14
KAMBI TAKATIFU (shida) 1. Camera inaonyesha tukiwa katika shamba tunalima kikosi kizima huku walinzi wametusimamia. 2. Jackson ni kijana ambae anapendwa sana na mkuu wa kikosi hicho,hivyo tunaonyeshwa akiwa na mkuu katika mazingira tofauti anapokuwa kiongozi huyo. 3. Camera inaonyesha Jackson akiwa na wafungwa wengine wanalima,KAMANDA mkuu wa kikosi anakuja kukagua shamba, anamuona jack, analima kwa bidii anaingiwa na huruma na kukumbuka alivyowaua wazazi wake bila jack kujua,anamchukua katika gari yake na kuondoka naye mpaka nyumbani. 4. Camera inaonyesha Mkuu akiwa na Jack nyumbani kwake akiongea nae maneno ya faraja na kuonyesha zaidi upendo kwake.

Kambi Takatifu (Shida)

Embed Size (px)

DESCRIPTION

kt

Citation preview

KAMBI TAKATIFU (shida)1. Camera inaonyesha tukiwa katika shamba tunalima kikosi kizima huku walinzi wametusimamia.2. Jackson ni kijana ambae anapendwa sana na mkuu wa kikosi hicho,hivyo tunaonyeshwa akiwa na mkuu katika mazingira tofauti anapokuwa kiongozi huyo.3. Camera inaonyesha Jackson akiwa na wafungwa wengine wanalima,KAMANDA mkuu wa kikosi anakuja kukagua shamba, anamuona jack, analima kwa bidii anaingiwa na huruma na kukumbuka alivyowaua wazazi wake bila jack kujua,anamchukua katika gari yake na kuondoka naye mpaka nyumbani.4. Camera inaonyesha Mkuu akiwa na Jack nyumbani kwake akiongea nae maneno ya faraja na kuonyesha zaidi upendo kwake.5. Camera inaonyesha Jack akiwa anaenda shambani peke yake, ghafla anaona walinzi wanavyo mkimbiza mateka 1 aliyejaribu kutoroka kulingana na mateso wanayo yapata.6. Camera inaonyesha mateka huyo aliye jaribu kutoroka akiwa amefungwa kwa kuninginizwa huku mkuu akiamuru apigwe kwa kosa alilotenda la kutoroka.7. Camera inaonyesha wafungwa wote wakiwa wamekusanyika wakiwa katika ulinzi mkali sana na mda huo kiongozi wao anakuja kuhutubia kutokana na alicho fanya m1 wao kutoroka.8. Camera inaonyesha wale viongozi katika kambi hiyo wakikaripiwa na mkubwa wao kwa kuzembea katika ulinzi na kusababisha wafungwa kutaka kutoroka, kiongozi wa ulinzi anavuliwa cheo na kupewa mtu mwingine, na Jack anakabidhiwa funguo kuwa dereva wa mkuu.9. Camera inaonyesha mkuu anapiga kengere ya kuita kambi nzima,haraka wanafika na kuanza utambulisho wa uongozi mpya.10. Camera inaonyesha wafungwa wakiwa wanapelekeshwa zaidi ya mwanzo,na kwa mateso makali sana11. Camera inaonyesha Jack akiwa na kiongozi wa ulinzi akimuonya kuwa uongozi sio kuwa tesa watu bali ni kuwa peleka taratibu lengo watimize wajibu wao,lakini kwa kutokusikia ushauli anafoka na kusema asifuatiliwe yeye anataka kutenda kazi yake impasavo kutenda. Mda wote wa maongezi hayo yupo mzee nyuma yao anawasikiliza mazungumzo yao.12. Camera inaonyesha Jack akiwa na kiongozi mkuu akimwambia alivyofokewa na mlinzi huyo hataki kusikiliza ushauri13. Camera inaonyesha kiongozi mkuu akiwa na uongozi mzima wa kambi hiyo na kuwaeleza kuhusu kambi iliyvo na uongozi na kila mtu anatakiwa kumheshimu mwenzake ili waweze kuongoza vizuri. Na anatangaza kuwa kuanzia leo kila atakachoongea Jack lazima asikilizwe na kumtii.14. Camera inaonyesha Yule mzee akiomba ruhusa ili aweze kuonana na Jack lakini anazuiliwa,Yule mzee kwa huruma anaanza kukumbuka jinsi wazazi wa jack walivyouliwa kikatili na mkuu wa kambi.15. Camera inaonyesha mkuu wa kambi akitoa maagizo waende polini kutafuta kuni kwa ajili ya kambi.16. Camera inaonyesha wakiwa wamekusanywa wafungwa wote na walinzi wakijipanga kuondoka, mkuu wa kambi anafuatia nyuma taratibu na gari yake.17. Camera inaonyesha wakiwa wamepaki pembeni wanasubiri warudi ili waondoke lakini Jack anatoka kwenye gari na kuingia polini kufuatilia kinachofanyika.18. Camera inaonyesha wafungwa wakiwa wanakata kuni mara Yule babu anamuona Jack na kumwendea ghafla wanatokea walinzi wakitaka kumpiga lakina Jack anawazuia,babu anashukuru sana amesaidiwa.19. Camera inaonyesha wakiwa wanatoka polini na magogo ya kuni, Jack anaingia kwenye gari na kuondoka20. Camera inaonyesha Jack akiwa amepitiwa na usingizi lakini cha ajabu anamuota Yule mzee akaimwambia Kija nimeshakutafuta mara mbili kuna jambo la msingi