7
NNJE YA MUDA (OUT OF TIME) Opening the scene 1. Camera inatuonyesha Juma akirudi nyumbani jioni akiwa amechoka nakumkuta mke wake nyumbani 2. Camera inatuonyesha Juma akiwa na mke wake wakipata chakula nyakati za usiku huku wakizungumza na kufarijiana kutokana na maisha yao kutokuwa mazuri. 3. Camera inatuonyesha juma wakiwa wamelala usiku 4. Camera inatuonyesha Juma akiwa ameamka asubuhi na mara anapigiwa simu na rafiki yake anaambiwa kuwa ana mzigo wake akauchukue, anajiandaa kasha kuondoka 5. Camera inatuonyesha Juma akiwa amefika yupo na rafiki yake

Nnje Ya Muda

Embed Size (px)

DESCRIPTION

nj

Citation preview

NNJE YA MUDA (OUT OF TIME)Opening the scene1. Camera inatuonyesha Juma akirudi nyumbani jioni akiwa amechoka nakumkuta mke wake nyumbani2. Camera inatuonyesha Juma akiwa na mke wake wakipata chakula nyakati za usiku huku wakizungumza na kufarijiana kutokana na maisha yao kutokuwa mazuri.3. Camera inatuonyesha juma wakiwa wamelala usiku4. Camera inatuonyesha Juma akiwa ameamka asubuhi na mara anapigiwa simu na rafiki yake anaambiwa kuwa ana mzigo wake akauchukue, anajiandaa kasha kuondoka5. Camera inatuonyesha Juma akiwa amefika yupo na rafiki yake John,baada ya maongezi John anatoa barua na kumkabidhi Juma kuwa ndo mzigo wake huo, kwa shukrani kubwa anapokea kasha anaaga kuondoka.6. Camera inatuonyesha Juma akiwa amerudi nyumbani akiwa na furaha ya kawaida pasipo kutambua barua ina sema nini,anapokelewa na mke wake kasha wanaifungua ili kuisoma, kwa furaha kubwa sana wanakumbatiana baada ya kutambua kuwa Juma ameitwa kufanya kazi kwenye kampuni ya (HQP) High quality product.7. Camera inatuonyesha tarehe ya interview imekaribia Juma akijiandaa kwa ajili ya safari kwa furaha kubwa mke wake anatabasam mume wake kupata kazi,baada ya kujiandaa wanalala.8. Camera inatuonyesha majira ya alfajili Juma akiwa ameamka kwa ajili ya safari, anaoga kujianda,anasindikizwa na mke wake standi, kwa upenda wanaagana kasha anaingia kwenye basi na kuondoka.9. Camera inaonyesha Juma akiwa amefika mjini tanga anapokelewa na vijana waliotumwa kumpokea.10. Camera inaonyesha wakiwa wamefika ofisini baada ya kumpokea kutoka standi wanampongeza kwa safari ndefu na kumpa soda, wakati huo bosi anaingia ofisini na kutaka mazungumzo nae, wale vijana mmoja alibaki mlangoni na kusikiliza mazungumzo hayo mgeni na bosi kijana karibu sana kesho ndipo tutakuwa na interview lakini wewe una sifa zote na utapita kwa hiyo neda kapumzike kesho saa 4 asubuhi njoo kwa ajili ya interview11. Camera inaonyesha Yule kijana akienda kwa Yule meneja anayekabiliwa na mapinduzi (Husen) na kumueleza alichokisikia, kwa hasira meneja anapiga simu kwa rafiki yake ambaye ni mafia na kumuelezea kila kitu pia kumuomba msaada Yule mgeni akamatwe ikiwezekana auwawe. Anaambiwa asiwe na hofu kazi itafanyika 12. Camera inaonyesha Juma akiwa anongea na mke wake kwa simu na kumpa uhakika wa kazi kwa sababu amehakikishiwa na mwenye kampuni, anamuhahidi mke wake kuwa baada ya kukabidhiwa nafasi kesho atamjulisha.13. Camera inaonyesha rafiki yake na huseni akiagiza vijana wake wamkamate Yule meneja mtarajiwa atakapokuwa akienda kwenye interview wanaitikia wito huo.14. Camera inaonyesha Juma akitoka usingizini kutazama saa anajikuta amechelewa yupo nje ya muda saa nne na dakika 10 asubuhi, anakurupuka kunawa uso na kuvaa nguo haraka kasha anaondoka kwa haraka 15. Camera inaonyesha muda si rafiki zimebaki dakika 5 anakutana na jamaa ana baiskeli na kuomba lift ili ajaribu kufika kwa haraka japo yupo nnje na muda kwa bahati mbaya wanakutana na watu njian wasio julikana na kuwasimamisha,wanawakamata na kuondoka nao mpaka kwa rafiki yake na Husen (mafia).16. Camera inaonyesha kwenye kampuni Bosi akisubiri watu wa kuinerview na juma akiwa mmoja wapo anajaribu kuwatazama kwani mda ulikuwa umeisha kati ya watu anaowategemea Juma yupo lakini anapotoka nnje anashangaa hamuoni Juma,inabidi amtafute kwa njia ya simu simu inaita na haipokelewi, anaamua kuhairisha interview.17. Camera inaonyesha kwa Yule mafia akiwa amemuweka mateka Juma, tunamuona Huseni akiingia pamoja na rafiki yake ,wanamkuta chini ya ulinzi mkali kwenye chumba maalumu.ndipo Husen anaanza kumuuliza maswali kuwa yeye ndiye anataka kurithi kiti kwa razima.18. Camera inaonyesha Mke wake na juma akiwa na nyumbani lakina akitazama muda umesonga sana na hajapata ujumbe kutoka kwa mume wake, akijaribu kupiga simu haipatikani. Ndipo anaamua kwenda kwa rafiki wa mume wake lakini majibu hayapishani na yake hali ya wasiwasi anaingia mioni mwao,mara simu inaita kutazama namba ngeni kupokea anaulizwa wewe ndo mke wake na juma mumeo yupo chini ya ulinzi simu inakatwa wanabaki katika hali ya kutokuelewa 19. Camera inaonyesha mwenye kampuni akiwa na hali ya kutokuelewa kilichomzuia kufika,na simu haipokelewi anaamua kuripot polisi20. Camera inaonyesha kamanda wa kituo akiita maaskali na kuwaelezea tukio lilivyo ili kazi ya upelelezi ianze mara moja kujua alipo.21. Camera inaonyesha mke wa juma akifunga safari pamoja na rafiki wa mume wake wakienda kumtafuta wakiwa katika hali ya sintofahamu kwa simu iliyopigwa kwani hawakujua kinachoendelea wakiwa safarini mara sim inaita kupokea natoa masaa 48 uje uchukue mzigo wako la sivyo na nyonga, husein naongea nipo chamanzi simu inakatwa. 22. Camera inaonyesha