Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4...

Preview:

Citation preview

i

Shule yangu

Laurence Kunambi

ii 1

Taasisi ya Elimu TanzaniaS. L. P 35094Dar es Salaam

Tanzania

© Taasisi ya Elimu Tanzania ,2015

Mwaandishi: Laurence KunambiMchoraji: Abdul Gugu

Usanifu: Sisi Illustrators

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri,kupiga chapa kitabu hiki au sehemu yake kwa njia yoyote ile bila ya idhini ya Taasisi ya Elimu Tanzania.

ii 11

Jina langu ni Emanueli.Nina umri wa miaka 7. Shule yetu inaitwa Tendawema. Ninasoma katika darasa la kwanza.

2 3

Shule yetu imezungukwa na miti ya kivuli. Kuna maua yanayopendeza.

2

Kuna maua yanayopendeza.

2 3

Nyuki hupenda kutembelea maua.

3

4 5

Shule yetu pia ina viwanja vya michezo.Ninapenda kucheza na wenzangu.

4

4 5

Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda kucheza. Eneo hili limejengewa uzio.

5

Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda kucheza. Eneo hili limejengewa uzio.

6 76

Walimu wetu wanatupenda sana.Hutusaidia tunapoumia.

6 7

Mwalimu ametufundisha jinsi ya kuvuka barabara.

7

Mwalimu ametufundisha jinsi ya kuvuka barabara.

8 9

Tunapokuwa shuleni, hufanya usafi. Vile vile humwagilia maji maua. Mimi ninalo ua langu la kutunza.

8

Tunapokuwa shuleni, hufanya usafi. Vile vile humwagilia maji maua. Mimi ninalo ua langu la kutunza.

8 9

Walimu hutufundisha kupendana. Mimi ninawapenda rafiki zangu.

9

Walimu hutufundisha kupendana. Mimi ninawapenda rafiki zangu.

10 11

Darasa letu lina kabati, meza na kiti cha mwalimu. Pia lina ubao, mlango, na madirisha manne.

10

Darasa letu lina kabati, meza na kiti cha mwalimu. Pia lina ubao, mlango, na madirisha manne.

10 11

Darasani tunajifunza masomo mbalimbali. Mimi napenda kusoma.

11

Darasani tunajifunza masomo mbalimbali. Mimi napenda kusoma.

12 13

Tunakunywa uji tukiwa shuleni. Baadaye husafisha vikombe vyetu.

12

Tunakunywa uji tukiwa shuleni. Baadaye husafisha vikombe vyetu.

12 13

Baada ya masomo tunarudi nyumbani kwa furaha.

13

Baada ya masomo tunarudi nyumbani kwa furaha.

14 15

Tunawaonyesha wazazi kazi zetu.

14

Tunawaonyesha wazazi kazi zetu.

14 15

Maswali 1.Elezea tafauti zilizopo kati ya shuleni na nyumbani? 2.Ni vitu gani tunaweza kuviona katika shule ya Tendawema? 3.Kati ya vitu hivyo vingapi unavipenda? 4.Nini faida ya kunywa uji? 5.Je, tunapata faida gani tukienda shuleni kusoma?

16 17

Shughuli Shughuli ya Kwanza:1.Mwalimu awaongoze watoto kuigiza namna ya kuvuka barabara.2.Awaongoze watoto kusimulia hadith kwa kutumia picha.3.Mwalimu awaongoze wanafunzi kuitembelea shule iliyoko karibu na kubainisha vitu mbali mbali.

16 17

18

Recommended