Upload
others
View
42
Download
6
Embed Size (px)
Citation preview
TAFES NATIONAL CONFERANCE, Morogoro, 2011
FRIENDSHIP, COURTSHIP
& MARRIAGE
Mwl. Mgisa Mtebe
www.mgisamtebe.org
+255-713-497-654
The Concept of LoveDhana ya Upendo
Yohana 3:16
Yohana 14:23, 21
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo;
Yoh 3:16 Yoh 14:21-23
Upendo Upendo
wa ‘Agape’ wa ‘Phileo’
(wa wote) (marafiki tu)
AINA ZA UPENDO
Yoh 3:16, Rum 1:28-32/5:5-8
Kwa maana jinsi hii, Mungu aliupenda ulimwengu wa
watu waovu na wenye ubaya wa kila namna, akamtoa Mwanaye wa pekee Yesu Kristo, kufa kwa ajili yao.
AINA ZA UPENDO
Yohana 14:23,21
Bwana Yesu akasema, ‘Mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu aliye juu; Nami
pia nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao
kwake, na kujifunua kwake’.
AINA ZA UPENDO
Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21
Upendo wa Mungu unaotajwa katika Yoh 3:16 ni tofauti na Upendo wa Mungu unaotajwa ktk Yoh 14:21-23Kumbe kuna aina tofauti za
Upendo wa Mungu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Mungu anatupenda kitofauti;
Yoh 3:16 Yoh 14:21-23
Upendo Upendo
Usio na wenye
“Masharti” “Masharti”
Moja ya tabia au kawaidaya Mungu ni Kutaka
Kutafutwa ili “ajifunue”katika “Kiwango kingine”
kwa watu wake, katika Wakati huo [Kipindi hicho].
Yoh 14:23, 21 Mith 8:17
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo;
Yoh 3:16 Yoh 14:21-23
Upendo Upendo
wa ‘Agape’ wa ‘Phileo’
(wa wote) (marafiki tu)
Yohana 14:23, 21
Matokeo na baraka za mahusiano yetu mbele
za Mungu, pia hazifanani.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Malaki 3:7, Yakobo 4:8
‘Kuna baraka za Mungutunazipata, bila hata
kumpenda Mungu wala kumtafuta; lakini kumbe …
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Malaki 3:7, Yakobo 4:8
‘… kuna baraka zingine tunazipata, ikiwa tu
tutampenda na kumtafutaMungu, katika kiwango
kinachotakiwa.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
AINA ZA UPENDO wa MUNGU
Mithali 8:17
‘Ninawapenda [wale tu] wanipendao, na wale [tu]
wanitafutao kwa bidii, wataniona. (nitajifunua
kwao kwa njia ya kipekee).’
AINA ZA UPENDO
Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21
Upendo wa Mungu kwa wanadamu, hauko katika
ngazi moja, haufanani. Mungu anatupenda
kitofauti-tofauti.
AINA ZA UPENDO
Yoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Munguanatupenda
wanadamu kwa aina
tofauti-tofauti za Upendo.
Hii ina maana kwamba, kuna
aina mbalimbali za Upendo.
Moja ya tabia au kawaidaya Mungu ni Kutaka
Kutafutwa ili “ajifunue”katika “Kiwango kingine”
kwa watu wake, katika Wakati huo [Kipindi hicho].
Yoh 14:23, 21 Mith 8:17
Yohana 14:23, 21
Mahusiano yetu mbele za Mungu, hayapo katika
ngazi moja, weka bidii ktk kuongezeka Kiwango cha Mahusiano yako na Yesu.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yohana 14:23, 21
Matokeo na marupurupu, ya mahusiano yetu mbele za Mungu, pia hayafanani. Weka bidii ktk kuongezekaKiwango cha Mahusiano …
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yohana 14:23, 21
… yako na Mungu, ili uishi na utembee katika
kiwango cha juu zaidi cha baraka na nguvu za Mungu
maishani mwako.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Malaki 3:7, Yakobo 4:8
‘Kuna baraka za Mungutunazipata, bila hata
kumpenda Mungu wala kumtafuta; lakini kumbe …
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Malaki 3:7, Yakobo 4:8
‘… kuna baraka zingine tunazipata, ikiwa tu
tutampenda na kumtafutaMungu, katika kiwango
kinachotakiwa.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yeremia 29:11-13
‘Ninayajua mawazo[mipango] ninayowawazia
ninyi asema Bwana, ni mawazo [mipango] ya
amani na kuwafanikisha …
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yeremia 29:11-13
11 ‘… katika siku zenu za mwisho. 12 Nanyi
mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikia.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yeremia 29:11-13
13 ‘Nanyi mtanitafuta na kuniona, [ikiwa tu]
mtanitafuta kwa mioyo yenu yote [kwa bidii].
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Malaki 3:7, Yakobo 4:8
‘ … Nirudieni Mimi, Nami nitawarudia … Mkaribieni
Mungu, Naye atawakaribianinyi. Itakaseni mikono na
kuisafisha mioyo yenu.’
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yohana 14:23, 21
Mahusiano yetu mbele za Mungu, hayapo katika
ngazi moja, weka bidii ktk kuongezeka Kiwango cha Mahusiano yako na Yesu.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
AINA ZA UPENDO WA MUNGU
Kuna binadamu wenzetu wameweza kumpendana
Mungu sana na kumtafuta,hata kujenga naye uhusianona urafiki wa karibu sana na
Mungu. (Yer 29:11-13)
Yohana 14:23, 21
Matokeo na marupurupu, ya mahusiano yetu mbele za Mungu, pia hayafanani. Weka bidii ktk kuongezekaKiwango cha Mahusiano …
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
Yohana 14:23, 21
… yako na Mungu, ili uishi na utembee katika
kiwango cha juu zaidi cha baraka na nguvu za Mungu
maishani mwako.
KIWANGO CHA MAHUSIANO NA MUNGU
AINA ZA UPENDO
Yoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Munguanatupenda
wanadamu kwa aina
tofauti-tofauti za Upendo.
Hii ina maana kwamba, kuna
aina mbalimbali za Upendo.
NGUVU YA UPENDO
Aina za UpendoYohana 3:16
Yohana 14:23,21
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Mungu anatupenda kitofauti;
Yoh 3:16 Yoh 14:21-23
Upendo Upendo
Usio na wenye
“Masharti” “Masharti”
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo;
Yoh 3:16 Yoh 14:21-23
Upendo Upendo
wa ‘Agape’ wa ‘Phileo’
(wa wote) (marafiki tu)
NGUVU YA UPENDO
Aina za Upendo.
1. AGAPE (Upendo wa Mungu)
2. STORGE (Upendo waNdugu)
3. PHILEO (Upendo wa Kirafiki)
4. EROS (Upendo wa Mahaba)
NGUVU YA UPENDO
Aina za Upendo.
