5
Mtaji Wa Milion 10 Labda kama mtu ana dhana potofu "biashara" ni nini, anaweza kudhani vinginevyo. Put all that money in one basket is not the way to go; especially for someone entering into business venture as a newbie. _____________________________________________________________________________ Do not rush think thoroughly kabla hujaamua kuwekeza, check with some NGOs zinazotoa ushauri wa kitaalam na fanya homework on larverages, risk etc. Cause 10 million is not enough capital for a real business, you will need more so do not jump to a big plan without a back up and do not invest the all amount. You need to Budget only for 60% something like 6 Million and the rest leave them in the bank as a backup capital incase of anything. Wala usizitumie kujenga heshima bar, walevi hawana heshima. Good Luck Hisa Bank Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666.. Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili. Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income. Huo ni ushauri wangu wa bure Ushauri haya mambo ya stock market wadau wanasema sometimes huwa yanakuwa pata potea. Kwa jinsi ulivyoweka maelezo yako, it is like unauhakika kuwa bei za hisa zitapanda huko mbeleni which is a fallacy. Stock market are stochastic in nature na kuna factor nyingi mno zinzaochangia bei kushuka au kupanda. Some of the factors are internal and can be internally controlled, some are external and never be controlled. Ni vyema mhusika asichukulia maneno yako in totality. Ufugaji Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao: Ujenzi wa banda = Ths 500,000/= Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/= (Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)

Mtaji Wa Milion 10

  • Upload
    jefftz

  • View
    533

  • Download
    9

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mtaji Wa Milion 10

Mtaji Wa Milion 10

Labda kama mtu ana dhana potofu "biashara" ni nini, anaweza kudhani vinginevyo. Put all that money in one basket is not the way to go; especially for someone entering into

business venture as a newbie. _____________________________________________________________________________ Do not rush think thoroughly kabla hujaamua kuwekeza, check with some NGOs zinazotoa

ushauri wa kitaalam na fanya homework on larverages, risk etc. Cause 10 million is not enough capital for a real business, you will need more so do not jump to a big plan without a back up and do not invest the all amount. You need to Budget only for 60% something like 6

Million and the rest leave them in the bank as a backup capital incase of anything. Wala usizitumie kujenga heshima bar, walevi hawana heshima. Good Luck

Hisa Bank Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666.. Lakini ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili. Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income. Huo ni ushauri wangu wa bure Ushauri haya mambo ya stock market wadau wanasema sometimes huwa yanakuwa pata potea. Kwa jinsi ulivyoweka maelezo yako, it is like unauhakika kuwa bei za hisa zitapanda huko mbeleni which is a fallacy. Stock market are stochastic in nature na kuna factor nyingi mno zinzaochangia bei kushuka au kupanda. Some of the factors are internal and can be internally controlled, some are external and never be controlled. Ni vyema mhusika asichukulia maneno yako in totality. Ufugaji Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao: Ujenzi wa banda = Ths 500,000/= Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/= (Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)

Page 2: Mtaji Wa Milion 10

Kuwahudumia ng'ombe kwa miezi mitatu kabla ya production = Tsh 1,500,000/= (inahusisha mshahara kwa wafanyakazi wawil + chakula + madawa) Jumla = Tsh 6,500,000/= Baada ya Miezi 3; UZALISHAJI: Ngombe hawa watakuwa wakitoa maziwa si pungufu ya lita 5 kwa asubuhi na jioni kwa kila ng'ombe. Hivyo uzalishaji kwa siku utakuwa lita 10 kwa siku kwa ng'ombe. MAPATO Lita 10 x Ng'ombe 5 = lita 50 kwa siku x Tsh 1000 (bei ninayouza mimi hapa) = Tsh 50,000 kwa siku Mapato kwa mwezi = Tsh 50,000 x 30 = 1,500,000/= Gharama za uendeshaji kwa mwezi = Tsh 600,000/= Faida = Tsh 900,000/= kwa mwezi BAADA YA MIAKA 5: Kumbuka ng'ombe huzaa kila mwaka hivyo basi baada ya miaka mitano utakuwa na ng'ombe wasiopungua 25. Kipato chako kwa mwezi unaweza kufikia si pungufu Tsh 18,000,000 endapo utakuwa na ngombe jike 20 kati ya hao 25. Kuchukua tenda ya supplier Miaka ya nyuma nikiwa Bongo nilifungua company na kazi zangu kubwa zilikuwa supplies. Ni kweli kazi hii inalipa sana lakini upataji kazi wake ni nimgumu sana. Unatakiwa kuwa na network ya uhakika. Pia kwa supplies hiyo pesa ni ndogo kwani unaweza pata kazi ya kwanza ukatakiwa utumie say 15m na malipo yakaje say 3 weeks after say 3 weeks. Kwa namna hiyo kama huna 'rescue plane' yaani mtu wakukupa pesa kiasi chochote unachotaka muda wowote itakushinda. Ninauzoefu nayo mkuu nilifanya japo kwangu tatizo ilikuwa kupata kazi kwani nilikuwa na rescue plane anytime nikitaka pesa nikaonyesha LPO jamaa fasta ananiwezesha. Kwakuongezea ushauri wawakuu, mi nakushauri kama unaweza kakodi ha kadhaa Dodoma ulime Zabibu soko guaranteed na Breweries mkuu. Visima Vya Maji

