Upload
others
View
25
Download
1
Embed Size (px)
Citation preview
121
UMOJA WA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA
MKOA WA ILALA.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA PILI KIDATO CHA TANO
KISWAHILI
MUDA: SAA 3:00 Jumatatu, 20 Julai, 2020 asubuhi.
Maelekezo
1. Karatasi hii ina sehemu A, B,C na D yenye jumla ya maswali k:umi na
moja (11)
2. Jibu maswali saba (7) katika mtihcU1i huu, maswali yote kutoka
sehemu Ana C, na swali moja kutoka sehemu B na D
3. Zingatia maelezo ya kila sehemu.
4. Simu za mkononi haziruhusiwi katika chumba cha mtihani.
5 . .Andika namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu
chakujibia.
Mtihani huu una kurasa 4 zilizochapwa.
rAHOSSA /tt?/.P - Kiswt1hlti ku:/tito cht1 ttlM - ni.tiht1;u wa Je ,m,.atiza "'-"h"/.a wa p!Li 2020 :t.
SEHltMU A: (ALAMA 40)
UFAHAMU. MATUMIZJ YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUOHA
Jibu maswali yote kutoka seh~mu hi1
Soma kwa makim klfungu cha h;:-1,ban k1f11...ltacho k1c;h;i pbn m,tci\, ,tit
\·an;-ivofu a t..-1
:;akumbuka mt"·hAh "1dmaA mbt>k. m rtutt m um,1" \.f ,-.th , h h11
huvunJa mo, o \\ ;\ mtu odu;n1c:h,n,. nd0•n ;R , ,i..: 1t1 111, I ,kir
51vun3ik 1 mo)O k,\ a-.. llml It Hn m mu , t 1m I I J"t' , , K, 1 11rn1 nt,
akatr 1~m.u Y::t k\rn-l t •1 \1~ t l l~tmrl •1 I tn, 1 kll\\ 1 t 1pri mkuh,~ ,
Sik om1 h,ip< :'\m,-~;i::n A r·11 ~ ·;.l k 1•11m1 , ut 1pn \~ ln£11 • 1r , 1
n1k1,1p,1t,t
\hn,· '-I mm ·.1 k~•,~ • \\.:1 r \ lhHt ! I fl\ 1l1 in1 l ~ , h 1h I ktl\H'k I
mJMiu 1mrl·•,,.1 n:-t '.01 · V=1 ____ ...,_. ___ , , 1 ,· , t, ~ q,~ n I 1
mh1
in:'IU:l
huh(
r r k , 1,, 1 ,t,f" I
'' fl '
, ' I,< d I
~ " , 11-.1 bu . r ,r ,
1'11prr,r! I,
' l . " l L I
1 • 1, , m ,rnb1
th , , , , r r I' lfT , 0 t
r •kt f.. ,I, l flL, 1 ,UI ll ll' l
!":! i: 1 , •·•· • ,n.1r'<1 k•,1,· t J ,,n w c11 r., w ,n 1
r.U'.t. tpd • !<1 ,C.U:. ,I, t <;t 1 n t ,< tl '}, ,l~
\.i,r;i•,t A 1.,k hi !1 1 1.\ l',l.t'Ll ,< U t 1r. ,U
k",1. r: ... ~ ~l :<_-G!.,t \\. ; .. ,a r..: .: t ...... k~r n!I.l:1.n2...1 ~!sn \ J .r-.l!',1 __ • : .• c1.
5aRdd ,..i i-• ..! l.Us.L'. !.1 r..1.. r.ra \a r.. .' t .... durua n1'LtctrtLc1 ;c t~l
)angt. kau:.W r.d .. ~unvj :,.Lt-r.n .... hd ., .. l.m,1 v.a nan rw " bv. 1 n 1
b<.ira k" a k..:t ..!!'!lW za~ .. aJ ~!Al! r.ui Fa1dd ha1wKU'.h1 ghar .!~:H
tu ~1mcng<1...,'nl.l ,i ubu:-d '-'c1 ur.t.:,.md k.d'tr..ct \!' .A.ct ~.t t~.ha.ni-'1 Kc1L1 ht)O
1tatend"a hata ka.n:..t !ldgr!...:inmu tr-dr.a n'.1r,g1 Nttcttcnk'.~n.-L.t r. 1
mashambaru \"lta.1. • • ~,.,a T..ka.Lv \.\a mit.1un£G ·,a kaL1 ,.a u1un<i1
Fedha ya mahpo \a v.ar..a.f._.r.;2 .. ma.'>.klru lalum hodan ttat~:lllV.a
Nasad1la sana k\\ambd hapar:...i taifa llv. ,...£a!o i<ut'nd lr a pasipc.) mat.Ot"Z}
)d ellm..:. ·,c1 "anJv\ak~ l-:\.\a rm mw· • !..!ha n·,mKt kv.c1 iJ1b va c-lunu
Ht \\anav.ake Ma~ha.krt -.a rr~a!',k1rn \d!Ilt!:>hughuhshd v1lt> Vllr- d l\.l.