1. AGAPE (Godly Love)
2. STORGE (Family Love)
3. PHILEO (Friendship Love)
4. EROS (Intimate Love)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
1. AGAPE (Godly Love)
UPENDO WA MUNGU
Rum 5:8 Yoh 3:16Rum 1:24-32, Rum 3:10-18
2Tim 3:1-4
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Sifa Kuu (4) za Upendo - Agape.
1. Hauangalii hali ya mtu ya nje.
2. Hauna masharti yoyote.
3. Hauna kipimo au kiwango.
4. Hauna mwisho au kikomo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
1. AGAPE (Godly Love)
UPENDO WA MUNGU
Mfano;
Upendo wa Mungu kwa Wanadamu/Ulimwengu.
(Yohana 3:16, Rum 1:28-32)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
1. AGAPE (Godly Love)
UPENDO WA MUNGU
Mfano;
Upendo wa Msamaria mwema kwa Mhanga.
(Luka 10:29-37)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
2. STORGE (Family Love)
UPENDO WA KINDUGU
(Upendo wa Damu)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Sifa Kuu (4) za Upendo - Storge.
1. Hauangalii hali ya mtu ya nje.
2. Hauna masharti yoyote.
3. Hauna kipimo au kiwango.
4. Hauna mwisho au kikomo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
2. STORGE (Family Love)
UPENDO WA KINDUGU
Luka 15:11-32
(Upendo wa Baba kwa Mwana Mpotevu)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
2. Storge (Family Love)
UPENDO WA KINDUGU
Mfano;
Upendo wa Musa kwa Waebrania.
(Kutoka 2:11-12)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
3. PHILEO (Friendship)UPENDO WA KIRAFIKI
(Upendo wenye Sababu)
Mithali 18:24
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Sifa Kuu (4) za Upendo - Phileo.
1. Huangalia hali ya mtu ya nje.
2. Una masharti fulani-fulani.
3. Una kipimo au kiwango.
4. Una mwisho au kikomo.
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu
hufanya kazi pamoja nawale wanaompenda, katika
kuwapatia mema.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Jonathan
na Daudi.
(1Samwel 18:1-5)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Yesu kwa Martha, Mariam na Lazaro.
(Yahano 11:1-5)
AINA ZA UPENDO
Kama binadamu wanavyoweza kupendana katika urafiki wa
karibu sana, vivyo hivyo, Mungu ana watu walimpenda
sana hata kujenga naye uhusiano wa karibu sana wa kirafiki. (Mathayo 22:37-38)
AINA ZA UPENDO
Mathayo 22:37-38
“Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa
roho yako yote, na kwa akili zako zote. Amri hii ndiyo kuu,
tena ndiyo ya kwanza.”
AINA ZA UPENDO
Yohana 14:23,21
Bwana Yesu akasema, ‘Mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu aliye juu; Nami
pia nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao
kwake, na kujifunua kwake’.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
Warumi 8:28-30
Kiwango cha utendaji kazi waNguvu za Mungu maishanimwako, kitategemea sanakiwango cha Upendo wako
kwa Mungu.
AINA ZA UPENDO
Math 22:37-38, Yoh 14:23,21
Kuna watu wamempendaMungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha Upendo wa Mungu,
wamekuwa Marafiki wa Mungu Mwenyezi.
AINA ZA UPENDO
Mithali 8:17
‘Ninawapenda wanipendao,na wale wanitafutao kwa
bidii, wataniona. (nitajifunua
kwao kwa njia ya kipekee).’
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
1Wakorintho 2:9-10
9 ‘Lakini kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho
halikuyaona, wala sikio halikuyasikia, (wala
hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) …’
AINA ZA UPENDO
1Wakorintho 2:9-10
9 ‘… Mambo haya, Mungu amewaandalia wale
wampendao. 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi
kwa Roho wa Mtakatifu ...’
AINA ZA UPENDO
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Henoko (Enock).
(Mwanzo 5:21-24)
AINA ZA UPENDO
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Ibrahimu.
(Yakobo 2:23)
AINA ZA UPENDO
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Musa.
(Hes 12:5-10; Kut 33:9-23; )
UPENDO WA KIRAFIKI
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi.
(Mathayo 12:1-8)
Sehemu za HEKALU la Mungu
Patakatifu pa
Patakatifu
Patakatifu
Uwanda
wa Nje
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu
hufanya kazi pamoja nawale wanaompenda, katika
kuwapatia mema.
UPENDO WA KIRAFIKI
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi.
(1Sam 13:13-14, Mdo 13:21-22)
UPENDO WA KIRAFIKI
3. Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Yesu na Yohana.
(Yohana 21:15-24)
1 (Yoh 21:19-24)
3 (Math 17:1-9)
12 (Luka 6:12-15)
2 70 (Luka 10:1,17)
3 120 (Mdo 1:15)
500 (1Kor 15:3-8)
Umati (Mark 3:7-10)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
4. EROS (Romantic)
UPENDO WA MAHABA
Efe 5:25; Mhu 9:8-9;
Wimbo 7:1-10 / 4:1-7
Sifa Kuu (4) za Upendo - Eros.
1. Huangalia hali ya mtu ya nje.
2. Una masharti fulani-fulani.
3. Una kipimo au kiwango.
4. Una mwisho au kikomo.
5. Unaelekea kwa mtu 1 tu.
6. Ni Mtu wa jinsia tofauti tu.
7. Unakuwa na Agano.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
4. Eros (Romantic Love)
UPENDO WA MAHABA
Mfano;
Upendo wa Mahaba kati ya Isaka na Rebeca.
(Mwanzo 26:11)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
4. Eros (Romantic Love)
UPENDO WA MAHABA
Mfano;
Upendo wa Mahaba kati ya Yakobo na Raheli.
(Mwanzo 29:16-20 (10-30)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
4. Eros (Romantic Love)
Mfano;
Upendo wa Bwana Yesu na Mungu Baba.
Yoh 15:9-10, Yoh 10:38,30
Yoh 14:10-11, 20
1 (Yoh 21:19-24)
3 (Math 17:1-9)
12 (Luka 6:12-15)
2 70 (Luka 10:1,17)
3 120 (Mdo 1:15)
500 (1Kor 15:3-8)
Umati (Mark 3:7-10)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO
1Wakorintho 2:9-10
9 ‘Lakini kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho
halikuyaona, wala sikio halikuyasikia, (wala
hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) …’
AINA ZA UPENDO
1Wakorintho 2:9-10
9 ‘… Mambo haya, Mungu amewaandalia wale
wampendao. 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi
kwa Roho wa Mtakatifu ...’
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu
hufanya kazi pamoja nawale wanaompenda, katika
kuwapatia mema.
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30;
Utendaji-kazi wa mkonowa Mungu maishani
mwetu, unategemea sanakiwango cha Upendo wetu
tulionao kwa Mungu.
Waefeso 3:20
Mungu wetu ni Mungu wa Viwango; na kwa
kutokujua ukweli huu, watu wa Mungu wengi
wameishi kiholela, bila …
NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO
Waefeso 3:20
… kuzingatia kuweka bidii na juhudi zaidi, katika
kukua na kuongezeka ktk Viwango vya Kiroho.
NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Reflecting Friendship;
What is Friendship?
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
What is Friendship?
In short;
Friendship is a good relationshipbetween two or more people.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Reflecting Friendship;
Why Friendship?
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Friendship?
1.To fill the human need of Recognition, Acceptance
and Love.
Math 22:37-39
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Friendship?
2.To fill the human need of
Association, Cooperation and Togetherness.
Mhub 4:9-10
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Friendship?
3.To know each other.
Yoh 14:23, 21
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Friendship?
4.To teach and shape each other
Physically, mentally, character-wise and spiritually.
Prov 27:17 Col 3:16
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Friendship?
5.To get your life partner
Gen 2:8, 18-20-25
Gen 29:13-19
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Reflecting Friendship;
Types of Friendship?
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
1.
PEER FRIENDS
(Marafiki wa mbali)
*Luke 6:14-17
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
1. PEER FRIENDS
(Marafiki wa mbali)
*Luke 6:14-17
Ni wale marafiki tunaokutana au kushirikiana nao mambo ya
kawaida ya kila siku.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
1. PEER FRIENDS
(Marafiki wa mbali)
*Luke 6:14-17
Kwa Mfano;
Yesu na Umati wa Makutano
Umati (Luka 6:14-17)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
2.
CASUAL FRIENDS (Marafiki wa kawaida)
*Luke 10:1,17-20
*Math 10:1-8;
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
2. CASUAL FRIENDS
(Marafiki wa kawaida)
*Luke 10:1,17-20
Mfano;
Yesu na Wanafunzi 70
70 (Luk 10:1, 17-20)
Umati (Luka 6:14-17)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
2. CASUAL FRIENDS
(Marafiki wa kawaida)
*Luke 10:1,17-20
Ni wale tunaopenda kuwa nao katika vitu tunavyopenda
kuvifanya. (Company)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
3.
CLOSE FRIENDS (Marafiki wa karibu)
*Luke 6:14-16
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
2. CLOSE FRIENDS
(Marafiki wa karibu)
*Luke 6:14-16
Mfano;
Yesu na Wanafunzi 12
12 (Luk 6:14-16)
70 (Luk 10:1, 17-20)
Umati (Luka 6:14-17)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
3. CLOSE FRIENDS
(Marafiki wa karibu)
*Luke 6:14-16
Ni wale tunaopenda kuwashirikisha mambo yetu ya binafsi na kuwa nao
katika matukio mbalimbali.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
4.
VERY CLOSE FRIENDS (Marafiki wa Ndani)
*Math 17:1-8, Luka 8:50-51
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
4. VERY CLOSE FRIENDS
(Marafiki wa karibu sana)
*Math 17:1-8, Luk 8:50-51
Kwa Mfano;
Yesu na Wanafunzi 3
(Petro, Yakobo na Yohana)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
4. VERY CLOSE FRIENDS.
(Marafiki wa Karibu sana)
*Math 17:1-8, Luk 8:50-51
Ni wale tunaowaamini sana hata kuwashirikisha siri zetu na mambo
yetu ya muhimu sana.
3 (Math 17:1-8)
12 (Luk 6:14-16)
70 (Luk 10:1, 17-20)
Umati (Luka 6:14-17)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
4. VERY CLOSE FRIENDS.
(Marafiki wa Karibu sana)
Hawa ndio wale tunaowaita ‘best friends’; Best friends huwa si
wengi, hawazidi watatu.
*Mith 18:24 *Math 17:1-9 *
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
5.
INTIMATE FRIEND
(Rafiki wa Moyoni)
*Yoh 10:30
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
5. INTIMATE FRIENDS.
(Marafiki wa Moyoni)
*Yoh 10:30 *Math 26:36-44
Ni yule mmoja na wapekee ambaye umempa moyo wako wote na
maisha yako (mpenzi)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
5. INTIMATE FRIENDS.
(Marafiki wa Moyoni)
Aweza kuwa
Rafiki Mpenzi,
Rafiki Mchumba,
Rafiki Mwanandoa.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
5. INTIMATE FRIENDS.
(Marafiki wa Moyoni)
*Yoh 10:30 *Math 26:36-44
Mfano:
Yesu na Mungu Baba
1 (Yoh 10:30)
3 (Math 17:1-8)
12 (Luk 6:14-16)
70 (Luk 10:1, 17-20)
Umati (Luka 6:14-17)
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
5. INTIMATE FRIENDS.
(Marafiki wa Moyoni)
*Yoh 10:30 *Math 26:36-44
Ni yule mmoja na wapekee ambaye umempa moyo wako wote na
maisha yako (mpenzi)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
6.
MENTOR FRIENDS (Marafiki wa Walezi)
* Kut 24:12-18 *Kut 33:7-11
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
6. MENTOR FRIENDS.
(Marafiki wa Walezi)
* Kut 24:12-18 *Kut 33:7-11
Ni wale marafiki waliotutangulia kwa umri au uzoefu au maarifa ya
kimaisha na kiroho.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
6. MENTOR FRIENDS.
(Marafiki wa Walezi)
* Kut 24:12-18 *Kut 33:7-11
Urafiki ulio katikati yenu ni wa kulea, kufunda, kufunza maarifa ya
kimaisha na kiroho. (1Tim 1:2)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Friendship?
6. MENTOR FRIENDS.
(Marafiki wa Walezi)
Kwa Mfano;
Musa na Joshua (Kut 33:7-11)
Eli na Samuel (1Sam 3:1-14)
Paul na Timotheo (2Tim 4:1-8)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Reflecting Love;
Types of Love.
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mungu anapokupendakwanza kwa Upendo wa
Agape, atasubiri kuona kamautaupokea na kuitikia kwa
kumrudishia Upendo.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 3:16-18, Warumi 5:5-8
AGAPE / STORGE
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mtu anapoitikia kwa kumpendaMungu kwa vigezo ambavyo
Mungu anataka, ndipo Munguhufungulia Upendo mwingine,
wa ngazi ya pili, Upendo waKirafiki (Phileo) tofauti na Agape.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 14:23,21 Mithali 8:17
AGAPE / STORGE
PHILEO
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mtu aliyependwa na MunguKirafiki (Phileo), akiitikia upendohuo kwa kumpenda Mungu kwa
zaidi sana, ndipo Mungu nayehufungulia Upendo mzito (Eros),
Upendo wa Ngazi ya Kwanza.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15, Yohana 10:30
AGAPE / STORGE
PHILEO
EROS
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
(Condition) Mkizishika amrizangu, ndipo mtaweza kukaa
katika Pendo langu (Eros); kamavile mimi nilivyozishika amri za
Baba yangu, na kukaa katikaPendo lake (Eros).
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, na Baba ndani yangu; nami ndani yenu,
nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
AINA ZA UPENDO
3. UPENDO WA KIRAFIKI
Kwa Mfano;
Yesu na Wanafunzi wake.
