SAJUKI

Embed Size (px)

Citation preview

  • 7/30/2019 SAJUKI

    1/2

    RATIBA YA MAZISHI YA MSIBA WA NDG JUMA

    SAID KILOWOKO ( SAJUKI) TAREHE

    04/01/2013.

    No MUDA TUKIO MHUSIKA

    1 1:00-.. Waombolezaji kuwasilinyumbani kwa marehemu

    Kamati yyamapokezi na

    Itifaki2 2:00-2:45 Kisomo cha wanaume Wanafamilia

    3 2:45-3:30 Mwili wa marehemu kuwasilinyumbani

    Kamati yamazishi na

    familia.

    4 3:30- 5:00 Salamu za pole kutoka kwaviongozi, ndg na jamaa

    Kamati yaItifaki

    5 5:00- 6:00 Sadaka ya chakula Wote

    6 6:00-6:15 Nasaha toka kwa viongozi wadini

    Mashekhe

    7 6:15 Mwili kuondoka nyumbani

    kuelekea msikitini

    Kamati ya

    itifaki, usafirina mazishi.8 6:15-6:30 Kisomo cha kinamama Kinamama

    9 6:30 7:30 Mwili kuwasili msikitini naswala ya kuswalia maiti

    Kamati yamazishi na

    wahusika wamsikiti

    10 7:30 Mazishi Shekhe nawatu wote.

    11 Shukrani za mazishi namwisho.

    Familia naviongozi wa

    dini

    Imetolewa na kamati ya mazishi.

  • 7/30/2019 SAJUKI

    2/2

    Ahsanteni kwa ushirikiano