2
NSURANC TH IN HEALT NHIIF 0 7avang guaity bealtk Cr ISO 9001:2015 CERTIFIED MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MACHINGA AFYA Machinga Afya ni nini? Ni utaratibu wa bima ya afya unaowalenga wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Wamachinga walio katika umoja unaotambuliwa na mamlaka za Serikali. Utaratibu huu unawawezesha Wamachinga hao kuchangia huduma za afya kwa um Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuhudumia wanachama wake ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. wao na kunufaika na bima ya afya kupitia mtandao mpana wa vituo zaidi ya 7,700 vilivyosajiliwa na Wanufaika ni akina nani? Wanufaika ni Wamachinga walio katika umoja, wenza wao na watoto wasiozidi wanne wa kuzaa au kuasili wenye umri chini ya miaka 18. Madhumuni ya Mpango wa Machinga Afya a) Kutoa fursa kwa Wamachinga kujisajili na kunufaika na huduma za bima ya afya zinazotolewa na Mfuko kupitia umoja wao. b) Kulinda kipato cha wanachama kwa kuwapa uhakika wa matibabu kupitia kadi ya bima ya afya. Jinsi ya Kujisajili na Mambo Muhimu ya Kuzingatia a) Mwanachama anatakiwa kujaza fomu ya kujiunga ambayo inapatikana katika ofisi zote za Mfuko nchi nzima na Tovuti ya Mfuko www.nhif.or.tz. Mwanachama anaweza kusajiliwa pía kupitia mtandao baada ya kikundi chake kuwasilisha taarifa za wanachama wote b) Usajli utafanyika kwa wanachama wote katika shirikisho/umoja uliosajiliwa na kutambulika na mamlaka za Serikali. c) Utaratibu wa Machinga Afya utahusisha usajili wa kundi zima na siyo mwanachama mmoja mmoja na fomu za uanachama, viambatanisho na taarifa zote muhimu za wategemezi zitawasilishwa kwenye Mfuko kupitia Umoja wao. d) Mchango wa kila mwanachama ni Shilingi 100,000 kwa mwaka. Aidha, mwanachama atamlipia mwenza Shilingi 100,000 na mtoto Shilingi 50,400 pindi atakapotaka kuwaunganisha. e) Michango ya wanachama wote italipwa kwa mkupuo kupitia kwa shirikisho au umoja husika Mwanachama anatakiwa kuwa na Kitambulisho cha Taifa au namba ya kitambulisho cha uraia wakati wa usajil. 9) Mwanachama atapata kitambulisho cha matibabu kwa kuzingatia vigezo na masharti ya mpango wa MACHINGA AFYA Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Mfuko iliyo karibu na wewe au wasiliana nasi kupitia simu ya huduma kwa wateja bila malipo 0800 110063

NSURANC · 2020. 10. 19. · b) Usajli utafanyika kwa wanachama wote katika shirikisho/umoja uliosajiliwa na kutambulika na mamlaka za Serikali. c) Utaratibu wa Machinga Afya utahusisha

  • Upload
    others

  • View
    5

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • NSURANC TH IN HEALT

    NHIIF 0 7avang guaity bealtk Cr

    ISO 9001:2015 CERTIFIED

    MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA

    MACHINGA AFYA

    Machinga Afya ni nini?

    Ni utaratibu wa bima ya afya unaowalenga wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Wamachinga walio katika

    umoja unaotambuliwa na mamlaka za Serikali. Utaratibu huu unawawezesha Wamachinga hao kuchangia huduma za

    afya kwa um

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuhudumia wanachama wake ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    wao na kunufaika na bima ya afya kupitia mtandao mpana wa vituo zaidi ya 7,700 vilivyosajiliwa na

    Wanufaika ni akina nani?

    Wanufaika ni Wamachinga walio katika umoja, wenza wao na watoto wasiozidi wanne wa kuzaa au kuasili wenye umri

    chini ya miaka 18.