nataka nikuambie lakini kumekuwa na ukuta mkubwa , nakuja mara ya mwisho nikishindwa basi anatoka usingizini na kuliwazia jambo hilo.21. Camera inaonyesha Jack akienda kambini,anawaona wafyeka majani, Yule mzee kwa furaha anamkimbilia lakina walinzi wanamzuia ghafla anakumbuka ile ndoto, na kuamuru wamuache.22. Kumbukumbu tunaona mkuu wa kambi akiteka ile familia, baba analeta ubisha anapigwa risasi kichwani wakati huo mama akiwa katika kukimbia anapigwa risasi mgongoni na kumalizia kichwani, anabaki Jack akiwa haelewi kitu mchanga sana ndipo anabebwa na kupelekwa kwa kiongozi wa kambi.huvi ndivyo ilivyokuwa. KWA HIYO MIMI NILIWEZA KUKUA VIP? na baada ya hapo wewe ulipelekwa kwa kiongozi mkuu wa kambi mpaka leo ndipo unaishi, mwanangu sisi tuliteseka makazi yetu yakaharibiwa tukapoteza ndugu lakin kwa ukatili tunaofanyiwa na ulinzi alioweka tunashindwa kutoka kambini hapa.23. Camera inaonyesha Jack akiwa katika gari anarudi nyumbani huku akitafakari yale maneno na kulinganisha yote anayoyaona,anagundua kuwa ni kweli, BAADA YA WIKI 2 24. Jack anataka maongezi na kiongozi wa kambi, ana muuliza Hivi mzee wazazi wangu wako wapi? Umefika wakati nataka kujua nikawatembelee. Kwa mstuko mkubwa sana, ananyamaza kidogo kasha anamjibu Jack wazazi wako walipata ajali ya gari wakapoteza maisha wote, Jack anaendelea kuhoja maswali.25. Camera inaonyesha siku iliyofuata mkuu wa kambi alikuja sasa kumuweka selo Jack maana kaisha jua ukweli anaweza kusumbua, walifika na kumfunga kamba na kumuweka chumba maarumu nnje wakawekwa walinzi wa226. Camera inaonyesha akiwa ameninginizwa anaanza kukumbuka maneno ya babu pia alivyojibiwa na kiongozi huyo, anajua kuwa ni gaidi sana anaanza kufikilia njia ya kujiokoa ili atoroke.27. Camera inaonyesha baada ya mda mfupi anakuja kiongozi wa kambi na walinzi wake ili kumuhoji kupata ukweli anajua nini kuhusu baba yake, Jack anakaa kimya wanaamriwa apigwe, wanampiga kasha wanaondoka na kumuacha akiwa ameninginia juu.28. Akiwa pale hajiwezi anafikilia kipigo alichopewa ongeza na alivyoambiwa na babu anapata hasira sana na kuchukua hatua ya kujifunua mwenyewe.29. Camera inaonyesha wakipanga mipango jinsi ya kufanya ili wampoteze Jack kama alivyotokea kwa baba yake, kwa sababu ameanza kufuatilia ataharubu kaqzio na wanaruhusiwa kwenda na kumfyeka.30. Camera inaonyesha anagonga mlango kwa ndani mlinzi anafungua kutazama nani anagonga mlango, anapewa kichapo na kutoka njee kimya kimya na kutoroka. 31. Camera inaonyesha wakati wanatoka nnje kwenda chumba maarum alipo Jack, wanamuona akichukua gari la kiongozi wa kambi na kupotea.32. Camera inaonye kiongozi wa ulinzi akitoa ripoti kwa mkuu kuwa Jack ametoroka. Anapewa amri kuwa waende mpaka warudi nae ra sivyo adhabu kari juu yao.33. Camera inaonyesha Jack amefika njiani kamkuta dada mmo1 kasimama na gari yake akimsubiri mwenzake anafika na kupaki pembeni na kuingia kwenye gari yao, anawaamuru waingie anaondoa gari kwa speed.34. Camera inaonyesha wakati wale walinzi wanafika pale waliona gari ikipotelea kwa mbali,wanarudi kambini na kutoa ripoti kuwa hawajaweza kumkamata,tunaona akiwa na hali ya kuchanganyikiwa huyo kiongozi wao.35. Camera inaonyesha akiwa amezidiwa anapewa huduma ya kwanza kasha kupelekwa hospitalikwa maumivu aliyopata kutokana na kupigwa.36. Camera inaonyesha Baada ya siku 3, Jack anaruhusiwa na kupewa utaratibu kuwa anatakiwa kufanya mazoezi ili apate nguvu vizuri wanaondoka mpaka nyumbani.37. Camera inaonyesha Jack akiwa na wale wadada pale nyumbani wakimuuliza kilichompata mpaka anakuwa vile.38. Camera inaonyesha Jack akiwa katika mazoezi ya viungo vya mwili wake ili aweze kurudia hali yake.39. unganisha Camera inatuonyesha baada ya wiki moja Jack sasa akifanya mazoezi kwa bidii zote na akikumbuka mambo aliyotendewa, na akiwa amekomaa.40. Camera inaturudisha kambini tunaona wakiwa na mkutano walinzo wote wakipanga jinsi gani wataweza mkamata Jack popote alipo, wanateuliwa watakao fanya kazi ya kumtafuta mjini.41. Camera inaonyesha maaskali waliotumwa wapo mjini wakijaribu kumtafuta Jack kila mahali, siku ya kwanza inaisha bila kufanikisha.

