CHAMA CHA MAPINDUZI Ada.pdf · 9. Jinsi ya kulipa ada za uwanachama kupitia M-Pesa Piga *150*01#...

Preview:

Citation preview

CHAMA CHA MAPINDUZICCM MAKAO MAKUU S.L.P 50 DODOMA

JINSI YA KULIPA ADA ZA UWANACHAMA KWA KUTUMIA SIMU YA MKONONI KWA

WALIOSAJILIWA KIDIGITALI TU

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mawasiliano: 0756451019076937025607176643130756873721

Chagua Service ya OnlineTransactions

Chagua Category ya OTHER halafu chagua CCM PAYMENT

Ingiza Invoice No. Mf. CR12345678901

Bonyeza Get Details

Hakiki Taarifa za Mlipaji kama JINA lipo sahihi ili kujua kama anayelipa ni Mwenye jina liliotokea

Ingiza Namba ya Simu ya Mlipaji

Ingiza Kiasi anacholipia

Bonyeza Proceed

Taratibu zingine zote za Kibenki ziendelee

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama kupitia Wakala wa

CRDB

Piga *150*00#

Chagua 1 ‘Tuma Pesa’

Chagua 4 ‘Kwenda

Benki’

Chagua 1 ‘CRDB’

Chagua 1 ‘Weka

Namba ya Akaunti’

Ingiza Namba ya

malipo ‘Weka namba

yako ya uwanachama’

Mfano

C000038540051

Weka kiasi

Weka Namba ya Siri

Chagua 1 ‘Kukubali’

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama kupitia M-Pesa

Piga *150*01#Chagua 7 ‘Huduma za kifedha’Chagua 1 ‘Tigo Pesa Kwenda Benki’Chagua 1 ‘CRDB’Chagua 1 ‘Kuingiza Namba ya Kumbukumbu’6. Weka Namba ya Kumbukumbu ya Malipo. Mfano C000038540051Ingiza kiasi UnachotumaWeka Namba ya Siri kuhakikiChagua 1 ‘Kukubali’

1. 2.

3.

4.5.

6.

7.8.

9.

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama kupitia Tigo-Pesa

Piga *150*60#

Chagua 1 ‘Tuma Pesa’

Chagua 3 ‘Kwenda

Benki’

Chagua 2 ‘CRDB Bank’

Chagua 1 ‘Weka

Namba ya Malipo’

‘Weka namba yako ya

uanachama Mfano

C000020200101’

Weka kiasi

Weka Namba ya Siri

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama kupitia M-Pesa

Namba yako ya uanachama ndiyo control number yako

Namba yako ya uanachama ndiyo control number yako

Namba yako ya uanachama ndiyo control number yako

Recommended