Luka 6:13-16
1 (Math 26:36-41)
(Yoh 21 3 (Math 17:1-9)
12 (Luka 6:12-15)
2 70 (Luka
10:1,17)
3 120 (Mdo 1:15)
500 (1Kor 15:3-8)
Umati wa Wanafunzi
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, naBaba ndani yangu; nani ndani
yenu, nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
NGUVU YA UPENDO
Rum 8:28-30, Yoh 14:23,21
Kuna watu wamempendaMungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha upendo wa Mungu,
wamekuwa Marafiki waMungu Mwenyezi.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, naBaba ndani yangu; nani ndani
yenu, nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
1.
STORGE LOVE
UPENDO WA KINDUGU. (Family Love)
Kutoka 2:11-12, Luka 15:11-32
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
1. STOREG LOVE
SIFA ZA STORGE LOVE
Hauangalii hali ya mtu ya nje.
Hauna masharti yoyote.
Hauna kipimo cha kupenda.
Hauna kikomo wa kupenda.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
2.
AGAPE LOVE
UPENDO WA MUNGU. (Godly Love)
Rum 5:8 Yoh 3:16
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
2. AGAPE LOVE
Agape ni aina ya upendo wa ki-Mungu, utendao kazi ndani ya mtu
pasipo masharti yoyote au
Mfano; Upendo wa Msamaria mwema. (Luka 10:29-37)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
2. AGAPE LOVE
SIFA ZA AGAPE LOVE
Hauangalii hali ya mtu ya nje.
Hauna masharti yoyote.
Hauna kipimo cha kupenda.
Hauna kikomo wa kupenda.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
3.
PHILEO LOVE
UPENDO WA KIRAFIKI. (Friendly Love)
Yohana 14:21,23. Mithali 8:17
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
3. PHILEO LOVE
Phileo (Kiebrania) ni upendo wa kirafiki. Phileo ni upendo wenye sababu. Kiingereza wanasema
‘congitional love’.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
3. PHILEO LOVE
Mfano;
Urafiki wa Jonathan na Daudi. (1Samweli 18:1-4)
Urafiki wa Yesu na Martha, Mariam na Lazaro.
(Yohana 11:5, 35-36)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
3. AGAPE LOVE
SIFA ZA PHILEO LOVE
Unaangalii hali ya mtu ya nje.
Una masharti fulani.
Una kipimo cha kupenda.
Una kikomo cha kupenda.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
4.
EROS LOVE
UPENDO WA KIMAHABA. (Romantic Love)
Wimbo Ulio Bora 7:1-10
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
4. EROS LOVE
Eros ni upendo wa kimapenzi au kimahaba unaokuwa kati ya watu fulani kusababisha watu hao kuwa
na uhusiano wa kimapenzi (mahaba) kati yao.
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love.
4. EROS LOVE
Kwa utaratibu wa Mungu na jamii zilizo ‘sawa sawa’, Eros ni aina ya upendo unaotakiwa kuwa kati ya
watu wenye uhusiano wa ki-ndoa, yaani mtu mke na mume…
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
… au kati ya watu wanaoelekea katika uhusiano wa ki-ndoa wa
mume na mke.
(Waefeso 5:25; Mhubiri 9:8-9; Wimbo Ulio Bora 7:1-10; Wimbo
Ulio Bora 4:1-7)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Mfano;
Upendo wa Yakobo kwa Raheli. *Mwanzo 29:16-20 (10-30)
Upendo wa Isaka kwa mkewe Rebecca. (Mwa 26:1-11)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Types of Love
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love(Romantic Love)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
1.
Mvuto kwa Haiba yake na kuchukuliana nayo.
(Mwonekano na tabia).
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
2.
Kukaa mawazoni kwa mtu anayependa.
(Kujaa moyoni)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
3.
Shauku kubwa ya kuwa pamoja kila wakati.
(Kuambatana)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
4.
Heshima kubwa kwa mtu apendwae.
(Utii na Uaminifu)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
5.
Kumjali na kumtanguliza mtu apendwae.
(Kipaumbele)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
6.
Zawadi na gharama kwa mtu apendwae.
(Kujitoa/Sacrifice)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
4. EROS LOVE
Sifa za Eros Love;
7.
Furaha na Amani kutawala moyoni.
(Kuridhika/Satisfaction)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
General Principles;
How to Get your
Life Partner.*Prov 19:14, 21
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
1.
Mweleze Mungu vizuri, haja za moyo wako.
(Mathayo 7:7-11; Wafilipi 4:6-7; Zab 145:17-18)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
2.
Mwombe Mungu akuonyeshe au akukutanishe na mwenzi wako.
(*Yer 33:3)
Soma Efe 1:15-19, Jab 3:2
Isa 43:26, Isa 45:11
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
3.
Tengeneza marafiki.
(*Mith 18:24, Mith 17:17)
Yoh 11:5,
Mk 5:25 – 30 – 34;
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
4.
Thibitisha Uhakika wa
Hisia zako juu yake.
Wimbo Ulio Bora 7:1-10;
Wimbo Ulio Bora 4:1-7
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Ishara za kuthibitisha Hisia zako.
1. Atakamata attention yako
2. Atajaa moyoni na mwazoni
3. Utatamani sana uwepo wake
4. Utapenda kuwasiliana naye
5. Utakuwa na moyo wa kumjali
6. Utakuwa na heshima sana
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Ishara za kuthibitisha Hisia zako.
7. Utakuwa na maneno mazuri
8. Utakuwa na uvumilivu
9. Utakuwa na moyo kumhifadhi
10. Utakuwa na amani na furaha
11. Ujasili mbele za watu
12. Utakuwa na hamu ya kumgusa
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
5.
Omba ushauri kwa watu wanaokujua/wanaomjua
2Kor 13:1; Zab 73:24;
Mith 15:22
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
6.
Mwendee na Useme nayekwa hekima.
(*Wimbo 3:1-4)
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
How to Get your Life Partner.
7.
Rasimisha uhusiano wenu
(Officialize ya Relationship)
*Wimbo 3:4
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Marriage?
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Why Marriage?
1. For Companionship
2. For Support
3. For Children
TAFES NATIONAL CONFERANCE, 2011
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
1 Yesu akaondoka hukoakavuka Mto wa Yordani, akaenda pande za nchi ya
Uyahudi ...
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
1 … Umati mkubwa wa watu ukamjia tena na
kama ilivyokuwa desturi Yake, akawafundisha.
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
2 Baadhi ya Mafarisayo wakaja ili kumjaribu kwa kumwuliza, “Je, ni halali mtu kumwacha mke?”
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
3 Yesu akawajibu, “Je, Musa aliwaamuru nini?”
4 Wakajibu wakisema …
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
4 …“Musa aliruhusu kwamba, mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia
sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
6 Lakini tangu mwanzowa uumbaji, ‘Mungu
aliwaumba mume na mke [Adam na Eva].
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
7 Kwa sababu hii mwanaume atamwacha
baba yake na mama yake, naye ataambatana na …
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
7 … mkewe, na hao wawili watakuwa mwili
mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena
bali mwili mmoja.