    Madhumuni ya Mpango wa Machinga Afya

    a) Kutoa fursa kwa Wamachinga kujisajili na kunufaika na huduma za bima ya afya zinazotolewa na Mfuko kupitia

    umoja wao.

    b) Kulinda kipato cha wanachama kwa kuwapa uhakika wa matibabu kupitia kadi ya bima ya afya.

    Jinsi ya Kujisajili na Mambo Muhimu ya Kuzingatia

    a) Mwanachama anatakiwa kujaza fomu ya kujiunga ambayo inapatikana katika ofisi zote za Mfuko nchi nzima na

    Tovuti ya Mfuko www.nhif.or.tz. Mwanachama anaweza kusajiliwa pía kupitia mtandao baada ya kikundi chake

    kuwasilisha taarifa za wanachama wote

    b) Usajli utafanyika kwa wanachama wote katika shirikisho/umoja uliosajiliwa na kutambulika na mamlaka za Serikali.

    c) Utaratibu wa Machinga Afya utahusisha usajili wa kundi zima na siyo mwanachama mmoja mmoja na fomu za

    uanachama, viambatanisho na taarifa zote muhimu za wategemezi zitawasilishwa kwenye Mfuko kupitia Umoja

    wao.

    d) Mchango wa kila mwanachama ni Shilingi 100,000 kwa mwaka. Aidha, mwanachama atamlipia mwenza Shilingi

    100,000 na mtoto Shilingi 50,400 pindi atakapotaka kuwaunganisha. e) Michango ya wanachama wote italipwa kwa mkupuo kupitia kwa shirikisho au umoja husika

    Mwanachama anatakiwa kuwa na Kitambulisho cha Taifa au namba ya kitambulisho cha uraia wakati wa usajil.

    9) Mwanachama atapata kitambulisho cha matibabu kwa kuzingatia vigezo na masharti ya mpango wa MACHINGA

    AFYA

    Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Mfuko iliyo karibu na wewe au wasiliana nasi kupitia

    simu ya huduma kwa wateja bila malipo 0800 110063

  • NSURANCE TH INS NAL FHEAL,

    NH Dedicatod lo providing quality veah Caro

    ISO 9001:2015 CERTIFIED

    MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA HUDUMA ZA MATIBABU KWA MACHINGA AFYA

    NA MAFAO UPATIKANAJI Ada ya kujiandikisha na

    kumwona daktari 1 Inalipiwa hadi Hospitali za Rufaa za Mikoa

    Inapatikana hadi siku 30 kwa mwaka kwa kuzingatia ushauri wa daktaril kwa kila mnufaika.

    2 Huduma za kulazwa

    Dawa zinazoruhusiwa kutumika kwa mujibu wa Mwongozo wa Matibabu wa Tanzania katika Vituo vya huduma za afya ngazi ya Zahanati na Kituo cha Afya.

    3 Huduma za dawa

    VIPIMO

    X-RAY Inapatikana

    ECHO & EEG Inapatikana

    Ultrasound Inapatikana

    HUDUMA ZA MENO 5

    Kung'oa na kuziba Inapatikana

    HUDUMA ZA MACHO 6

    Matibabu ya macho Inapatikana

    HUDUMA ZA UZAZI

    Kujifungua kawaida Inapatikana

    Kujifungua kwa upasuaji Inapatikana

    HUDUMA ZA KIBINGWNA

    Huduma za kibingwa Zinapatikana mpaka ngazi ya Hospitali za Mkoa.

    HUDUMA ZA UPASUAJI

    9 Upasuaji mdogo Inapatikana

    Upasuaji mkubwa Inapatikana

    Mfuko wa Bima ya Afya, NHIF House, Tambukareli

    Barabara ya Jakaya Kikwete. S.L.P 1437, DODOMA, TANZANIA Simu: +255 26 2963887/ +255 26 2963888

    HUDUMA KWA WATEJA BILA MALIPO: 0800 110063