TAHADHARI YA UPEPO MKALI PAMOJA NA MAWIMBI MAKUBWA

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Tafadhali pokea tahadhari ya Upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa pwani kuanzia tarehe 01 mpaka 02 Septemba 2014.Imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania/ Issued by TanzaniaMeteorological Agency.

Citation preview

  • JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    WIZARA YA UCHUKUZI

    MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

    Simu: 255 22 2460735/2460706

    FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056

    Barua pepe: [email protected] DAR ES SALAAM

    Tovuti: www.meteo.go.tz

    Unapojibu tafadhali nakili:

    Kumb. Na.: TMA/1622 31 Ogasti, 2014

    Taarifa kwa umma: Upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa

    vinatarajiwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani.

    Taarifa Na. 201408-02

    Muda wa Kutolewa

    Saa za Afrika Mashariki Saa 6:00 Mchana

    Daraja la Taarifa: Tahadhari

    Kuanzia:

    Tarehe 01 Septemba, 2014

    Mpaka:

    Tarehe 02 Septemba, 2014

    Aina ya Tukio Linalotarajiwa

    Hali ya Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa pamoja na

    mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 inatarajiwa katika

    ukanda wote wa Pwani.

    Kiwango cha uhakika: Juu: (70%)

    Maeneo yatakayoathirika Pwani ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

    Maelezo:

    Hali hii inatokana na kuimarika kwa mgandamizo mkubwa wa hewa

    katika maeneo ya kusini mwa Afrika hivyo kusababisha upepo mkali

    wa Kusi, mashariki mwa Pwani ya Tanzania.

    Angalizo: Wakazi wa maeneo yaliyotajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari.

    Maelezo ya Ziada Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa

    mrejeo pale itakapobidi.

    Imetolewa na

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.