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu
asikitenganishe”
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
10 Walipokuwa tenandani ya nyumba, wanafunzi Wake
wakamwuliza kuhusujambo hili.
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
11 Akawajibu, “Mtu ye yote anayemwacha
mkewe na kuoa mke mwingine, azini naye.
Sifa za Ndoa Nzuri
Marko 10:1-12
12 Naye mwanamke anayemwacha mumewe
na kuolewa na mume mwingine, anazini pia.”
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
Turudi Eden; Mwanzo.
Mwanzo 1:26-28
Mwanzo 2:15-17
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
Mwanzo 1:26-28
26 Bwana Mungu akasema, Tufanya Mtu kwa Sura Yetu na
Mfano wetu, [ili wao] wakatawale, samaki wa
baharini, na ndege wa angani, na kila kitu [tulichoumba].
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
Mwanzo 1:26-28
27-28 Bwana Mungu akawaumba, Mwanamume
na Mwanamke, akawaumba, akawaambia ‘zaeni
mkaongezeke, [mwende] kuitiisha [na kuitawala] nchi.
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
Mwanzo 2:15-17
‘Bwana Mungu akamuumba huyo mtu, kwa mavumbi ya
nchi, [kisha] akamweka katika bustani, ili ailime na
kuitunza.
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
1.
Mtu awe na Sura na Mfano wa Mungu
(Utakatifu - Wokovu)
Mwanzo 1:26-28
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
2.
Mtu awe na Uwepo wa Mungu Maishani.
(Eden - Ibada)
Mwanzo 2:15
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
3.
Mtu awe Mfanyakazi.
‘… “Ailime” na kuitunza.’
Mwanzo 2:15
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
4.
Mtu awe Mtunzaji.
(Cultivate - Chipusha)
‘… Ailime na “kuitunza”.
Mwanzo 2:15
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
5.
Mtu awe Mhifadhi.
(Protect - Kulinda)
‘… Ailime na “kuitunza”.
Mwanzo 2:15
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
6.
Mtu awe na Neno la Mungu ndani yake.
‘… Mungu akawaagiza”.
Mwanzo 2:16-17
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
7.
Mtu awe na Mamlaka ya Kumiliki na Kutawala ‘… mkaiitiishe na kuitawala”
Mwanzo 1:26-28
Sifa za Ndoa Nzuri ya Eden;
1Wakorintho 11:3
‘Lakini nataka mjue ya kwamba, Kichwa cha
Mwanaume ni Kristo; na Kichwa cha Mwanamke[Mke] ni [Mumewe] …’
1Wakorintho 11:3
Kichwani kuna;
1.Macho – Maono
2.Masikio – Usikivu
3.Ubongo – Fikra/Akili
4.Mdomo – Maagizo
KUTEMBEA KWA IMANI
1Wakorintho 11:3
Maneno yako ni mazao yamawazo yako; na mawazo
yako ni mazao yamtazamo wako.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kutembea kwa Imani
Mtazamo
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kutembea kwa Imani
Mawazo Mtazamo
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kutembea kwa Imani
Mawazo Mtazamo
Maneno
KUTEMBEA KWA IMANI
1Wakorintho 11:3
Ukibadilisha unavyoona, utawaza tofauti na
utaongea tofauti, kwaimani na ushindi.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kwa Mfano;
Imani ya Baba Ibrahimu
Warumi 4:16-21.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-24.
20 Lakini Abrahamu hakusitasitakwa kutokuamini, bali
akiiona/(akiitazama) ahadi yaMungu, alitiwa nguvu katikaimani yake na kumpa Mungu
utukufu,
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-24.
17 … Ibrahimu baba yetu alimwamini, Mungu awapaye ahadi waliokufa na akaanza kuvitaja vile vitu ambavyo
haviko kana kwamba vimekwisha kuwako.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-24.
20 Lakini Abrahamu hakusitasitakwa kutokuamini ahadi yaMungu, bali alitiwa nguvu
katika imani yake na kumpaMungu utukufu,
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-24.
21 akiwa na hakika kabisakwamba Mungu alikuwa na
uwezo wa kutimiza lilealiloahidi.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-24.
18 Akitarajia yasiyoweza kutarajiwa, Abrahamu
akaamini atakuwa, ‘‘Baba wa mataifa mengi,’’
(Hata kabla ya kuona mabadiliko katika tumbo la Sara)
KUTEMBEA KWA IMANI
Uwezo wa ibrahimu kuwaza ushindi na kufikiri vizuri, juu
ya hali ya mke Sara na matarajio yao ya kupata
mtoto, ulitegemea sana na Namna alivyomwona Sara.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kutembea kwa Imani
Mawazo Mtazamo
Maneno
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 4:16-20
Ukikosea kuona, utakosea kuwaza. Na ukikosea kuwaza, utakosea kuongea. Kwahiyo,
Ili kuongea vizuri, lazima uwaze vizuri, na ili uwaze vizuri, lazima uone vizuri.
KUTEMBEA KWA IMANI
Warumi 4:16-20
Kila mtu alimwona Sara bibi kizee, lakini Ibrahimu
alimwona Sara Mama watoto. Na ndicho kilichomwezesha
kumuwazia vizuri na kumtaja vizuri.
KUTEMBEA KWA IMANI
Warumi 4:16-20
“Siri ya Ibrahimu”
Baba wa Imani
KUTEMBEA KWA IMANI
Warumi 4:16-20“Siri ya Baba Ibrahimu”
Alimwangalia Sara kupitia katika Neno la Mungu.
(Alivaa Mawani ya Neno)
2Petro 1:3-4
KUTEMBEA KWA IMANI
Warumi 4:16-20
Kila mtu alimwona Sara bibi kizee, lakini Ibrahimu
alimwona Sara Mama watoto. Na ndicho kilichomwezesha
kumuwazia vizuri na kumtaja vizuri.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Waefeso 1:15-22
‘Ninawaombea kwa Mungu, kwamba Macho ya mioyo yenu
yatiwe nuru, mpate kujua;
i) Tumaini tulilonalo,
ii) Utajiri tulionao,
iii) Nguvu tulizonazo.
Sifa za Ndoa Nzuri, Takatifu;
Waefeso 5:25-27
25 ‘Enyi Wake, watiini Waume zenu, na enyi
waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo …
Sifa za Ndoa Nzuri, Takatifu;
Waefeso 5:25-27
26-27 ‘… alivyolipenda kanisa, [tena] akajitoa
kwa ajili yake; ili ajiletee Kanisa tukufu lisilo na
mawaa wala kunyanzi.
SIGNS OF LOVE
Ishara za UpendoUnajuaje kwamba
Unampenda Mungu?
