Upload
well-told-story
View
343
Download
4
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Some vile I.Dickson alihepea kifo juu ya kuwa mgondi.
Citation preview
Congrats kwa kupata hii ëDO HIVIí guide kutoka
ju change NI SISI pekee tunaeza leta na tusingoje gava, politicians na NGOs. DO HIVI ju HAKUNA PL AN B !
Cheki hii story ya I.D ujue kama bado unataka kuwa memba wa gang. Na kama unadai kujua zaidi cheki SHUJAAZ.FM Chapta 36 au www.Shujaaz.fm
family yetu ilikuwa ya kawaida tu. nilikuwa
first-born. hatukuwa na dooh mob, so sikuwa
na vitu poa kama vitabu na nguo zenye
mabeste wangu wailkuwa nazo.
nikiwa seco, kuna rafiki wangu mwenye
nilimu-envy sana maisha yake poa. akani
introduce na kuni-recruit kwa gang...
nilikuwa 17 nilipoingia hiyo gang. walini-like
juu nilijua first aid since nilikuwa red cross
cluB. before ku-recruit-iwa, gang members
wanakuchecki tu...mkuu wa gang hakuonekana, lakini yeye
ndio ali-plan ma-robbery, kama kugonga
duka za m-pesa. huyo msee alionekana
na wazee wa gang pekee.
walini-understand hata kuliko society.
wasee wa gang walinichunga, na walini-protect pia,
juu society haikutujali. so gang ikawa family yetu.
siku mmoja tulikuwa tunaenda ku-rob supaa
fulani. nilivaa jumper tofauti badala ya hood za
kawaida. kazi yangu ilikuwa ku-scout hiyo area,
lakini mmoja wa gang alinisukuma akaingia supaa
na gun, aka-show wasee walale chini. hakujua
kulikuwa na ma-plain-clothes hapo ndani.
so shootout ikaanza. nilijirusha kwa sakafu
nikiogopa nitakufa! nilikuwa nafikiria ni lazima
nitoke kwa hiyo situation!
nilitaka ku-make something of my life, si hizi
stori! kila mtu kwa gang alikufa hiyo day,
including hao top members...
niliweza kupata kazi kwa carpenter fulani
jirani wangu. alini saidia kwa transition ya
kurudia maisha ya kawaida.
hakuna mtu alijua nilikuwa kwa gang au
ni nini nilikuwa na-do, juu hatukuiba kwa
majirani wetu.
boss wangu hakupenda kuona mayut
wakibangaiza tu, alitaka kuwa saidia.
sikum-show ni nini exactly nilikuwa nafanya,
lakini nilisema past yangu haikuwa poa
sana, na nilitaka ku-move on. alielewa
akanipa hiyo opportunity.
mimi nikaenda home, nilikuwa traumatized.
nilingoja nyumbanimmoja wa gang aje kuni-
punish, lakini hakuna mtu ali-come.
a month later nilirudi kwa hideout nikawa-
show sirudi, nime-change life yangu. nilikuwa
nimeanza kuenda church, nika-get saved.
nilikuwa lucky juu hao ma-boss wa gang
walikuwa wamekufa na members mpya bado
hawakuwa na power, so nilikuwa free!
kwa sababu ya activities zenye
nilikuwa na-do kwa gang,
mabeste wangu walikuwa
wasee wa gang tu. lakini
haikuwa mbaya: wasee wa gang
ni human, kama famo yako...
we were always high on
bhang to dispel our fears. a
few of us used heroin, which
would give us the confidence
we needed.
wanataka kujua wewe si
snitch na hauingii kwa
sababu ya ulafi. wanataka
wasee wa-silent, wa-secretive,
na wenye hawaogopi.
alikuwa akiwa-show plan yenye wao wana-
come kutuelezea. tulikuwa tuna ambiwa tu:
“tumeambiwa tunafaa kufanya hivi...”
Na-hope hii
‘DO HIVI’ guide itaku-
help kujua reasons haufai
ku-join gangs. ukiwa na
questions, nitumie kwa
gangs
hu-destroy maisha!
umeSoma risto ya I.D
kwa shujaaz.fm na sasa
ame-share info ju ya
kutoka kwa gang-lyf!
Hii ni story ya life yangu! Tafadhali usi-mek mistake kama yangu. DO HIVI na uta-succeed!
Name:
Age:
Waks:
Hakuna vile utawai jua top most leader wa gang yenu lakini we ndio utam-doia vitu zile zinaeza mwingiza kwa noma. Ukiingia gang wasee hukuambia vile nyi ni famo na mnachekiana masilahi, lakini ukikosea au uhepe, wewe au mmoja wa famo yenu anaeza loose lyf au uvunjwe mbaya. Cheki hizi points hapa down:
Mi nilikuwa msee wa RED CROSS kwa hivyo nikawa recruited kama doki wa gang. Lakini lazima hata mi ninge-commit crime ndio niwe ranked kwa crew. Initiation ilikuwa ina-involve:
HAKUNA haja ya kuwa-cheat! Hakuna njia ya kutoka kwa gang kama we ni mmoja wao.
