenzi Ii uruma na matunzo. Mwand i sh i anafafanua:”
Kabla wengine hawajaondoka, kulikuwa na Abuu, Salila, Yasir, Jokha, Sele (Msurupwete kwa
jina jingine Ia utani), Zahran, Sarnira naTambo. Hawa wote walikuwa watoto wa Bi Chani na
Bwana Mansour. Watoto wanane. Bi Chani alikuwa na rnbegu nzuri
lumboni. Si haba! Na Mwavile bila ya shaka. rntoto wao wa tisa,
15
kwao na kuamua msimamo dhabiti ya kuacha kumfanyia Fuad kazi . Licha ya kwamba
alihitaji fedha kupitia kazi hiyo , aliiacha kwa sababu ya tabia mbaya ya Fuad.
4.13 Mwanamke Kama Muhusika Tabibu I Daktarl wa Klenyejl
Udaktari ni katika fani muhimu katika maisha yajamii yeyote. Kuwa daktari au tabibu siojambo
Ia mzaha, inahitajika uwezo mkubwa wa taaluma katika fhni husika iii muhusika aweze
kutumika kusaidia na kuokoa maisha ya binaadamu na viumbe vyengine. Pani ya udaktarl au
utabibu wa kienyeji ni lie thai inayotumia utoaji wa msaada wa kitabibu I kiafya pasi na kutumia
hospitali. Tabibu wa kienyeji ana mchango mkubwa katika kusaidia kuokoa maisha ya
mwanaadamu lakini kwa kutumia matibabu ya kienyeji kama rniti shamba, majani, mizizi, hirizi,
dua nk. Katika riwaya ya Utengano tunamuona Bi Farashuu akiwa tabibu wa kienyeji ambapo
kazi yake hasa ni ukunga (kuzalisha wanawake wajawazito) Bi Farashuu alifhnikiwa kumsaidia
na kumzalisha vyema Bi Tamima akishirikiana na Bid Kocho na watumishi wengine katika
jumba Ia Bwana Maksuudi. Mwandishi anasema: Farashuu alimkuta Bi Tamima tayari tayari.•
Alikuwa kishavunja chupa ya kitoto kingezaliwa dakika yoyote. Farashuu aliingia kazini. 1-lima
alimweka mjamzito katika halt ya kungojea ‘Haya
natumvue nguo’ Farashuu akasaidiana na Kocho wake wakamvua
nguo Bi Tamima na kumtupia kanga. Bi Tamima akaumana na
maumivu yake. Na kama kawaida, uchungu ulipozidi Tamima alianza
kuusia, akadai talaka, akaomboleza. Bi Farashuu aliyekuwa kakaa
kwa makini, alikuwa kimya, ha muda ha muda ahimpa moyo
mzazi.... Wakati ulipofika, Bi Tamima aliuma meno. Hays haya,
kidogo kidogo; hatimaye Farashuu alimpokea mtoto. ... Safari hii
uzazi haukumfanyia taabu. Alijifungua salama usalimini. Farashuu
alipokwisha mpokea mtoto alikamilisha ukunga wake. Akarnhudumia
mtoto na mzazi. (Uk 34-35)
17
4.14 Mwanamke Kama Muhusika Mwenye Mapenzi ya Dhati
Mapenzi ya dhati ni miongoni mwa raslimali adhimu na iliyotukuka katika kujenga
familia najamii au taifa imara popote duniani. Msingi wa kuwepo kwa mapenzi ya
dhati hasa katika ndoa huimarisha masikilizano, mashirikiano, uaminifb, matunzo,
heshima, nidhamu, uvumilivu na kuhurumiana, usawa wa haki na uadilifb kwa
wahusika. Mapenzi ya dhati katikajamil yeyote huhitajika kwa lengo Ia kuimarisha
familia najamli husika. Katika utafiti huu, mtafiti amegundua suala Ia mapenzi ya
dhati Iimechukua nafasi katika riwaya ya Utengano na kulipa umuhimu mkubwa.
Mwandishj katika kulijadili hilo amemtumia muhusika wake Maimuna na Kabi.
