Upload
colin
View
352
Download
20
Embed Size (px)
DESCRIPTION
NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA. SEHEMU YA 1. NJINSI KUSHINDA TAMAA YA MWILI. MAMBO MUHIMU SEHEMU YA 1. Tamaa ya Mwili nini ? Ni msukumo wa mwili unaokufanya umtamani mwana mke / mume kinyume na utaratibu wa Mungu . Tendo la ndoa ni ndani ya ndoa tu. Tamaa si upenda. Tamaa ni dhambi. - PowerPoint PPT Presentation
Citation preview
NJINSI YA KUSHINDA ROHO
YA TAMAA
SEHEMU YA 1
NJINSI KUSHINDA TAMAA YA MWILI
MAMBO MUHIMU SEHEMU YA 1
Tamaa ya Mwili nini?•Ni msukumo wa mwili
unaokufanya umtamani mwana mke/mume kinyume na utaratibu wa Mungu.• Tendo la ndoa ni ndani ya
ndoa tu.
Tamaa si upenda
•Tamaa ni dhambi
NAMNA YA KUSHINDA DHAMBI
1.Sulubisha mwili na tamaa zake. 2.Tunza usafi wa mawazo yako3.Juzuie na uwe na Kiasi4.Usiamshe tamaa za mwili5.Roho Mtakatifu akutawale
NJISI YA KUSHINDA TAMAA SEHEMU YA
PILI 2
NJINSI YA KUSHINDA ROHO
YA TAMAA
YAKOBO 1:14-15• “ 14 Lakini kila mtu
hujaribiwa anapovutwa na kudanganywa na tamaa
yake mwenyewe. 15 Kisha tamaa hiyo ikisha chukua mimba, huzaa dhambi; na
dhambi ikisha komaa, huzaa mauti.”
ROHO YA TAMAA NINI?
• Ni tamaa za mwili ambozo si za kawaida,
zinazo mtawala mtu kwa nguvu za roho mchafu.
• Humufanya mtu kufanya mambo ambayo si ya kawaida.• Baba kubaka mtoto wake•Mtu kufanya mapemzi na
mbwa. N.k• Kila dhambi ina roho mchafu
nyuma yake
• Evil spirits cannot enter a person unless they are given permission or find an open door into your life.
NI MAMBO GANI HULETA ROHO YA
TAMAA YA MWILI?
1.UPOTOSHAJI KATIKA FIKIRA
•Nini maana ya upotoshaji?a) Ni maana halisi ya litu au jambo
iliyo potoshwa au kuchakachuliwa
b)Ni vitendo vya ngono ambavo si vya kawaida na kinyume na neno la Mungu.
Romans 1:21-28 (SUV)• 21 kwa sababu, walipomjua
Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala
kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo
yao yenye ujinga ikatiwa giza.
•Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Ms 22-23•Wakijinena kuwa wenye
hekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa
Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu
aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya
vitambaavyo.
Verse 24-25
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima
miili yao. Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo,
wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa
milele. Amina
Msatali 26•Hivyo Mungu
aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu,
hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi
yasiyo ya asili;
Mstali wa 27•wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa,
wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao
yaliyo haki yao
Mstali wa 28Na kama walivyokataa kuwa
na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha
wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
• Walimjua Mungu wakachugua kutomwabudu. 21• Hawakutaka kufuata maagizo ya
Mungu. 28 • Wakabadirishana ukweli kwa
uongo. 23
Walipotoka•Wakawa wajinga na
fahamu zao zikatiwa giza. 21 •Walipumbazika.22•Roho ya tamaa
ikawatawala. 26
UPOTOSHWAJI KATIKA TENDO LA NDOA
1.Ushoga• Wana ndoa wabadilisha matumizi
ya asili kati ya mke na mme.. • Wanaume wakataka kuoa
wamaume• Na wamawake kwa wanawake
• Ushoga si kitu cha kuzaliwa nacho bali ni roho chafu. • Ni ngone iliyojengwa kwenye
fikira• Hutokana na roho ya ukengeufu.
•You can over come it by accepting the truth•Undo all the lies of the
devil•Get somebody to help you
2. PORNOGRAPHPicha au Vedeo za ngono
•Neno la kiyunani (pornographia), Hutokana na neno Kiyunani (pornē
“Kahaba" na porneia “ukahaba), na (graphein kuandika au Kurekodi",
"graph") Ikiwa na maana ya Picha au Kielelezo cha ukahaba au Kahaba"
Wagalatia 5:19
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, (porneia)
uchafu, ufisadi,
• Kuangalia picha za ngono ni dhambi. • Heleta pepo la ngono• Hewezi kuacha mpaka Yesu
akuweke huru• Ukiwa kwenye ndoa huanza
kutoka inje ya ndoa
3. MASTERBATION. PUNYETO Galatians 5:16
•Basi nasema, Enendeni kwa
Roho, wala hamtazitimiza
kamwe tamaa za mwili
Masterbation-PUNYETO
•Ni kufanya ngono mwenyewe•Ni kutimiza tamaa za mwili• Huadhili ndoa•Hufungua mlango kwa
mapepo
4. DHAMBI YA ZINAA• 1 Wakorintho 6: 15-16 • “Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na
kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema,
Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
a) Unapofanya mapenzi na kahaba, umeunganishwa nae.
b) Hukuambukiza roho ya tamaa, ukahaba
b) Kubakwa• Hili ni tendo la Kipepo• Hufungu mlango wa roho ya tamaa• Kubakwa huharibu utu wa mtu,
heleta uchungu na maumivu.
5. KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI
•Wanaokwenda kwa waganga kutafuta mvuto wa mapenzi.• Hupata roho ya tamaa • Hawa watu ni hatari
6. ROHO YA KUAMBUKIZWAZaburi 58:3
Wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa
kwao;Tangu tumboni wamepotea, wakisema
uongo.
•Mtoto anaweza kuzaliwa na roho ya kukataliwa• Yesu alijazwa roho mtakatifu
akiwe tumboni• Kahaba akizaa mtoto anakua
no roho ya ukahaba.
NAMNA YA KUSHINDA• Tubu na ukiri dhambi zako.
Yakobo 5:16• Kataa hiyo dhambi• Nenda kwa Viongozi wako
wakushauri • Kimbia zinaa1 Wakorintho 6:18
1 Yohana 3:8
Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda
dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi
za Ibilisi