Lazima we na family yako m-dissappear fore kutoka mtaani ju ukijitoa na wewe au
mmoja wao apatikane, utauliwa. Njia ingine ni kutojiingiza kwa hio gang.
Fanya kitu unaambiwa.
Usi -try kuwa hero.
Funga macho hadi waishie.
Ukimezea mmoja wao, jifanye
hauumjui.
Time zingine nilikuwa naona vijana wako kwa gang na gari poa au wameng’ara lebo kali but reality ni uki-join
gang una-risk ku-loose kitu yoyote important kwa life yako. Cheki zile vitu zote nilidhani ni ukweli lakini nikakam
ku-realize ni uongo sana’ Usikose kumada chuo ju baadaye uta-
realize bila masomo utakuwa permanently
kwa crime.
Wacha kutumia madre.
Ji-keep busy na club au team ya chuo ya
sport yoyote.
Ukiona ma-gang za mtaa zinachora, si
kuwa snitch ukisema ni ku-protect
maisha ya wasee wa family yako.
Vitu huanza poa ju gang yako haiezi ku-show vitu tricky ka kuumiza watu unajua na tym zingine hadi utaua.
Ukiingia gang inabidi leaders waku-force u-choose between family yako na geri yako.
LAZIMA UJUE VILE UTATOKAKWA GANG......
UKIKUTANA NA GANG MTAANI UTA DO NINI . . .
Usi - believe uongo
ya gangs ati kuna lyf poa kwa crime. Uki-work hard utamek it !
Motto ya gang yetu ilikuwa
ina-say kifo ni lazima na
kwa hivyo hauta-get chance
ya kuzeeka au ku-mek dooh.
Utafungwa cell au utauliwa.
Unaeza toka ume-make dooh kiasi, lakini most itaishia kwa leaders wa gang.
Hakuna time msee hu-feel poa kwa gang ju raiyaa wa kawa hawataki ubeste yako.
Ukishikwa na karao ni kifo au jela lakini tulikuwa tuna prefer kifo ju karao huku-torture mbaya kama kuna time walitushika bila proof lakini wakatuvunja vidole za mkono na chuma kwa reli.
KUMBUKA!
Drop-outs wa chuo.Yuts wameboeka mtaani bila kitu ya ku-do.Yuts wanapoa na wasee hawajajipanga na ni wezi.Yuts wametoka family za masofara.
M-show lazima aji-keep busy na sports au vitu zingine zinambamba.
Ni poa ku-show beste yako ako poa bila bling au vitu fake.
Unafaa kujua hakuna shortcut ya kuwa sonko.
Ambia beste au mzae una-trust ju ya dilemma yako na asiwe mmoja wa gang.
Usijidanganywe unaezatoka tym yoyote unataka. Njia ya kutoka ni kifo kwako au mmoja wa family yenu.
GanG ItanI-Protect!Gang leaders ndio hu-get dooh mob
kabisa. Members wadogo huwai ganji kiasi tu na ukibambwa uta-loose ganji, madre na nguo!
Neiba alikuwa akishangaa niaje nilikuwa na vitu mob na mbuyu amesota lakini habongi na mimi. Mabeste wangu wa kitambo walikuwa wanani-avoid.
Utaishi na uoga na gang leaders watamek sure we ndio una-do waks ngumu ju ata ukibambwa we ni small fish.
Lazima utakuwa ukitokea maskan zile siku mme-agree ju ukihata utashangaa pano utapewa na ‘family’ yako!
Ukweli ni ukibambwa au umadwe, hakuna msee atakam kukuokolea au kukucheki ju wanaogopa kubambwa.
nIta-Get resPect Kwa streets!
nItaKuwa Free Ku-do KItu YoYote nataKa!
nItaKuwa sonKo M-PowerFul!!
lIFe YanGu ItaKuwa dedlI!
naeza JoIn na KutoKa tIMe YoYote nataKa!
Kuvunjwa na gang members wengine hadi ni submit.
Ku-join crew ikienda missioni ya kusanya shops au supa.
Time zingine hata unajipata umeua na bado ni acceptance unatafuta.
MYTH
MYTH
MYTH
MYTH
MYTH
MYTH
REALITY
REALITY
REALITY
REALITY
REALITY
REALITY
Hakuna mtu ataku-force
kuingia gang lakini
utakuwa forced kuishi
kwa gang ukijiingiza.