Wote walikuwa wanapenclana kwa dhati na baadae walifimga ndoa na kuishi pamoja
kwa upendo uliotukuka. Mwandishi anasema:
“...Muda ulipita. Kabi alishangaa akawa anamtazama Maimuna na
kusubiri. Mwishowe Kabi alikuwa tayari kuuelezea undani wake,
‘Sikiliza Maimuna, mimi niko tayari kukuoa kwa hail yoyote...” (Uk.
162)
“Kijumba kipya cha Kabi na Maimuna kilijengwa 1-litama, kijiji
kimoja cha shamba, huko Liwaioni. Kabi na Maimuna wameoana
sasa inapata mwaka, na wamehama Futoni. Hii ni kwa pendekezo Ia bibi mtu, 81 Farashuu. Bi
Farashuu aiiona wajukuu wake watanufb.ika zaidi huko Hitama, kijiji chenye rutuba ya
nehikavuna baharini “(Uk. 171)
Katika kasri ya mwinyi Fuad kijakazi anaonyesha mapenzi ya dhati kwa majiri wake
Fuad na kazi yake. Licha ya matusi yeye alizidi kuwapenda na kuihnya kazi kama
punda. Yaani mapenzi aIiyonayo dhidi ya familia hii yalifinika maovu yote aiiyotendewa.
18
4.15 Mwanarnke Kama Mhusika Mtenda Rushwa
“Rushwa ni Adui wa Haki” Ni kauli arnbayo hukaririwa katika kilajarnii arnbayo
huchukizwa na tabia hiyo. Pamoja na kelele na rnbinu rnbalimbali zinazotumiwa na
iaasisi kadhau an serekali kupambana na rushwa bado tatizo hill iinaendelea .Kwa mujibu wa
data zilizokusanywa na mtafiti, utafiti huu urnebaini tabia ya baadhi ya wanawake kutoa na
kupokea rushwa ya fedha kwa malengo tu wasaidiwe kufanikisha rnahitajio yao. Katika kulieleza
bib mwandishi arnemtumia muhusika Biti Kocho arnbaye aliomba akopeshwe fedha na Bi
Farashuu iii akampe rushwa karani anayehusika na viwanja iii na yeye ifanyike mipango ya
ku pata kiwanj a. Mwand ishi anafafanua:
“Mm..u na mimi niwache kidogo nijinyooshe. Sijalala usiku kucha.
Nina niavune makubwa... Ee. nisije nikasahau. Vile vipesa vipi
nil ivyokwambia unikaridhi’ ‘Sisahau bibi we, shilingi ngapi vile?’
‘Miteni tu’ alisema kwa mkato. ‘Na tu kweli, ndio maana ukavita
vijipesa. Na nvinyi? Shilingi mia mbih ni tu?’ ‘Ah bibi we, kupeana
iii kikoa. Na~aka kwenda kumpa Yule karani wa viwanja, chai yake,
an I ianyie mipango nikipate kile kiwanja’ Yakaishia hapo” (Uk.62).
