32
Not for sale KUJENGA KENYA utajitoa aje kwa gang nai? Politician mgani hulipA poa? ushaona cow inatumia simu? CHEKI NDANI!

36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 36 - Full Comic

Citation preview

Page 1: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Not for sale

KUJENGA KENYA

utajitoa aje kwa gang nai?

Politician mgani hulipA poa?

ushaona cow inatumia simu?

C H A P T A 3 6CHEKI NDANI!

Page 2: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36
Page 3: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

3

Page 4: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

4

niaje mayuts!Manze hawa leaderswa IPYF ni wa inspiringsana. Mlijua yuts wa

Kenya ndio wata-decidekama hizi elections

ni peaceful?

Patana na yutswengine facebook

kwa Inter-Party YouthForum (IPYF) u-share

views zako ju ya2013 elections!

Kama kijana wa IPYFnaeza like kukumbusha youthwengine eti ni responsibility

yao ku-obey law. Ni responsibility yetu ku-respect-

iana hata kama tribe. religion na political

party tuna-support ni different.

Tunataka vijana wa Kenya wa-participate kwa elections

vipoa na wafuate law. Vijana wanafaa wasifuate na kuskiza

vitu zinahusu violence, intimidation, hooliganism

na tribal hate. Nawakumbuke lazima

wajitokeze ku-vote.

Youths msiwe kamabendera mnatumika ku-commit violence kwa

Wakenya wenzenu. Embrace peace because we are one people, one Kenya.

Vijana tukitaka amani lazima tu dumishe and tuonyeshe

amani na tuopeane amani.

Ma jamaa tumetokafar kama nchi, yaliotokealast election si kitu ya

kujivunia. As we cross the country in search of votes and prepare for elections

let us bear in mind weneed each other

after elections. Let us keep this in mind!

It is our responsibilityto use our strength

to protect our Land and Nation.

name: Christine Ndung’uParty: Democratic Party - iPYF

name: Beatrice CheronoParty: PNU - iPYF

name: joshua AluochParty: KANU YOUTH

name: Margaret GitongaParty: Democratic Party - iPYF name: Reuben Ameli

Party: FORD KENYA YOUTH

Page 5: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Nani nitissue kwa

siasa?

Ati grand-masako ni wa zamo mpaka alisahau handbag yake kwa Ark ya Noah! 5

Napenda sana ma-electronicsna radio. so nimeamua kuundaPirate Radio Station - Shujaaz.fm!DJ B mwenyewe ndani ya nyumba!

boyie

Page 6: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Ati wewe ni dingo hadi ukipita na fone ya mse hurudi bila feature ya M-PESA!6

Page 7: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Ati wewe ni fala hadi ukitaka kumeza dawa wewe hukata kando ndio usipate side-effects! 7

Page 8: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Ati wewe ni fala kunasiku ulichukuwa ruler ukaenda nayo bed ndiouangalie umelala masaa mangapi!8

Page 9: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Naskia wewe ni fala siku moja ukiwa kwa court uliskia judge akisema “order in court” ukaitisha “kebab na coke”! 9

Page 10: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Mayuts! Msitumikeovyo-ovyo! Choice ni

yako! Ukiwa idle utasota, unakuwa desperate alafu unakimbilia

doh ya siasa chafu!

SKIZA RISTOYA LENNY KWASHUJAAZ.FMON 6TH FEB!

Wasee skizenistory ya Lenny na vile alitumiwa na politicians na hakulipwa!

Tuma story yako yakutumiwa kwa 3008

text ni 5 bob tu10

Page 11: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Produced in collaboration with:USAID, Tupange, RIU, DFID-UK, Galvmed & Marie Stopes Kenya. Distributed by Nation and Safaricom.ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome MwitiART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared NgugiRESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko.Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio

This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

11

ANSAZ: 1.B, 2.A, 3.C, 4.D, 5.A

6.B, 7.B, 8.A, 9.C, 10.B

congratzma-winners!

To Register iCow SMS “shujaaz” to 5024

iCow vetinari ni feature ya kukusaidia kupata vet yule anaishi karibu na mahali ng’ombe wako yuko. Registration ni free lakini kila sms baadaye ni 5/=

leang’ombe

na 5bob tu!