Yohana 21:15-17
ISHARA ZA UPENDO
2Nyakati 16:9
Macho ya Bwana Mungu, hukimbia-kimbia duniani
kote, akitafuta mtu aliyekamilika moyo, ili
ajionyeshe mwenye nguvu, kupitia mtu huyo.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
1. Muda unaotumia.Kitu unachokipenda, ndicho
kinachukua muda wako mwingizaidi. Vivyo hivyo, na kwa Mtu
unayempenda, utapenda kutumiamuda wa kutosha pamoja naye.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
1. Muda unaotumia.- Uwiano wa Matumizi ya -
Muda wako maishaniKutoka 33:7-11
Mathayo 14:22-23
ISHARA ZA UPENDO
1. Muda Unaotumia katika
(a) Mawasiliano Mazuri.
Mtu unayempenda, utahakikisha kila siku au marakwa mara, unakuwa na muda
wa kuongea naye.
ISHARA ZA UPENDO
1. Muda Unaotumia katika
(a) Mawasiliano Mazuri.
- Maisha ya Maombi -Yeremia 33:3, Waefeso 6:18Wakolosai 4:2, 1Thes 5:17
ISHARA ZA UPENDO1. Muda Unaotumia katika
(b) Kusikia Kutoka Kwake.Kwa mtu unayempenda,
utakuwa na hamu kubwa, ya kilasiku au mara kwa mara; ya
kutamani kusikia kutoka kwake; Kusikia mawazo yake, hisia zake,
mipango yake, n.k.
ISHARA ZA UPENDO
1. Muda Unaotumia katika
(b) Kusikia Kutoka Kwake.
- Kusoma Neno la Mungu -
Kolosai 3:16, Zaburi 19:9-10
ISHARA ZA UPENDO1. Muda Unaotumia katika
(c) Kutafuta Kumjua Zaidi.Kwa mtu unayempenda,
utatamani sana, kumjua kwaundani zaidi. Kujua, mawazo
yake, hisia zake, anavyovipenda, asivyopenda, mipango yake, nazaidi, kumjua kitabia/sifa zake.
ISHARA ZA UPENDO
1. Muda Unaotumia katika
(c) Kutafuta Kumjua Zaidi.
- Kujenga Uhusiano wa Kina -
1Yoh 1:1-3, Efes 4:11-152Pet 3:18, Ayub 22:21
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo2. Utii na Uaminifu.
Mtu unayempenda, hautapenda kumkwaza walakumuudhi; utafurahi kufanya
yale anayotaka na kutokufanyayale asiyoyataka.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
2. Utii na Uaminifu.- Kutii Neno la Mungu -
Yoh 14:21-23, 1Yoh 5:3 Zaburi 119:9, 11
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
2. Utii na Uaminifu.- Maisha ya Utakatifu -Isaya 57:15, 1Pet 1:15-16 Waefeso 4:17-25, Zab 16:3
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo3. Kumsifia na Kumtukuza
Mtu unayempenda, utajikuta unapenda kumsifia
na kumtukuza, yeye binafsi au mbele za watu wengine.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
3. Kumsifia na Kumtukuza- Kumsifu Mungu -
Zab 148:1-13, Zab 150:1-6Zaburi 71:8
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo4. Kutamani Kumgusa.
Mguso ni ishara mojawapo yajuu ya uhusiano mzuri kati ya
watu. Mtu unayempenda, unahamu na shauku ya kumshika
au kumgusa kwa upendo.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
4. Kutamani Kumgusa.- Maisha ya Ibada -
Yoh 4:23-24, Zab 96:5
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
5. Heshima na Adabu.Kwa mtu unayempenda, utajikuta una heshima na
adabu ya kipekee juu yake.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
5. Heshima na Adabu.- Kumheshimu na -
Kumwogopa Mungu
Math 15:8-9, Yoh 5:22-23Yoh 8:49, Yak 2:19, Yoh 12:26
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo6. Kuujaa Moyo (Mawazo)
Mtu unayempenda, huwaunapenda kumweka mawazonimwako na moyoni mwako; nahuwa anaujaza moyo wako na
mawazo yako popote ulipo.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
6. Kuujaa Moyo (Mawazo)- Kumtafakari Mungu -
Warumi 8:5-8, Wafilipi 4:8, Math 15:11-20, Ebrania 3:1
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo7. Kuzawadia kwa Furaha.
Mtu unayempenda, utajikutauna msukumo wa mara kwa
mara wa kumzawadia na kumpavitu ili kuidumisha furaha yakena kuhakikisha ustawi wake.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
7. Kuzawadia kwa Furaha.- Utoaji mzuri wa Sadaka -
Luka 7:36-50, Yohana 3:16
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
7. Kuzawadia kwa Furaha.- Utoaji mzuri wa Sadaka -
Mithali 3:9-10, Kumb 8:6-18Malaki 3:7-12 Hagai 1:1-11
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo8. Moyo wa Kumtumikia.
Mtu unayempenda, unamoyo wa kumtumikia na hata
kujitoa kwa ajili yake; ilikumpendeza, kumtunza na
hata kumlinda.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
8. Moyo wa Kumtumikia.- Serving God -
Yohana 12:26, 1Wakorintho 4:1-2
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
9. Kumwamini.Mtu unayempenda, utajikuta
una namna ya kipekee yakumwamini na kumtegemea.
(Believe and Trust)
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
9. Kumwamini.- Belief and Trust -
1Yoh 4:18, Ebr 11:1-6Warumi 4:17-21
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
9. Kumwamini.- Belief and Trust -
Mfano: Yesu na Petro BahariniMath 14:22-33
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo10. Moyo wa Uvumilivu.
Mtu unayempenda, utajikutauna Neema ya kutosha ya
kumvumilia na kumchukuliavile alivyo, kwa amani na
furaha ya moyoni.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
10. Moyo wa Uvumilivu.- Kumsubiri Mungu -
Waebrania 6:13-15, 12
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo11. Ujasiri wa Kumlinda.
Mtu unayempenda, utajikuta una ujasiri wakumtetea na kumlinda, yeye na heshima yake.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
11. Ujasiri wa Kumlinda.- Wivu wa Bwana -
Yoh 2:13-17, Yak 4:4-5
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo12. Utamwambia Maneno.
Mtu unayempenda, unahamu ya kumwambia mara
kwa mara kwambaunampenda; japo anajua.
SIGNS OF LOVE
Ishara za Upendo
12. Utamwambia Maneno.- Confess n’ Declare -
Yohana 21:15-17, Zaburi 18:1
MEASURE OF LOVE
Kiwango cha Upendo
Je Unampenda MunguKiasi Gani?
Yohana 21:15-17
Kiwango cha Upendo
Mfano;
Upendo wa Petro kwaBwana Yesu
Yohana 21:15-17
Kiwango cha Upendo
Yohana 21:15-17Yesu akamwita Petro pembeni na kumuuliza, ‘Simoni Mwana wa Yona, Je wanipenda kulikohawa? Petro akajibu akasema, ‘Ndio Bwana Nakupenda’. Basi
Bwana Yesu akamwambia, [kama unanipenda] Lisha
Kondoo zangu’.
NGUVU YA UPENDO
Kiwango cha Upendo
(Yesu na Petro)
Yohana 21:15-17
‘Simoni Mwana wa Yona, Je wanipenda kuliko hawa?’