4.16 Mwanamke Kama Chombo cha Starehe Kwa Mwanamme
Biashara ya danguro na ukahaba ni lie tabia rnbaya ya baadhi ya wanawake kujishughulisha
katika kuuza mliii yao kwa wanaume kwa lengo Ia wanaume hao kujitosheleza rnahitajio yao
yakimwili. Tabia hii bado inaendelea kushika kasi katika jamii rnbaiimbali .Sarnbamba na bib
baadhi ya wanawake warnekuwa wakiturnika kama chombo cha kumstarehisha rnwanarnrne
Mwandishi katika kulifafanua bib amemturnia mama Jeni ambaye alikuwa mmiliki wa danguro
huko Purnziko. Biashara ya kuuza miili kwa wanaun-ie ibiendeshwa na mama Jeni kupitia
Muimuna na Dora ingawaje Maimuna hakuwa tayari kuuza rnwiii wake kwa James. Mwandishi
ana fafanua:
..Sitaki’ Mairnuna alijikwapua na kuepa mikono ya James kwa
hamaki, Alimgeukia Maimuna, akatanua mikono yake. Tayari
kumwinda tena mwanarnke huyu. Moyo unamtuta, macho kayatoa,
anahema. Kaciharniria moja tu. . . Sasa James alikuwa anakuja kwa
19
metao ye mtu aliyekuwa na uhakika ye ushindi . Na pale alipofika
karibu na Maimuna alichupa kama kirongwe, lakini Maimuna aliepa
na James akapinduka chini ye ukuta. Dakika hiyo hiyo Maimuna
alitimki mbio...” (Uk. 56-57)
Miafiti kupitia dondoo hil inadhihirisha wazi juhudi za baadhi ye wanawakekutokuwa tayari
kLltumika kama bidhaa au chombo cha kumstareheshea mwanamme. Hall hil inastahiki kuungwa
mkono na jamli nzima ye kwamba table ye wanawak.e kutumika kama chombo cha starehe
haistahili kuwepo katika jamii zetu. Kwa upande mwengine mwanamke ametumika kama
chombo cha starehe kwa mwanaume kwa lengo Ia kujipatia fedha na tamaa. Mfhno mzuri ni
kupitia kwa muhusika Dora katika danguro Ia mama Jeni. Mwandishi anathibitisha hayo:
“Kutoka ukumbini alichomoza mwanamke mrnoja aliyekuwa
akimwongoza mwanamme. Mwanamke huyu mwembamba alikuwa
kavaa shad na blauzi manjano iliyoandikwa Toyota. Shingoni mkufij
we shaba ulimning’inia. Walipopishana huyu mwanamke
alichekacheka, akamwamkia Mama Jeni. Shikamoo.... Hatimaye
Yule mwanamke alijichoma chumbani na bwanaake akafbatia huku
akiufunga miango kwa nguvu “ (Uk. 64-65)
Mbali na mwanamke kutumika kama chombo cha starehe kadka mapenzi,
mwanamke pie ametumia kama chombo cha starehe katika kutoa burudani ya kuimba
ikiwanisehemu katika kazi zake. Mfhno mzuri ni kupitia Maimuna alipokinGa muimbaji kule
Rumbalola Hotel. Mwandishi anaeleza:
“Muziki ulianzwa kugongwa kwa mahadhi ye rumba. Maimuna
katikati ye shangwe aliteremka vidaraja kuelekea pale penye zulia
katikati ya ukumbi. Njiani alipokea kikuza saud kutoka kwa yule
mtangazaji. Akaaiiza kuyumbayumba kwa madaha. Alibembea na
mdundo huku mwili wake kaulegeza na macho yanasinzia. Muziki
ulipofika pahala flulani, alianza kuimba,
20
Hitirnisho
Malengoyamtafiti kati kasurah i mi kuwaki I ishadatakamazi Iivyoonekanakatikavitabuteu levyariwaya
vi I ivyotumikakatikautafitihuu~
i m bali kati kaku mchorarnwanam kekati kakazizao. Moj awapoyataswi rali izon irnwanamkekarnakalia
ba,mwanam kekamam tu rnwa, rnwanarnkekamarntuni nyongemwanarn kekarnategernezi , mwanarn k
nakasriyamwinyi Fuad Kati~
21
SURA YA TANO
MUKTASARI, HITIMISI-lO NA MAPENDEKEZO
5.0 tJtangulizi
Sura liii iii sura ya mwisho yenye mada: Muhtasari, Hitirnisho na Mapendekezo. Sura liii
imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni Sehernu ya kwanza ni Muhtasari
1-litirnisho ia sehernu ya tatu iii mapendekezo ya utafiti huu
5.1 fVluhtasari
Muhtasari Utafiti huu ni juu ya jinsi waandishi wa riwaya ya kasri ya rnwinyi Fuad na
ulengano walivyosawiri mwanarnke katika uendelezaji wa riwaya yao . Utafitihuu
uligawanywa katika sura tano zifuatazo: Sura ya kwanzailihusu Utangulizi wa jurnia. Vipengele
vilivyojadili\va Iii pamoja na; Utangulizi, usuli wa utafiti tatizo Ia utafiti, Malengo ya utafiti
(Lengo kuu na malengo rnahsusi), Maswali ya utafiti, Urnuhimu wa utafiti, Mipaka ya utafiti,
Muundo wa taKatika Utafiti, huu mtafiti aliongozwa na malengo ya ama rnbili; Lengo kuu na
• Malengo mahsusi.
