Upload
others
View
5
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
r
TANZANIA YOUTH COALITION JARIDA
Kwa mwaka 2018 TYC imekua ikifanya shughuli mbalimbali katika miradi tofauti inayo tekelezwa chini ya mpango wa malengo
endelevu ya dunia wa mwaka 2030. Ikiwa kama kiungo muhimu cha taasisi zinazo tekeleza mpango huu katika sekta ya vijana,
kwakushirikiana na serikali kupitia baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi(NEEC), imezishirikisha vema taasisi za ndani na nje
ya nchi ili kufikia lengo kuu la miradi inayo tekelezwa;-Kama
❖ Utafiti mdogo(Mapping)
❖ Kambi ya Vijana (Pan-African Youth Camp)
❖ Mkutano wa kuoanisha wabia (Partner matching conference)
❖ Jukwaa la Asasi na taasis zisizo za kiserikali (CSOs/NGOs forum)
❖ Semina za maandalizi.
❖ Kutuma washiriki
❖ Vipindi vya mazungumzo ya redio.
❖ Mafunzo kwa watu wenye
ushawishi(Community Gatekeepers).
❖ Jukwaa la vijana.
❖ Mafunzo ya uandishi wa habari.
❖ Kikao cha undaji Msimbo data.
❖ Kutembelea maeneo ya miradi.
Toleo la 2
UTAFITI MDOGO
TYC imetembelea mikoa 12 ndani ya nchi kuzitambua taasisi zinazo shiriki/zilizo wahi kushiriki
katika program za mabadilishano ya vijana baina ya Tanzania na Ujerumani. Hii ni chini ya
utekelezaji wa mradi wa Afrikcan Germany Youth Initative.
Timu ya utafifiti katika Picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Jambo bukoba. Mkoani KAGERA
Kutuma washiriki
TYC ilituma vijana 12 wa kitanzania nchini
Urusi kushiriki program ya mabadilishano
iliyo kua na muktadha wa mzunguko wa
chakula(Food cycle). Program hii ilihusisha
nchi tatu(3), Tanzania, Germany and Rusia.
Kambi ya vijana
TYC iliandaa kambi maalum ya
vijana kuhakikisha tanatambua
nafasi ya vijana katika
utekelezaji wa mpango wa
maendeleo endelevu ya
dunia(SDGs). Chini ya mradi wa
African Germany Youth
Initiative. Mkoani Kilimanjaro
Mkutano wa kuoanisha wabia
TYC iliandaa mkutano na
kuzikutanisha taasi zaidi ya 30
kutoka ukanda wa Afrika
mashari na Ujarumani zilizo jikita
katika Tamaduni, Sanaa na
michezo. Chiini ya mradi wa
African Germany Youth
Initiative. Dar es salaam.
Semina za maandalizi
TYC ilifanya semina za maandallizi
kwa vijana wanaokwenda kujitolea
Ujerumani na wanaukuja kujitolea
Tanzania. Dar es salaam
Vipindi vya Radio
TYC iliandaa vipindi vya Radio
katika stesheni ya Voice Of Africa
(VOA) na kuwaalika washiriki
watatu nakujadili ajenda zinazohusu
ushiriki wa wanawake na vijana
katika uongozi kisiasa na mambo
mengine yanayo husiana nao.
Program hii ilikua chini ya mradi wa
Woman and Youth Political Representation
Enhanced (WYPRE) in 2019 and 2020 Elections
in Tanzania. TANGA
Kutembelea Miradi
Ilipata fursa ya kutembelea
maeneo ya miradi ambayo
tumekua tukiitekeleza.
Mafunzo kwa watu
wenye ushawishi.
TYC ilitoa mafunzo kwa viongozi wa
dini na watu wenye ushawishi
kwenye jamii
Juu ya usawa wa kijinsia na ushiriki
wa vijana kuwa mawakala wa
mabadiliko katika jamii. WYPRE
Undaji wa Msimbo data
TYC ilifanya kikao cha kuandaa msimbo
data wa vijana na wanawake
wanaotaka mabadiliko kwakuzingatia
mahitaji. Program hii ilikua chini ya
mradi wa Woman and Youth Political
Representation Enhanced (WYPRE) in 2019
and 2020 Elections in Tanzania. TANGA
Jukwa la Vijana
TYC ilikua na jukwaa la wijana na
wanawake 100 kwenye kila wilaya
ambao kazi yao ni kutoa hamasa kwa
jamii juu ya ushiriki wa vijana ktk
uongozi. Program hii ilikua chini
ya mradi wa Woman and Youth Political
Representation Enhanced (WYPRE) in 2019
and 2020 Elections in Tanzania. TANGA