Page 3: Mtaji Wa Milion 10

Mie naona Mbu uwekeze kwenye mfumo wa maji safi kule bongo, nenda sehemu ambazo hawana maji ya bomba na ukachimbe visima vya kutumia mota ya umeme ili wapate maji safi badala ya kuchota maji kwenye madimbwi. Hiyo pesa unaweza kuchimba visima 5, hapo utasaidia wananchi wenzako. Unaweza kurudisha pesa yako, iwapo utafanya kila ndoo ya maji ni shs 100. CHOO CHA KULIPIA Jenga Choo ya kulipia eneo la Kariakoo. Utakuwa na uhakika wa kurejesha gharama zako ndani ya muda mfupi kama ifuatavyo: Wateja - Akina mama (200 * 100/= * 30days) = 600,000/= - Akina baba (150 * 100/= * 30days) = 450,000/= - Watoto/vijana/wanafunzi (200 * 100/= * 30days) = 600,000/= JUMLA KWA MWEZI 1,650,000/= Kwa mwaka (19,800,000), kwa miaka kumi (198,800,000/=). Yaani baada ya miaka kumi utakuwa millionea mkubwa sana, na usisahau kurudi hapa JF na kutushukuru. NB: Kumbuka, uzuri mmoja kwa biashara hii, haina suala la mvua wala kiangazi. Kila siku biashara inaenda MITI Leo niwape item ya tatu tu,mimi nimeajiriwa,najaribu kutumia muda wa mwajiri kwa uangalifu. Kuna miti mingi ila kwa sisi mizuri ni hii; mitiki(10, nje),milingoti boriti(8),milingoti nguzo (10), milingoti mbao (15),mikrismas(cyprus mbao) (25), pines (12),ktk mabano ni miaka toka kupanda mpaka kuvuna. Soko la mitiki liko nje ya nchi,locally hakuna commercial market mpaka Kilombero wakijenga kiwanda mwakani. Mbegu zinapatikana kwa wakala wa serikali Morogoro,Iringa,Arusha,Tanga etc. Mbegu za mitiki ni ngarambe kuotesha, kilo moja ni Tsh 6000/ na ukifuata utaalam unapata miche 1000 hivi,lakini wajanja wanafanya kienyeji na wanapata zaidi au wanatumia suckers fulani hivi. Bei ya mche kwa sasa ni Tsh 500/ ya chini na 2000/ ya juu pale dar. Pine/cyprus kilo moja ni Tsh 18,500/ na unapata miche 30,000 mpaka 35,000 inatosha eka hamsini ya miti ya mbao. Mlingoti kilo moja ni Tsh 22,500/ na unapata miche 120,000. Unapanda boriti eka 100 na unapanda miti ya mbao eka 200. Utamu uko ktk boriti. Eka moja ni boriti 1200,bei ya boriti moja kwa leo hii ni Tsh 15,000/shambani.kwa hiyo eka moja iliyogharimu Tsh 70,000/ kununua ardhi mpaka kupanda itakupa 1200 x 15,000/=( ) toa gharama za fire break mara moja kwa mwaka. Hakuna kupalilia