Lengo kuu lilikuwa ni: Kuchanganua rnnamwanamke anavyosawiriwa katika riwaya za
SaidAMohamed na Adam Shafi,NA malengo mengine yalikuwa;
• Kutathmini nafasi ya riwaya katika uendelezaji wa rnwanamke.
• Kuelezea umuhirnu wa kusawiri rnwanamke katika tungo za riwaya katika kuendeleza ploti.
Sambarnba na bib utafiti huu uliarnbatana na maswali rnatatu ya msingi:
•.Je.mwanamke anasa\viriwa vipi katika riwaya za Said A Mohamed na Adam Shafi
•Je,kuna umuhimu gani kutatmini nafasi ya riwaya katika uendelezaji warnwanarnke,
.,Je,kuna umuhirnu gani wa waandishi kutumia mwanamke katika uendelezaji wa riwaya yao?
22
Sura ya pili ilihusu Mapitio ya Kazi Tanguiizi na Mkabala wa Kinadharia. Sura hii iiijurnuisha
macla ndogo ndogo zifuatazo; Utangulizi, Ufafanuzi wa istilahi muhirnu Mapitio ya kazi
ii iyotanguiia kisha hitirnisho
.Sura ya tatu ilihusu Mbinu za utafiti. Katika sura hii vipengele vifuatavyo vilijadiliwa:
Utanguiizi,Eneo Ia utafiti, na sababu za Mbinu ya usampulishaji, Ukusanyaji wa data na Mbinu
za ukusanyaji wa data, Mbinu za uchambuzi wa data , vifaa vya utafiti na mwisho ni Hitimisho.
Sura ya nne ii ihusu Uwasi iishaj i, Uchambuzi na rnjadaia wa data za utafiti.
Vi pengele vii ivyoj ad ii iwa: Utangu 1 izi,j insi mwanarnke anavyosawiriwa katika riwaya ya
kasri ya mwinyi Fuad na utengano na kisha hitimisho
I Lengo mahsusi ya kwanza
Lengo kuu liii kuwa ni: Kuchanganua namna mwanamke anavyosawiriwa kati ka riwaya za Said A
Moharned na Adam Shall.
Mwanamke katika riwaya teule za Utengano na Kasri ya rnwinyi Fuad . Lengo hili
liVongozwa na swab Ia msingi Ia kwanza lisernalo: Mwanamke amesawiriwa vipi katika
ri\vaya ya kasri ya mwinyi Fuad na utengano ?
Katika Utafiti huu, mtafiti alibaini kuwa riwaya mbili hizi teuie zirnemsawiri mwanarnke katika
hali rnbili (chanya na hasi). Kwa mfano katika riwaya ya Utengano; Mwanamke arnesawiriwa
kama rnuhusika Mshauri rnwerna, Jasiri na rnwenye kujitoa rnhanga, Mwenye rnsirnamo thabiti,
Miezi wa familiya, Mapenzi ya dhati, Muwajibikaji, Tabibu na daktari wa kienyeji, Ushawishi
na Uchochezi, Mipango na Hadaa, Mievi na Mgomvi I Mshari, Dhaifu na Masikini, Chombo cha
starehe na Mtenda rushwa.Kwa upande wa riwaya ya Kasri ya mwinyi Fuad , mtafiti ahgundua
mwanamke amesawiriwa katika bali / tabia zile ziie mbili (chanya na hasi). Kwa
m l’ano. Mwanamke amesawiriwa kama iii uhusi ka Muwaj ibikaj i, Mtambuzi na Mwanah istoria,
Mpenda dini, Huruma na rnwenye Irnani thabiti, Mwanamabadiliko, Msarnehevu, Tabibu /
daktari wa kienyeji, Miezi wa farniIiya, Chombo cha starehe, Yatirna na anayehitaji msaada,
Kiburi aia rnwenye tama. Ni vyema mema
23
5.2 Lengo Ia pili.
Kutathmini nafasi ya riwaya katika uendelezaji wa rnwanarnke.