42. Camera inaonyesha Jack akiwa na matembezi mjini mara anapishana nao bila yeye kujua lakini wao wanamuona na kumfahamu, wanaanza kumfuatilia ili wajue anapoishi.

43. Camera inaonyesha warudi kambini na kutoa taarifa kuwa Jack kaonekana , na wamepaona anapoishi, bila kupoteza muda wanaamuliwa waende na kumleta mara moja iwezekanavyo.

44. Camera inaonyesha wale walinzi wakija, wakati huo Jack nae anawaaga dada zake na kutoka. Wanafika na kumuulizia Jack wanaambiwa katoka wanatekwa na kufungwa kamba wana ondoka na mmo1 kati yao wanaacha maagizo.

45. Camera inaonyesha Jack akiwa njiani anarudi nyumbani kabeba zawadi kufika nyumbani anakuta hali tofauti, dada yake analia, kafungwa na mwingine hayupo, anamfungua kamba kisha anambiwa mqaagizo aliyopewa.

46. Camera inaonyesha dada Jack aliyetekwa akiwa amefungwa kamba katika chumba alipokuwa amefungwa Jack,akiombwa namba za simu ya nyumbani na kutaja. Simu inapigwa anapokea Jack anaambiwa unatakiwa kambini haraka sana kabla ya siku tatu (3) hazijatimia na kama hautafanya hivyo, dada yako yupo hatarini na wewe utafuatia sim inakatwa.

47. Camera inaonyesha Jack akifanya mazoezi kwa hasia kali na huku akikumbuka maneno ya kwenye simu aliyoambiwa na nah ii siku ya 2

48. Camera inaonyesha siku ya tatu,Jack anachukua namba ya simu iliyotumika kumpigia, anavalia mavazi kazi,na kuaga kwa dada yake anaingia kwenye gari anaondoka.

49. Camera inaonyesha yakiwa yamebaki masaa 4 anapigiwa simu kuwa mda si mrefu kazi hatoweza kumuona dada yake tena,tunaona akishuka kwenye gari na kuanza kukimbia kuelekea kambini

50. Camera inaonyesha dada Jack aliyeko nyumbani amepata ramani ya KAMBI TAKATIFU anaamua kwenda huko ili atoe msaada kwa ndugu zake, anaenda mpaka Jack alipoacha gari analiona na kulifahamu,anaingia na kuendelea na safari.

51. Camera inaonyesha akianza maagamizi kwa walinzi mmo1 mmo1 anapigana anafanikasha kufika maeneo ya ndani huku akiendelea kupambana, zikawa zimebaki dakika 2 anakutana na vikwazo lakin anapenya anaingia mpaka chumba alipo dada yake anaona akinyooshewa kisu kuchinjwa mara anampiga risasi katika mikono yote gafla anaingia mlinzi wake anapambana na Jack lakini anashinda mwishi Jack anafanikisha kuangamiza kambi mzima na kutoka na dada yake kwa Ushindi.anaenda kuwa fungulia wafungwa wanamshukuru sana.

52. Camera inaonyesha Jack akijikokota na dada yake mara wanaona gari inakuja kumbe dada yao, wanaingia kwenye gari na kuondoka.

MWISHO