Page 4: Mtaji Wa Milion 10

wala kumwagilia. Mitiki peke yake inakubali pwani,mingine yote ni ktk nchi za baridi. Nimetoa kwa ufupi sana, ila tutaendelea kuelezana kidogo kidogo, item nyingine kesho. ARDHI IRINGA Uzuri wa IR ni huu,ardhi ipo,mvua zinanyesha sana,barabara zipo,wahehe wanaogopa kuiba cha mtu,wahehe hawabagui mgeni. Wewe fanya kilichokupeleka kwa utaratibu basi,halafu unaambiwa karibu tena. Wasichotaka, usiwadharau tu basi. Kazi wanafanya kwa kiwango cha kuridhisha ila baadhi ya vijiji tutapeli tumeingia. Milingoti hasa Saligna na grandis,ina kuwa haraka na ni multipurpose yaani waweza kuuza kama nguzo za umeme,au boriti za kawaida au ukachana mbao.Wewe ukiwa na milioni moja inatosha kununua eka kumi na kupanda miche 6000 ya milingoti/pines ya mbao,kisha unaondoka kurudi zako mjini. Unakwenda huko june kuweka fireline na kurudi tena mjini. Baada ya miaka mitatu unaprun miti yako. Kwa hiyo mwendo ni huo. Mimi na vijana wenzangu tumeunganisha nguvu na kununua eneo kubwa,tunaotesha wenyewe miche ya pines/mlingoti na kupanda ktk plots zetu. Mwaka huu tumepanda miti laki tatu kwa pamoja tuko sita tu. Ila mpaka sasa vijana waliopanda miti eneo lile tuko 24 hivi. Msimu ujao tutakuwa kama 30 jumla. Wenzetu walikwama msimu huu kwa sababu mbalimbali. Tuna jirani mmoja kutoka Kenya yeye peke yake amepanda milingoti milioni nne. Yeye ardhi kapewa na serikali yetu tukufu. Usijali ndo hali halisi. Mmalawi mmoja kajimegea eka 1000 na amepanda miti. UFUGAJI Nimeshauri ng'ombe awe na mimba ya miezi sita kwa kuwa ndiyo utakuwa unaanza, hivyo basi itakugharimu miezi 3 kuwalisha kabla ya kuanza production. Ng'omb hawa ni wale "pure" wanaozalishwa hapa nyumbani. Kuna uwezekano wa kutokupata 100% pure, ndiyo maana mchakato wangu nimewekea uzalishaji wa lita 5 asubuhi na 5 jioni, kwa siku lita 10 ambapo hiki ni kiwango cha chini kabisa kwani ng'ombe wengi sasa hivi wakipata matunzo vizuri wanatoa kuanzia lita 8 mpaka lita 15 (asubuhi/jioni) kwa siku lita 16 - 30. Ngombe hawa wanapatikana katika vituo vya kuzalisha ng'ombe (mitamba) kama pale RUVU, MPWAPWA, IRINGA, MBEYA n.k. kwa bei ya kati 600,00 - 700,000. Lakini katika mchakato wangu nimewekea bei ya wafanyabiashara ambao hukusanya mitamba kutoka kwa wafugaji au vituo vya kuzalisha mitamba huko mikoani na kuwaleta Dar es salaam. Aina ya ng'ombe ni kati ya hizo ulizoeleza, lakini binafsi nawapenda Holstein - Friersian. Hawa kwa swala la volume ya maziwa sina wasiwasi nao, kadiri utakavyomlisha vizuri atakupa matokea mazuri. Kwangu ng'ombe anayekamuliwa ni "MALKIA".

Page 5: Mtaji Wa Milion 10

ALIZETI Mradi mwingine mzuri wa bei nafuu ni mradi wa kukamua alizeti. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea Singida kwa ziara ya kitume. Nikapata muda nikaenda mitaa ya sido. Nilitembelea viwanda vidogo vya kukamulia alizeti. Nikatafiti gharama za mradi wote ule. Kwa mujibu wa Sido,mtambo wenyewe unafikia Tsh 6,000,000/ kwa mwaka jana. Ila mitambo ya mitaani inaweza kuwa chini ya hapo. Gharama za jengo zinategemea sehemu.Ukiweza kufunga kimtambo hicho,mikopo ya upanuzi toka Sido ni mingi bila urasimu. Wale jamaa wanatengeneza hela sio mchezo. Nimegundua pia kuwa watu wanarudi ktk matumizi ya mafuta ya nafaka sana na ukulima wa alizeti/ufuta unaongezeka sana. GARI Kwa Tanzania Mil. 10 unaweza kupata faida ya mwaka kama ifuatavyo: 1. ukanunua used Corola na kuifanya taxi. Mradi huu unakuhakikishia a minimum net revenue ya Shs 2.92 mil per year (8000*365). 2. Hisa za TCC: 10mil. * 10% = 1 mil per year + annual appreciatiatin ya ?% 3. Gunia za mahindi June na kuuza December: 10 mil * 50% = 5mil 4. Ziweke deposit bank upate interest: 10 mil * 7% = laki 7 5. Anzisha ka-saccos kasiko rasmi (zikopeshe at interest): 10 mil * 17% = 1.7 mil 6. Nunua shamba, chimba kisima ufanye kilimo cha umwagiliaji: 10 mil * 2mil 7. NAENDELEA KUBUNGABONGO. WILL GET BACK TO YOU SHORTLY LOUDRY Hostel za wanafunzi wa kike na wakiume wanaonekana wa kishua…weka mashine zako tatu kila moja 400,000 to 450000.Zinapatikana mlimani city hata mza zinapatika. Gharama za chumba kupanga lets say 80,000.Kwa mwezi…unalipia mizie mitatu…maji umeme na kufanya kulipa wafanyakazi mishahara ya kawaida..utapiga hesabu.. Total isizidi 5m mtaji mzima mpaka kufungua. ETC Utajiongeza.