Kiwango cha Upendo
Yohana 21:15-17Yesu anamwambia Petro kama
unanipenda, Upendo siomaneno, Upendo ni matendo; hivyo thibitisha upendo wakokwangu, kwa kufanya jambolitakaloonyesha unanipenda
kweli kwa maisha yako na siokwa maneno yako tu.
NGUVU YA UPENDO
Kiwango cha Upendo
Mfano;(Yesu, Simoni, Kahaba)
Luka 7:36-50
NGUVU YA UPENDO
Kiwango cha Upendo
Mwanamke Kahaba naBwana Yesu
Luka 7:36-50
NGUVU YA UPENDO
Kiwango cha Upendo
Luka 7:36-50‘Wewe, umesamehewa dhambi kidogo, ndio maana umependa kidogo; lakini mwanamke huyu, amesamehewa dhambi nyingi,
na ndio maana amependa sana.’
NGUVU YA UPENDO
Kwahiyo …
Kiwango cha = Kiwango cha
Upendo Nguvu
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu
hufanya kazi pamoja nawale wanaompenda, katika
kuwapatia mema.
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
Kiwango cha utendaji kazi waNguvu za Mungu maishanimwako, kitategemea sanakiwango cha Upendo wako
kwa Mungu.
NGUVU YA UPENDO
Kwahiyo …
Kiwango cha = Kiwango cha
Upendo Nguvu
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Kwahiyo …
Kiwango cha = Kiwango cha
Upendo Nguvu
NGUVU YA UPENDO
Waefeso 4:11-15
15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua (katika
upendo) hata tumfikie yeyekatika yote, yeye aliye
kichwa, yaani Kristo Yesu.
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mungu anapokupendakwanza kwa Upendo wa
Agape, atasubiri kuona kamautaupokea na kuitikia kwa
kumrudishia Upendo.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 3:16-18, Warumi 5:5-8
AGAPE / STORGE
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mtu anapoitikia kwa kumpendaMungu kwa vigezo ambavyo
Mungu anataka, ndipo Munguhufungulia Upendo mwingine,
wa ngazi ya pili, Upendo waKirafiki (Phileo) tofauti na Agape.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 14:23,21 Mithali 8:17
AGAPE / STORGE
PHILEO
NGUVU YA UPENDO
Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21
Mtu aliyependwa na MunguKirafiki (Phileo), akiitikia upendohuo kwa kumpenda Mungu kwa
zaidi sana, ndipo Mungu nayehufungulia Upendo mzito (Eros),
Upendo wa Ngazi ya Kwanza.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15, Yohana 10:30
AGAPE / STORGE
PHILEO
EROS
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
(Condition) Mkizishika amrizangu, ndipo mtaweza kukaa
katika Pendo langu (Eros); kamavile mimi nilivyozishika amri za
Baba yangu, na kukaa katikaPendo lake (Eros).
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, na Baba ndani yangu; nami ndani yenu,
nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
AINA ZA UPENDO
3. UPENDO WA KIRAFIKI
Kwa Mfano;
Yesu na Wanafunzi wake.
Luka 6:13-16
1 (Math 26:36-41)
(Yoh 21 3 (Math 17:1-9)
12 (Luka 6:12-15)
2 70 (Luka
10:1,17)
3 120 (Mdo 1:15)
500 (1Kor 15:3-8)
Umati wa Wanafunzi
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, naBaba ndani yangu; nani ndani
yenu, nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
NGUVU YA UPENDO
Rum 8:28-30, Yoh 14:23,21
Kuna watu wamempendaMungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha upendo wa Mungu,
wamekuwa Marafiki waMungu Mwenyezi.
NGUVU YA UPENDO
Yohana 15:1-15
Mimi ndani ya Baba, naBaba ndani yangu; nani ndani
yenu, nanyi ndani yangu.
(Erotic/Romantic Love)
Yohana 10:38, 30
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
Kiwango cha utendaji kazi waNguvu za Mungu maishanimwako, kitategemea sanakiwango cha Upendo wako
kwa Mungu.
NGUVU YA UPENDO
Waefeso 4:11-15
15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua (katika
upendo) hata tumfikie yeyekatika yote, yeye aliye
kichwa, yaani Kristo Yesu.
NGUVU YA UPENDO
Waefeso 4:11-15
Kukua katika Upendo, inamaana kuu mbili (2);
1. Kukua Kiwango cha Upendo
(Quantitative Growth)
NGUVU YA UPENDO
Kwahiyo …
Kiwango cha = Kiwango cha
Upendo Nguvu
NGUVU YA UPENDO
Kwahiyo …
Kiwango cha = Kiwango cha
Upendo Nguvu
KIWANGO CHA UPENDO
Kwa Mfano wa Pembetatu ya Moto
Kitu (Fuel)
Joto Hewa
(Heat) (Oxygen)
MOTO
NGUVU YA UPENDO
Waefeso 4:11-15
Kukua katika Upendo, inamaana kuu mbili (2);
2. Kukua ktk Aina ya Upendo
(Qualitative Growth)
AINA ZA UPENDO
Yohana 14:23,21
Yesu alisema, ‘mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu,
nami nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao
kwake, na kujifunua kwake’.
AINA ZA UPENDO
Mithali 8:17, Yeremia 29:11-13
Ninawapenda wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii,
wataniona. Utanitafuta, nami nitaonekana kwako,
ukinitafuta kwa bidii na kwa moyo wako wote.
NGUVU YA UPENDO
Warumi 8:28-30
28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu
hufanya kazi pamoja nawale wanaompenda, katika
kuwapatia mema.
AINA ZA UPENDO
2Nyakati 16:9
Macho ya Bwana Mungu, hukimbia-kimbia duniani
kote, akitafuta mtu aliyekamilika moyo, ili
ajionyeshe mwenye nguvu, kupitia mtu huyo.
NGUVU YA UPENDO
Waefeso 4:11-15
15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua (katika
upendo) hata tumfikie yeyekatika yote, yeye aliye
kichwa, yaani Kristo Yesu.
NGUVU YA UPENDO
Math 22:27-28, Yoh 14:23,21
Kuna watu wamempendaMungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha upendo wa Mungu,
wamekuwa Marafiki wa MunguMwenyezi.
AINA ZA UPENDO
Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Ibrahimu.
(Yakobo 2:23)
AINA ZA UPENDO
Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Musa.
(Hes 12:5-10; Kut 33:9-23; )
UPENDO WA KIRAFIKI
Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi.
(1Sam 13:13-14, Mdo 13:21-22)
UPENDO WA KIRAFIKI
Phileo (Friendship Love)
UPENDO WA KIRAFIKI
Mfano;
Upendo wa Kirafiki kati ya Yesu na Yohana.
(Yohana 21:15-24)
1 (Yoh 21:15-24)
(Yoh 21 3 (Math 17:1-9)
12 (Luka 6:12-15)
2 70 (Luka
10:1,17)
3 120 (Mdo 1:15)
500 (1Kor 15:3-8)
Umati wa Wanafunzi.
NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
SIGNS OF LOVEISHARA ZA UPENDO.
Amri Kuu Mbili (2)1. Kumpenda Mungu wako2. Kumpenda Jirani yako
Mathayo 22:36-40
SIGNS OF LOVEISHARA ZA UPENDO
2. Kumpenda Jirani.
Mathayo 22:36-40
SIGNS OF LOVEISHARA ZA UPENDO
Mathayo 22:36-4036 “Mwalimu, katika Torati, ni
amri ipi iliyo kuu? 37 Yesu akamwambia ‘Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote,
na kwa akili zako zote.”
SIGNS OF LOVEISHARA ZA UPENDO
Mathayo 22:36-4038 “Hii ndiyo amri iliyo Kuu,
tena ni ya kwanza. 39 Na ya pili, yafanana na hii; nayo inasema, hivi; ‘Mpende jirani yako kama
nafsi yako’ (yaani kama unavyojipenda mwenyewe).”
SIGNS OF LOVEISHARA ZA UPENDO
Mathayo 22:36-4040 “Torati yote na Manabii
hutegemea katika amri kuu hizi mbili” (Kumpenda Mungu na
Kumpenda Jirani yako.)
SIGNS OF LOVE
Kumpenda Mungu kwaKuwapenda Watu wa
Mungu.
1Yohana 2:7-111Yohana 4:7-12, 18-21
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
21 Na amri hii tumepewana yeye (Mungu), ya
kwamba, yeye ampendayeMungu, na ampende na
ndugu yake.
Kuwapenda Watu wa Mungu
Amri ya Upendo
1Yohana 2:7-11
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 2:7-11
7 Wapenzi, siwaandikii amrimpya, ila amri ya zamani,
mliyokuwa nayo tangumwanzo. Na hiyo amri ya
zamani, ni neno lile mlilolisikia.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 2:7-11
8 Tena nawaandikia amri mpya, neno lililo kweli ndani
yake na ndani yenu; kwakuwa giza linapita na ile nuru ya kweli imekwisha kung’aa.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 2:7-11
9 Yeye asemaye kwamba yukonuruni, lakini anamchukiandugu yake, basi mtu huyobado yupo gizani hata sasa(inangawa yeye anajidhania
yuko nuruni.)
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 2:7-11
10 Yeye ampendaye nduguyake, anakaa katika nuru, wala
ndani yake hakuna kikwazo(yaani giza).
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 2:7-11
11 Bali yeye machukiaye nduguyake, yu katika giza. Tena
anakwenda gizani, wala hajuiaendako, kwasababu giza
limempofusha macho.
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
21 Mmesikia watu wa kale walivyowaambia, kwamba
‘usiue’ na ‘mtu akiua’, itampasa hukumu.
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
22 Lakini mimi nawaambieni, ya kwamba, ‘kila amwoneaye ndugu yake hasira’, itampasa
mtu huyo hukumu.
(kama vile ni mtu aliyeua).
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
22 … na mtu akimfyonza ndugu yake, itampasa mtu
huyo kuwekwa katika baraza (kujadiliwa kama vile ni mtu
aliyempiga mwenzake) …
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
22 … na mtu akimwapiza mwenzake, itampasa mtu
huyo, jehanaum ya moto …
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
23 Basi, ukileta sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka ya kwamba ndugu yako ana
neno juu yako, …
Kuwapenda Watu wa Mungu
Mathayo 5:21-23
24 … Basi iache sadaka yako mbele ya madhabahu
(usiitoe), bali nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi kuitoa sadaka
yako kwa Mungu.
Kuwapenda Watu wa Mungu
Amri ya Upendo1Yohana 4:7-12, 18-21
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
7 Wapenzi, na tupendane; kwakuwa pendo latoka kwaMungu, na kila apendaye,
amezaliwa na Mungu, nayeanamjua Mungu.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
8 Yeye asiyependa wengine, hakumjua Mungu, kwa maanaMungu ni Pendo. 9 Katika hili, pendo la Mungu limeonekana
kwetu, kwamba Munguametuma mwanye wa pekee...
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
9 … ili tupate uzima wa milele kupitia yeye (Yesu) 10 Hili
Pendo, sio kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali ni
kwamba, yeye ndiye aliyetupenda sisi kwanza …’
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
10 … akamtuma mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. 11 Wapenzi, ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa
(amri) na sisi kupendana(deni).
Kuwapenda Watu wa Mungu
Warumi 13:8
8 “Msiwiwe (msidaiwe) na mtu kitu chochote, isipokuwa
kupendana (Upendo); kwa maana ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria (Ukamilifu).
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yoh 4:11 ; Rum 13:8
Kutokana na kile kitu ambacho, Mwana wa Mungu
ametutendea sisi, tusikie kuwa na deni la maisha la sisi pia kudaiwa kuonyesha pendo
kama hilo kwa wengine.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
12 Hakuna mtu aliyemwonaMungu wakati wowote. Lakini
tukipendana, Mungu hukaandani yetu na Pendo lake
limekamilika ndani yetu (nakujidhihirisha) (Yoh 14:23,21).
AINA ZA UPENDO
Yohana 14:23,21
Bwana Yesu akasema, ‘Mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu aliye juu; Nami
pia nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao
kwake, na kujifunua kwake’.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
18 Katika pendo, hakuna hofu, kwa maana Pendo lililo kamili
(lililokamilika), huitupa njehofu; kwa maana hofu inaadhabu, na mwenye hofu,
hakukamilishwa katika Pendo.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
19 Sisi twapenda kwa maanayeye (Yesu) alitupenda sisikwanza. 20 Mtu akisema,
nampenda Mungu, na wakatihuo huo anamchukia ndugu
yake, mtu huyo ni mwongo ...
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
20 … kwa maana mtuasiyempenda ndugu yake
ambaye anamwona, hawezi kumpenda Mungu
ambaye hakumwona.
Kuwapenda Watu wa Mungu
1Yohana 4:7-12, 18-21
21 Na amri hii tumepewana yeye (Mungu), ya
kwamba, yeye ampendayeMungu, na ampende na
ndugu yake.
Kuwapenda Watu wa Mungu
Kumbe;
Upendo sio hisia, Upendo niMatendo na Upendo ni amri.
Tunatakiwa kuonyeshanaUpendo hata kama hatujisikiikufanya hivyo, kutokana na
tofauti zetu fulani-fulani.
Kukua katika Kumjua Mungu zaidi
Ayubu 22:21
Kanuni hizi tulizojifunza, zikusaidie kukua katika imani
na kumjua Mungu zaidi ili kutembea katika kiwango
kikubwa zaidi cha maisha ya ushindi na mafanikio.
Mwisho
Mafundisho Mengine
Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa
Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la
Azania Front Cathedral
Luther House, Sokoine Drive
Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano zaidi,
Mwl. Mgisa Mtebe(Christ Rabbon Ministry)
P. O. Box 4785,
Dar es Salaam, Tanzania.
+255 713 497 654
www.mgisamtebe.org