IKatika utafiti huu rntafiti alitathimini kuwa katika riwaya hizi rnbili waandishi
warnernendeleza mwanarnke kwa njia tofautitofauti ambazo rnengine yamemuinua
mwanarnke na mengine yanarndunisha . Riwaya imernendeleza rnwanamke karna mwenye
msirnamo dhabiti , mwaajibikaji , Mwenye Mapenzi , daktari wa kienyeji , Mwenye hururna
mshawishi.Mwenye hururna , Mlezi wa farniliya , rnjasiri , Mshauri rnwema na kwa upande
m\vingine riwaya imemendeleza mwanarnke kwa njia ya kumdunisha kwa rnfano dhaifti
na iVlasikini . Chombo cha starehe . Mtenda rushwa , kahaba , Mwenye mipango na hadaa
mwanarnke karna mhusika dhaifu na maskini , rntegernezi , Ushawishi na Uchochezi , katika
kutatmini nafasi ya riwaya katika uendelezaji wa rnwanarnke , utafiti unaonyesha kwamba
m~vanamke amedunishwa katika riwaya hizi mbili , kwa sababu mwanarnke amesawiriwa
kuwa na tabia hasa kuliko tabia chaya
5.3 Lengo Ia tatu.
Kuelezea urn uh i mu wakusawi ri mwanarnke kati ka tungo za riwaya katika kuendeleza ploti.
Mwanamke ni muhusika mhimu katika riwaya hizi mhili katika kuendeleza ploti
Kulingana na utafiti huu , mwanamke amechangia pakubwa katika uendelezaji wa ploti
Katika riwaya ya Kasri ya rnwinyi Fuad na utengano ,waandishi wa riwaya hizi
wametumia rnwanamke katika kuendeleza ploti za riwaya yao ,karna vile Maimuna , Dora
,Jeni ,Binti kocho,Bi Tarnina , kijakazi, Mariamu ,Bi Malik , kazija , Bi kocho
5.4 Hitimisho
lKwa kuhitim ishia, tu naweza kusisitiza kuwa mwanarnke ni muhusika binaadarnu karna wal ivyo
~vanaadarnu wengineo. Ni muhusika rnwenye uwezo mkubwa wa kutenda matendo rnbalimbali
arnbayo hugawanywa katika sehernu rnbili kuu. Matendo merna (chanya) na matendo rnaovu
(hasi).
24
5.5 Mapendekezo
Kwa udhati kabisa, kazi za utafiti wa ama yeyote duniani si kazi nyepesi. Ni kazi zinazohitaji
utulivu, uvumilivu, muda wa kutosha na hata uwezo na taalurna kufanya utafiti wenyewe na hata
gharama ya fedha. Utafiti huu ulizingatia usawiri wa wanawake katika riwaya ya kasri ya
mwi nyi Fuad na utengano .Mtafiti arnefau lu kufanya utafiti al iyokusud ia kwa kuzingatia
malengo na maswali ya utafiti kama ilivyoangaliwa. Licha ya hayo, mtafiti arneona kuwa kuna
ii iii it hi mu m kit bwa wa kutoa mapendekezo yafuatayo
Pendekezo kwa waanclishi
Pc~ndekezo kwa waand ish I n i ku~ a waweze kumsawiri mwanamke kwa nj Ia born si
kumdunisha rnwanamke , kwa sababu riwaya huwa inaangazia sana jamli na hivyo ni bora
kuzingatia uhalisia ill wanaosoma riwaya wasiwe na rntazarno hasa kuhusu mwanamke
bali waweze kuwa na mtazamo wa mwanamke jinsi alivyournbwa na uwezo wake katika
kujenga jamil . Maana fasihi uchangia pakubwa katika maisha yetu na kuelekeza kizazi
chew cha sasa
Pendekezo kwa wizara ya elimu
Pendekezo kwa wizara ya elirnu ni kwamba vitabu vya Kiswahili vichapishwe kwa
wingi na viweze kuh ifadhiwa katika rnaktaba za umaa katika Idle eneo ambayo itasaidia
kati ka utafit ia hata uendelezaj I wa fasihi nchi ii Uganda
.Jambo lingine iii kuwa wizara ya elirnu ikishirikiana na wizara ya sayansi na teknolojia
walungue mbinu rahisi kupitia mtandao ambao wasomaji arnbao wanaweza kusoma vitabu
hivi popote walipo ambayo itarahisisha kazi ya utafiti wowote Ule.