,angu kwa 'Aakau mrdu K\.\-a kushtrtkla!l.J na mataJin \.\f"n~nr
r..i•a1eng:3 n\'umba kand t1 \8 kufanv1a ka.11 huko ma-.kin1 \\8Upt·,~ , k~,n
4-1 V ii,,;,
MASWALI.
(a) ~leza maana ya maneno yafuatayo
(1) Taraa
(ii) Maono
(iii ) Tunu
(iv) Karadha
(v) Gharadhi
(b) Toa sababu mbili kwa nini mwandishi ana tarajia kununua vitabu
vyote bora.
(c) Mwandishi ana rnaana ganj anaposema "Mti huirnar isha shin a lake
kwa kivuli cha matawi yake".
(d) k\va mijibu wa ha bari hii , mwandi shi am esha pa ta u taj iri ama bado?
Toa saba bu moja _rn j ibu lako.
(e) Andika kichwa cha ha bari u liyoisoma kwa maneno yasiyozidj
matano .
2. Kv;a kutumia mifano thabi ti eleza dhima tano (5) za mofimu -u- katika
tungo .
3. Sarufi n i nini? kwa kutumia mifano fafanua matawi ya sarufi .
4 . Kwa kutumia mifano mbalimbali bainisha manufaa matano (5) ya
kutumia rejesta.
SEHEMU B: (ALAMA 20)
MAENDELEO YA KISW AHILI
J ibu swali moja (1), ku toka sehemu hii.
5. Onesha ni kwajinsi gani shughuli zilizofanywa na Waarabu katika nchi
za Afrika Mashariki zilikuza na kudumaza lugha ya Kiswahili . Toa hoja
tatu (3) za kukuza na hoja mbili (2) za kudumaza.
6. Fafanua majukumu sita (6) yaliyofanywa na kamati ya Lugha ya
kiswahili iliyoanza kazi rasmi mwaka 1930.
- 1..1 a· 0.20
TAHOSSA rLPLP - Ki.sw«hl/1 /eldllttJ oh« t«M - m.tfht:1,,.,f wt:1 k um.t1/J.zt:1 m uhu w« 1' • 2 3
•
SEHEMU C : (ALAMA 20) FASIHI KWA UJUMLA
Jibu maswal~ yote\ kutoka sehemu hii
7 . Eleza kwa ufupi usanaa wa fasihi kwa kuzingatia vipengele vitano (5) muhimu. - --- ·
8 . Tofautisha fasihi simulizi na fasihi andishi kwa hoja tano.
SEHEMU D: (ALAMA 20) FASIHI ANDISHI
Jibu swalt,~oja ( 1 )1 kutoka sehemu hii.
USHAIRI Fungate ya Uhuru Kimbunga Mapenzi Bora
Mohamed. S. Khatibu Haji Gora Shaaban Robert
9. "Washairi wana dhima mbalimbali ya kujenga Tanzania ya leo" Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kutoa hoja nne kwa k.ila kitabu katika diwani mbili ulizosoma.
RIWAYA Kufikirika Mfadhili Usiku utakapokwisha -Vuta N'kuvute
f11
Shaaban Robert Hussein Tuwa Mbunda Msokile Shafi Adam Shafi
10. Misuguano katika maisha ni jambo lisiloepukika. Onesha jinsi waandishi walivyoibua misuguano mbalimbali katika kazi zao k\;va kutoa hoja nne kwa kila kitabu katika riwaya mbili ilizosoma.
TAMTHILIYA Morani Nguzo Mama Kwenye Ukingo wa Thim Kivuli Kinaishi
Emmanuael Mbogo Penina Muhando Ebrahim Hussein. Said A. Mohamed
11. Chunguza wahusika wawili toka kila kitabu katika tamthiliya mbili ulizosoma kisha eleza jinsi gani wanafaa kuigwa au hawafai kuigwa na jamii.
TAHOSSA 1tntn - KJ.s wahllt kldato cha taJ,1,0 - m.t£ha11-£ wa kum.t1l£zt1 m.uhula wa pat 2.02.0 ·1-