Page 12: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

12

Page 13: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

13

Page 14: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

14

Page 15: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

15

Page 16: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

16

Page 17: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

17

Page 18: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Dem yako ni fala yeye hu vaa pencil na rubber na hapendi kusoma!18

Page 19: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

19

Page 20: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

20

Page 21: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Mdomo wako uko wide we hula maembe kama njugu! 21

Page 22: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Kwenyu nyinyi ni wa jinga hadi jirani akiwasalimia muna discuss answers!22

Page 23: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Ati naskia wewe ni mpyenga hadi wewe huenda mountain hike kwa pevu! 23

skiza show ya gutuka kwa hizi stations:

kama wewe ni victim wa violence au rape tuma sms au call

na watakushughulia pap!

hii nambaNi sare!

1195

Page 24: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Miaka: 21

Wax: Carpentry

Fuata Steps

Za Kutoka

Kwa Gang

family yetu ilikuwa ya kawaida tu. nilikuwa first-born. Hatukuwa na dooh mob, so sikuwa

na vitu poa kama vitabu na nguo zenye mabeste wangu walikuwa nazo.

nikiwa seco, kuna rafiki wangu mwenye nilimu-envy sana maisha

yake poa.

akani introduce na kuni-recruit kwa gang.

Ati wewe ni fala hadi ulidangaya jina yako kwa exam!24

Page 25: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Ati wewe ni fala hadi ulienda kutafuta simu iko na whitetooth! 25

Page 26: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

mimi nikaenda home. nilikuwa traumatized.

nilingoja nyumbani mmoja wa gang aje kuni-punish,

lakini hakuna mtu ali-come. a month later nilirudi

kwa hideout nikawa-show sirudi, nime-change life

yangu. nilikuwa nimeanza kuenda church nika-get

saved.

nilikuwa lucky juu hao ma-boss wa gang walikuwa wamekufa na

members mpya bado hawakuwa na power, so

nilikuwa free!

shootout ikaanza. nilijirusha kwa sakafu

nikiogopa nitakufa! nilikuwa nafikiria, ni lazima nitoke kwa hiyo situation! nilitaka ku-make

something of my life, si hizi something of my life, si hizi stori! kila mtu wa gang alikufa

hiyo day, including hao top members.

...lakini mmoja wa gang-members alinisu-kuma akaingia supaa na gun aka-show wasee walale chini. hakujua

kulikuwa na ma-plain-clothes

hapo ndani.

siku moja tulikuwa tunaenda ku-rob supaa tunaenda ku-rob supaa fulani. nilivaa jumper

tofauti badala ya hood za kawaida. kazi yangu ilikuwa ku-scout hiyo

area...

ulihepa gang aje?

Ati wewe ni mzee ulijua dead sea ikiwa mgonjwa!26

Page 27: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

sikum-show ni nini exactly nilikuwa nafanya, lakini nilisema past yangu

haikuwa poa sana, na nilitaka ku-move on.

alielewa, akanipa hiyo opportunity.hiyo opportunity.

niliweza kupata kazi kwa carpenter fulani

jirani wangu, alinisaidia kwa hiyo transition ya

kurudia maisha ya kawaida.

ulifanya nini ulipoacha

gang?

hakuna mtu alijua nilikuwa kwa gang, ama ni nini nilikuwa na-do,

juu hatukuiba kwa majirani wetu.

boss wangu hakupenda hakupenda

kuona ma-youth wakibangaiza tu,

alitaka kuwasaidia kupata kazi.

na society iliku-treat

aje?

Naskia ati nyi ni ma sonko design nyi huanika ma nguo kwa line ya Orange! 27

Page 28: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

usiingie gang, hakuna njia ya kutoka.ni kifo tu. vile nili-escape

ilikuwa miracle.so, ujichunge, usiamini hizo stori za hiyo kuwa njia ya kipekee ya kupata maisha poa. kuna hope. pata time poa ya

ku-escape na kuhepa mbali kuanza maisha mpya.kuanza maisha mpya.

uki-encounter gang, usipigane nao. fanya

venye wanaku-show tu. usiwaangalie kwa uso, na

ukiwa-recognize usiwa-show.

Ati we ni mang’aa hadi ile siku ulikua unazaliwa ulisema stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo!28

Page 29: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

Macho zako ni red, design ukicheki dishi inaiva! 29

Hii story ya I.Dickson ni noma hadi detail zingine tuli-censor. kama unataka hii info ju ya op-eration za ma-gang text jina

The first 1000 people watatumiwa

Au ukitaka radio recording, soft copy na videos enda

u-download kutoka

na address yako kwa “GANGS”

www.shujaaz.fm

‘Fuata Steps’ Guide!

Page 30: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36

30

Page 31: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36
Page 32: 36 - Shujaaz.FM - Chapta 36