Mapendekezo kw’a Jarnii
Jamli ma dhima kubwa ya kujifunza taaluma mbalimbali ikiwemo taalurna ya Fasihi.
Mtafiti anapendekeza kuwa wanajamii wawe na utamaduni wa kusoma vitabu kwa
bidii ya kusudi. Utamaduni huu wa kusorna vitabu utasaidia sana kuongeza maarifa
25
na kuwatènya wanajamii hao waweze kutenda yallyo mema na kuacha yaliyo
maovu. Sambamba na hilo tabia ya usomaji wa vitabu ikiwa ni pamoja na vitabu vya
Fasihi kama Riwaya, Tamthiliya na Ushairi, Tasnifli na makala mengineyo ya
kitaaluma ikiwemo tasnifb hii ni nyenzo muhimu katika kuinua upeo wa maariffi na
akili kwa maendeleo binañi hadi taiti kwa ujumla.
26
MAREJELEO
Adam Shafi Adam (2007)Kasri ya mwinyi Fuad iliyochapishwa na videmuwa.
BAKIZA , ( 2010) Kamusi Ia Kiswahili Fasaha, Nairobi : Oxford University Press.
BAKIZA, (2010). Kamusi Ia Kiswahili Fasaha, Nairobi: Oxford University Press
Kezilahabi, E (1971),Rosa Mistika, Dares salaam , East Africa Publishing House
Kiango , S.D (1982) ,Tarnthiliya za Kiswahili :Dharnira Chapwa na Usuli katika Uchapwa
katika jarida Ia taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili Juzuu 4912, (Mh), chuo kikuu cha
Dares salaam
Kothari , C.R(1992) Research methodology :methods and Techniques . New Delhi, Wiley
Eastern Limited
Lugano, R ( 1989 ) “Mwanarnke katika Riwaya za kezilahabi “Tasnifh ya M.A. Chuo
kikuu cha Nairobi (Haijachapishwa)
Mabala, R (200 ), “Gender in Tazanian Kiswahili Friction “in Njau, A . and T. Mruma.
Mbuguni , P (1982),”The image of woman in Kiswahili prose fiction “ ,Katika jarida Ia
Tuki juzuu 49
Momanyi , C (2004), “Ngome ya NaAi “ Mayai Waziri wa maradhi na Hadithi Nyingine.
Nairobi , Forcus press.
Mulokozi, M.M (1983 ).Utafiti wa Fasihi simulizi . Katika makala za semina za kimataifh
ya waandishi wa Kiswahili . Dares Salaarn :Tuki.
Ndungo , C .W.na Mwai, W . (1991).Kiswahili studies part Two :Msing[ ya Nadharia ya
Fasihi ya Kiswahili . Nairobi :University of Nairobi.
phoenix publishers.
Richard na wenzake 2007 , Nadharia za uhakiki wa Fasihi . Nairobi , sal industries Ltd
Robert , S (1968) ,kufikirika . Nairobi , Oxford
Said A Moharned (l980),Utengano .Nairobi, Longhorn Kenya Ltd27
Tuki (198 I ),Karnusi ya Kiswahili sanifu Nairobi , Oxford University Press
\~1amithiIa K.W (2002) ,uhakiki wa Fasihi misingi na vipengele vyake Nairobi
28